Kinakunyima uhuru wa kufanya mambo yako mfano kwenda kupata vinywaji -OH, kula mbususu za kanisani na msikitini etcKwani cheo kinakuharibia nini jamani
β₯οΈβ₯οΈβ₯οΈ Nitakujulisha mapema tu nitakapokuwa nimembeba.
Anza kuandaa zawadi mapemaaa π
Kwa mwaka nikienda mara tatu inatosha bn.Hakiwezi kuzuia jamani kwa sababu Kila kitu kina muda wake
Ukiwa kwenye ndoa na mwanaume anakutesa, anakupiga na kukunyanyasa kwa miaka mingi, Ukaamua uachane naye kulinda afya yako ya akili na kuokoa uhai wako, Halafu Kiongozi wako wa dini ambaye hana experience yoyote na ndoa yako, anakwambia, Usimwache mumeo, Alichounganisha Mungu, mwanadamu asitenganishe. Utasikiliza na kukubali?Kila padre au mchungaji wanakuwa wamesoma na wanakuwa wamebobea katika maeneo fulani na Wana uwezo mzuri wa kufundisha.
Uelewa na experience ni vitu viwili tofauti.Sio lazima uwe kwenye ndoa Ili utoe elimu ya Ndoa Kuna watu wanauelewa mzuri sana na masuala ya Ndoa na hata ujasiriamali.
Naamini kuwa watu hawalazimishwi kutoa sadaka vivo hivyo hawalazimishwi kwenda kwenye Ibada.
Ila Kuna wakati utawahitaji.
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri nimekuelewa πUkiwa kwenye ndoa na mwanaume anakutesa, anakupiga na kukunyanyasa kwa miaka mingi, Ukaamua uachane naye kulinda afya yako ya akili na kuokoa uhai wako, Halafu Kiongozi wako wa dini ambaye hana experience yoyote na ndoa yako, anakwambia, Usimwache mumeo, Alichounganisha Mungu, mwanadamu asitenganishe. Utasikiliza na kukubali?
Uelewa na experience ni vitu viwili tofauti.
Unaweza kuelewa kitu, lakini hujaki experience kujua uchungu na utamu wake.
Hao mapadri hawana experience yoyote ya maisha ya kuishi watu wawili mke na mume ndani, wakajua raha na karaha zilivyo.
Hivyo wao hawawezi kujua, mtiti na mateso watu wanaopitia. Wao wanaishi kwa kupewa stori za ndoa za watu tu.
Sasa watu wa namna hii, hata wakikupa ushauri watakupa ushauri ambao wao wenyewe wange experience hayo maisha, wasingeweza kuendelea kuishi ndoani.
Elimu ya ndoa haiwezi kutolewa na ambaye haja experience ndoa. Huko ni kudanganyana.
Mimi bwana ni mtu ninaependa sana kwenda kanisani na Huwa ninakaa kiti Cha mbele kabisa nikisikiliza neno la Mungu kwa utii na adabu,huku nikiwa nimevalia Kiatu kirefu na gauni langu refu kabisa.
Na Kila wiki huwa ninajifunza kitu kutoka kwa wahubiri wa siku hiyo.
Kwa mfano Leo tumejifunza kuwapenda adui zetu na kuwavumilia kwa Kila kitu wanachokifanya au wanachotufanyia.
Nashauri hata wale wenye msongo wa mawazo au wenye matatizo mbalimbali kufika kanisani na kujumuika na wengine.
Kuna namna unaweza kupata njia ya kutatua tatizo lako.
Leteni zaka kamili ghalani.Tumsifu Yesu Kristo
Sadaka ya jumapili iliyopita ni million tano,
Dollar mia mbili,
et sadaka lazima upeleke kanisani? Let say naenda zangu ibadani nakutana na mhitaji nampa sadaka yote hapo nakuwa wrong ?Tunapeleka mbona
Eeeh mmaaUlitoa?
Eka mmaUbarikiwe sana