U ufo tz Senior Member Joined Jun 22, 2012 Posts 183 Reaction score 187 Sep 2, 2024 #21 Mshana Jr said: Mbona mkwe kaachwa? Click to expand... We we we..!.uchawi upo ..mama hajasikia bana.
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Sep 2, 2024 #22 Lanlady said: Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa Click to expand... CCM ndio ya kutenguliwa sasa watanzania!
Lanlady said: Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa Click to expand... CCM ndio ya kutenguliwa sasa watanzania!
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 24,844 Reaction score 29,126 Sep 2, 2024 #23 Mshana Jr said: Mbona mkwe kaachwa? Click to expand... Kwani na ye kaongea nini? Nimepitwa
N ndolelejiUduhe JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,837 Reaction score 3,027 Sep 2, 2024 #24 Lanlady said: Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa Click to expand... Mtu akikiri alitenda jinai mbele ya Hakimu akiwa na akili zake timamu kisha siku ya kutolewa hukumu aambiwe atengue kauli yake kwanza ????!!!! 🙄😱
Lanlady said: Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa Click to expand... Mtu akikiri alitenda jinai mbele ya Hakimu akiwa na akili zake timamu kisha siku ya kutolewa hukumu aambiwe atengue kauli yake kwanza ????!!!! 🙄😱
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,635 Reaction score 2,271 Sep 2, 2024 #25 Lanlady said: Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa Click to expand... Je ndivyo kiapo chake kinavyosema? Kama sivyo achukuliwe hatua za kisheria.
Lanlady said: Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa Click to expand... Je ndivyo kiapo chake kinavyosema? Kama sivyo achukuliwe hatua za kisheria.
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 12,444 Reaction score 18,741 Sep 2, 2024 #26 Halafu utashangaa pamoja na huo ukweli wanaouanika bado watakuja kutupigia kelele za nichagueni mimi, unaona kabisa watu wakiondolewa maisha ili wengine waneemeke
Halafu utashangaa pamoja na huo ukweli wanaouanika bado watakuja kutupigia kelele za nichagueni mimi, unaona kabisa watu wakiondolewa maisha ili wengine waneemeke
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Sep 2, 2024 #27 Mkweee ? Au yeye alikuwa anatania tu ?
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 585 Reaction score 1,299 Sep 3, 2024 #28 Siku zote ukiwa na cheo kauli yako inasikilizwa na umma, serikali inafanya makusudi kabisa kuwatengua ili zibaki tu speculations.
Siku zote ukiwa na cheo kauli yako inasikilizwa na umma, serikali inafanya makusudi kabisa kuwatengua ili zibaki tu speculations.