Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?

Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?

Uzi umejaa fix huu.
Nimeyaona MA senior bachelor nayo yanajifanya yana wake.
 
Tuliopo kwenye ndoa! Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?

Namshukuru kwa kuzaa toto toto la kibantu figa matata,traako laini,toto linajua kudeka,sura ya upole,sema shida moja tu hajui kupika ugali wa kisukuma na mrenda.
 
Back
Top Bottom