Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Mkuu sijaongeza wala kupunguza chochote nimewasilisha kama lilivyo tukio lenyeweShida ameweka chumvi nyingi sana.
critical thinker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijaongeza wala kupunguza chochote nimewasilisha kama lilivyo tukio lenyeweShida ameweka chumvi nyingi sana.
Njoo kusini kuna kijiji kimoja kinaitwa Ngende , Walimu wanakimbia mpaka shule kisa uchawi.Hizi ni story za wanavijiji tu na hazina ukweli wowote. Nyoka "anamiliki" vijiji 15? 😀
Chief, umeshuhudia hao wanakijiji walichokueleza. Nani alimmilikisha Nyoka hivyo vijiji? Huyo Nyoka alikufaje "kizembe" kama ana power za ajabu? Hizi ni imani tu.Mkuu ninachokwambia ni kweli kabisa mkasa huu nimeshuhudia kwa mboni zangu mbili
Kweli mkuu uchawi Upo nashangaa baadhi yetu wanabisha kabisa kanakwamba hawaishi TzUchawi upo nakumbuka miaka mitatu iliyopita niko na wenzangu yapata saa 9 usiku tunatoka Harusini, Njiani tulikutana na kikundi cha wachawi wake kwa waume, wakifanya yako wakiwa watupu , tulipofika eneo lile kuna mwenzetu mmoja akaaza na yeye kupandisha mashetani wachawi walitoka mbio sana, ila mambo haya yanatisha sana.
Pole mkuu, nikafikiri umekuwa kama wanaccm mara nyingi huwa ni waongo sana.Mkuu sijaongeza wala kupunguza chochote nimewasilisha kama lilivyo tukio lenyewe
critical thinker
Mkuu ngende masasi au?hakuna makanisa ya kilokole?Njoo kusini kuna kijiji kimoja kinaitwa Ngende , Walimu wanakimbia mpaka shule kisa uchawi.
Kuna Ngende mbili moja masasi, nyingine Newala zote hatari mpaka makanisa yanafungwa. Watoto wadogo wachawii hatariMkuu ngende masasi au?hakuna makanisa ya kilokole?
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Hapo kiwalala hapana makanisa mkuuu?has a ya kilokoleeee,,kama VP niunganishe niende fungus kanisa hapoHabari zenu...
Note:Kuamini kwako au kutokuamini kwako hakufanyi kitu kisiwepo.
Ni hivi ilikuwa siku ya jumamosi nikitoka katika mizunguko yangu ya kusaka maisha pande za Songea nikirudi dar kwa kutumia usafiri wa basi[Superfellow].
Ila tulipofika Kijiji kimoja kinaitwa kiwalala tulikutana na maajabu ya dunia.Tulipofika kiwalala tulikuta watu wengi sana wamezagaa maeneo ya barabara hivyo tulishindwa kuendelea na safari gari likasimama.Baada ya kudadisi kumbe kulikuwa na mkasa wa mambo ya uchawi mambo yalikuwa hivi~
Kuna bibi mmoja aliwapa kibarua mabinti wawili shambani kwake kazi ya kulima shamba lake.Wale mabinti walipofika shambani wakaanza kulima ghafla akatokea nyoka yule binti mmoja akamuuwa,baada ya kumuuwa wakaendelea kulima kabla hawajafika mbali akaja nyoka mwingine baada ya kuja nyoka wa pili akaja na yule bibi mwenye shamba.
Alipofika yule Bibi akamwambia yule binti aliyeuwa nyoka wa kwanza kama unaweza muuwe na nyoka huyu.Wale mabinti wakaanza Kuogopa wakashindwa kumuuwa yule nyoka mwingine.Kuanzia hapo Bibi akaanza kudai nyoka wake yule wa awali/kwanza aliyeuliwa.
Bibi akawa anawadai yule nyoka aliyeuliwa awali na wale mabinti,mabinti wakawa wanalia tu wanashindwa kumpa yule bibi nyoka wake.Ile kesi ilifika hadi serikali ya kijiji lakini cha ajabu yule bibi hakusita kudai nyoka wake.Kesi iligusa wananchi wengi wa maeneo ya kiwalala na viunga vyake.
kwanini bibi alidai nyoka ambaye ameshakufa?
Swali hili lilizunguka katika kichwa changu,ndipo nilipoanza kufanya udadisi kwa wananchi waliko pale.
Kumbe nyoka yule alikuwa ana matumizi mbalimbali katika ulimwengu wa giza.Nyoka aliyeuliwa alikuwa anamiliki vijiji 15 katika maeneo hayo alitumiwa kuuwa watu na kuiba vitu mbalimbali kama vile pesa,Kuku n.k.Pia nyoka huyo alikuwa anakodishwa kwa watu Kwa ajili ya matumizi mbali mbali yaani yule Bibi alikuwa anaishi kwa kutegemea yule nyoka.
Nyoka huyo ni wakawaida kama walivyo nyoka wengine?
Cha kushangaza kumbe yule nyoka hakuwa nyoka kama nyoka wakawaida bali alikuwa ni mtoto wa yule bibi alimfanya msukule kwa kumgeuza nyoka.Serikali ya kijiji ilishindwa kuamuwa kesi hiyo na kuamuru kesi ifike mahakamani.
Alafu kesi hii unaambiwa sio ya kwanza katika kijiji hiki kumewahi kutokea kwa kesi za namna hii nyingi sana hapo kiwalala.Kwa tukio hili nimeamini uchawi Upo.
Nawasilisha kwenu...
critical thinker
At u sure mkuuu,,?Kuna Ngende mbili moja masasi, nyingine Newala zote hatari mpaka makanisa yanafungwa. Watoto wadogo wachawii hatari
Ar u sure mkuuu,,?
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
hapana hata maeneo ambayo nimeish yanatokea mambo ambayo watu hushikana uchawi,ila katika misingi wanayoelezea ndipo napata shida kukubali au kuelewa kwamba huo,uchawi uko vp?Kama unaishi mjini tu huwezi jua jaribu kuzunguka maeneo mbalimbali mkuu,uchawi Upo kabisa nimeprove kwa macho yangu
critical thinker
kwanza mkuu yule nyoka aliyeuliwa na mtu wake akafa mbna alikufa kizembe zaidi ya huyoChief, umeshuhudia hao wanakijiji walichokueleza. Nani alimmilikisha Nyoka hivyo vijiji? Huyo Nyoka alikufaje "kizembe" kama ana power za ajabu? Hizi ni imani tu.
Kiwalala iko Lindi haiko songeaNyoka za songea hzo hazijawahi kuwaacha watu salama
Hii scenario ya pili kuacha ile ya yule mzee aliyebeba nyoka kwenye boksi
Inaonekana songea wanatumia sana nyoka
Nyoka ni kiumbe tu ambaye binadamu mwenye akili anaweza kum control.Habari zenu...
Note:Kuamini kwako au kutokuamini kwako hakufanyi kitu kisiwepo.
Ni hivi ilikuwa siku ya jumamosi nikitoka katika mizunguko yangu ya kusaka maisha pande za Songea nikirudi dar kwa kutumia usafiri wa basi[Superfellow].
Ila tulipofika Kijiji kimoja kinaitwa kiwalala tulikutana na maajabu ya dunia.Tulipofika kiwalala tulikuta watu wengi sana wamezagaa maeneo ya barabara hivyo tulishindwa kuendelea na safari gari likasimama.Baada ya kudadisi kumbe kulikuwa na mkasa wa mambo ya uchawi mambo yalikuwa hivi~
Kuna bibi mmoja aliwapa kibarua mabinti wawili shambani kwake kazi ya kulima shamba lake.Wale mabinti walipofika shambani wakaanza kulima ghafla akatokea nyoka yule binti mmoja akamuuwa,baada ya kumuuwa wakaendelea kulima kabla hawajafika mbali akaja nyoka mwingine baada ya kuja nyoka wa pili akaja na yule bibi mwenye shamba.
Alipofika yule Bibi akamwambia yule binti aliyeuwa nyoka wa kwanza kama unaweza muuwe na nyoka huyu.Wale mabinti wakaanza Kuogopa wakashindwa kumuuwa yule nyoka mwingine.Kuanzia hapo Bibi akaanza kudai nyoka wake yule wa awali/kwanza aliyeuliwa.
Bibi akawa anawadai yule nyoka aliyeuliwa awali na wale mabinti,mabinti wakawa wanalia tu wanashindwa kumpa yule bibi nyoka wake.Ile kesi ilifika hadi serikali ya kijiji lakini cha ajabu yule bibi hakusita kudai nyoka wake.Kesi iligusa wananchi wengi wa maeneo ya kiwalala na viunga vyake.
kwanini bibi alidai nyoka ambaye ameshakufa?
Swali hili lilizunguka katika kichwa changu,ndipo nilipoanza kufanya udadisi kwa wananchi waliko pale.
Kumbe nyoka yule alikuwa ana matumizi mbalimbali katika ulimwengu wa giza.Nyoka aliyeuliwa alikuwa anamiliki vijiji 15 katika maeneo hayo alitumiwa kuuwa watu na kuiba vitu mbalimbali kama vile pesa,Kuku n.k.Pia nyoka huyo alikuwa anakodishwa kwa watu Kwa ajili ya matumizi mbali mbali yaani yule Bibi alikuwa anaishi kwa kutegemea yule nyoka.
Nyoka huyo ni wakawaida kama walivyo nyoka wengine?
Cha kushangaza kumbe yule nyoka hakuwa nyoka kama nyoka wakawaida bali alikuwa ni mtoto wa yule bibi alimfanya msukule kwa kumgeuza nyoka.Serikali ya kijiji ilishindwa kuamuwa kesi hiyo na kuamuru kesi ifike mahakamani.
Alafu kesi hii unaambiwa sio ya kwanza katika kijiji hiki kumewahi kutokea kwa kesi za namna hii nyingi sana hapo kiwalala.Kwa tukio hili nimeamini uchawi Upo.
Nawasilisha kwenu...
critical thinker
Nasikia wafipa ni wachawi balaa ila sasa mbona mkoa wenu maskini mkuu ? Bora uchawi wa mbesa/pesa ndio dili uchawi wa mwenzako unamfanyia fitna mngeacha looh dunia imebadilikaNjooni sumbawanga,kutembea tuu.halafu mseme kwenu kuna uchawi.
Sent from my TECNO-N6 using JamiiForums mobile app