Je, una utaratibu wa kuhudhuria nyumba za Ibada?

Je, una utaratibu wa kuhudhuria nyumba za Ibada?

Huyo kondoo mchanga ni wewe?
Na kwa nini uliwe 😂.
Halafu wewe unataka mimi nitende dhambi ee
Mama mchungaji ni myiramba mmoja rangi ya mtume, shape la Nikki minaj. Nilimpeleka kwake baada ya ibada, mme wake alikuwa na kikao kanisani. Mama yule akavaa nguo fupi na akakaa mbele yangu tunakunywa soda, daah
 
Niliwahi kuingia kanisa la walokole mwanza , nikakemewa bila kutarajia , ilibidi nitoke kwenda kuficha hirizi zangu Kwa dharura. Tokea siku hiyo sijawahi kutia maguu
Mkuu mwehu ndama salaam.
Kama mhubiri alikuwa hakufahamu na hakujua ulichoweka ndani, basi aliyekukemea sio mwanadamu bali Roho Mtakatifu ambaye alitaka ubadilike na Umpokee Yesu kama Bwana na Mwokozi wa Maisha yako.
Karibu tena Kanisani Mkuu.
Ahsante.
 
I thought
 

Attachments

  • nikitharubyntoyanto_68f0b0791eb845ca989967e31b499e46.mp4
    290 KB
Ujue kanisani si sehemu ya kuabudu tu.
Bali Kuna mafunzo ya aina mbalimbali pia hutolewa ikiwemo ya,Ndoa,ujasiriamali, Malezi na vitu kama hivo.
Mapadri ambao hawana experience yoyote ya kuishi ndoani, watatoaje mafunzo ya ndoa ikiwa wao wenyewe hawajawahi kuishi ndoani?

Mafunzo ya ujasiriamali au biashara yanapaswa kutolewa na wafanyabiashara na wajasiriamali Experts.

Sio Viongozi wa DINI.
Lakini pia ukijumuika na wengine inakuwa nzuri zaidi.

Lakini Mungu yupo Kila mahali
Kama Mungu yupo kila mahali hakuna haja ya kuwepo kwa nyumba za ibada.

Hizo nyumba za ibada ni VITEGA UCHUMI vya Viongozi wa dini kukusanya sadaka na zaka kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
 
Kuna kipindi hua naenda kama mara mbili tatu nikipotea napotea mwaka mzima. Hamna sababu za msingi sana kuna muda nakua sina tu utayari kuna muda jumapili kuamka mapema naona kipengele kinoma
 
Mama mchungaji ni myiramba mmoja rangi ya mtume, shape la Nikki minaj. Nilimpeleka kwake baada ya ibada, mme wake alikuwa na kikao kanisani. Mama yule akavaa nguo fupi na akakaa mbele yangu tunakunywa soda, daah
Ulimpeleka kama nani 🙌😂.
Unatakiwa kuwa makini wewe
 
Kuna kipindi hua naenda kama mara mbili tatu nikipotea napotea mwaka mzima. Hamna sababu za msingi sana kuna muda nakua sina tu utayari kuna muda jumapili kuamka mapema naona kipengele kinoma
Jitahidi basi usiwe unakosa.
Lala mapema Ili uwahi kuamka.
 
Mapadri ambao hawana experience yoyote ya kuishi ndoani, watatoaje mafunzo ya ndoa ikiwa wao wenyewe hawajawahi kuishi ndoani?

Mafunzo ya ujasiriamali au biashara yanapaswa kutolewa na wafanyabiashara na wajasiriamali Experts.

Sio Viongozi wa DINI.

Kama Mungu yupo kila mahali hakuna haja ya kuwepo kwa nyumba za ibada.

Hizo nyumba za ibada ni VITEGA UCHUMI vya Viongozi wa dini kukusanya sadaka na zaka kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
Kila padre au mchungaji wanakuwa wamesoma na wanakuwa wamebobea katika maeneo fulani na Wana uwezo mzuri wa kufundisha.

Sio lazima uwe kwenye ndoa Ili utoe elimu ya Ndoa Kuna watu wanauelewa mzuri sana na masuala ya Ndoa na hata ujasiriamali.

Naamini kuwa watu hawalazimishwi kutoa sadaka vivo hivyo hawalazimishwi kwenda kwenye Ibada.
Ila Kuna wakati utawahitaji.
 
Ulimpeleka kama nani 🙌😂.
Unatakiwa kuwa makini wewe
Mchungaji alikuwa na maongezi na mimi kuna program alitaka nimsaidie kuindaa. Baada ya ibada akawa na kikao na wageni akaniomba nitangulie kwake nikale atanikuta. Itoshe tu kusema mama mchungaji ni binadamu tu, alikuwa na hamu zake.
 
Back
Top Bottom