Mbona mkwe kaachwa?Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa.
Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk.
Inabdi watenguliwe na wakafunguliwe mashtaka serikali iwakane kuwa wakiyatenda wenyewe peke yao kwa mapenzi yao. Iwe sawa na special mission za kijeshi ambapo ukikamatwa nchi inakukanaMjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa.
Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk.
Siri? Wizi wa kura kumbe ndo siri za serikali? Sikuwa najua hilo....Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa.
Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk.
Kama alichoongea DC ni sahihi, je, ni jinai au sio jinai? Kama ni jinai, ina sifa ya kuwa siri?Siri ni jambo lolote lisilojulikana kwa wengi au kwa wasiohusika. Na ndio maana kuna siri kuu, siri ya muda fulani na siri sana!
Uzi ufungwee.Viongozi huwa wanakula kiapo cha kulinda siri za serikali
Unyumbu ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao, human herding is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working towards group objectives for person gains and fear of their leadersMjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa.
Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk.
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa