Je, una utaratibu wa kuhudhuria nyumba za Ibada?

Kila padre au mchungaji wanakuwa wamesoma na wanakuwa wamebobea katika maeneo fulani na Wana uwezo mzuri wa kufundisha.
Ukiwa kwenye ndoa na mwanaume anakutesa, anakupiga na kukunyanyasa kwa miaka mingi, Ukaamua uachane naye kulinda afya yako ya akili na kuokoa uhai wako, Halafu Kiongozi wako wa dini ambaye hana experience yoyote na ndoa yako, anakwambia, Usimwache mumeo, Alichounganisha Mungu, mwanadamu asitenganishe. Utasikiliza na kukubali?
Sio lazima uwe kwenye ndoa Ili utoe elimu ya Ndoa Kuna watu wanauelewa mzuri sana na masuala ya Ndoa na hata ujasiriamali.
Uelewa na experience ni vitu viwili tofauti.

Unaweza kuelewa kitu, lakini hujaki experience kujua uchungu na utamu wake.

Hao mapadri hawana experience yoyote ya maisha ya kuishi watu wawili mke na mume ndani, wakajua raha na karaha zilivyo.

Hivyo wao hawawezi kujua, mtiti na mateso watu wanaopitia. Wao wanaishi kwa kupewa stori za ndoa za watu tu.

Sasa watu wa namna hii, hata wakikupa ushauri watakupa ushauri ambao wao wenyewe wange experience hayo maisha, wasingeweza kuendelea kuishi ndoani.

Elimu ya ndoa haiwezi kutolewa na ambaye haja experience ndoa. Huko ni kudanganyana.
Naamini kuwa watu hawalazimishwi kutoa sadaka vivo hivyo hawalazimishwi kwenda kwenye Ibada.
Ila Kuna wakati utawahitaji.
 
Ukiwa kwenye ndoa na mwanaume anakutesa, anakupiga na kukunyanyasa kwa miaka mingi, Ukaamua uachane naye kulinda afya yako ya akili na kuokoa uhai wako, Halafu Kiongozi wako wa dini ambaye hana experience yoyote na ndoa yako, anakwambia, Usimwache mumeo, Alichounganisha Mungu, mwanadamu asitenganishe. Utasikiliza na kukubali?

Uelewa na experience ni vitu viwili tofauti.

Unaweza kuelewa kitu, lakini hujaki experience kujua uchungu na utamu wake.

Hao mapadri hawana experience yoyote ya maisha ya kuishi watu wawili mke na mume ndani, wakajua raha na karaha zilivyo.

Hivyo wao hawawezi kujua, mtiti na mateso watu wanaopitia. Wao wanaishi kwa kupewa stori za ndoa za watu tu.

Sasa watu wa namna hii, hata wakikupa ushauri watakupa ushauri ambao wao wenyewe wange experience hayo maisha, wasingeweza kuendelea kuishi ndoani.

Elimu ya ndoa haiwezi kutolewa na ambaye haja experience ndoa. Huko ni kudanganyana.
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri nimekuelewa 🙌
 
Mimi bwana ni mtu ninaependa sana kwenda kanisani na Huwa ninakaa kiti Cha mbele kabisa nikisikiliza neno la Mungu kwa utii na adabu,huku nikiwa nimevalia Kiatu kirefu na gauni langu refu kabisa.

Na Kila wiki huwa ninajifunza kitu kutoka kwa wahubiri wa siku hiyo.

Kwa mfano Leo tumejifunza kuwapenda adui zetu na kuwavumilia kwa Kila kitu wanachokifanya au wanachotufanyia.

Nashauri hata wale wenye msongo wa mawazo au wenye matatizo mbalimbali kufika kanisani na kujumuika na wengine.

Kuna namna unaweza kupata njia ya kutatua tatizo lako.
 
et sadaka lazima upeleke kanisani? Let say naenda zangu ibadani nakutana na mhitaji nampa sadaka yote hapo nakuwa wrong ?
Watumishi wa Mungu watanisaidia kujibu 😂
 
Back
Top Bottom