Je, unadhani ni sahihi viongozi kutenguliwa baada ya kusema 'siri' za serikali? Au wangepewa fursa ya kutengua kauli?

Je, unadhani ni sahihi viongozi kutenguliwa baada ya kusema 'siri' za serikali? Au wangepewa fursa ya kutengua kauli?

Halafu utashangaa pamoja na huo ukweli wanaouanika bado watakuja kutupigia kelele za nichagueni mimi, unaona kabisa watu wakiondolewa maisha ili wengine waneemeke
 
Siku zote ukiwa na cheo kauli yako inasikilizwa na umma, serikali inafanya makusudi kabisa kuwatengua ili zibaki tu speculations.
 
Back
Top Bottom