Je unadhani Tundu Lissu ni Zaidi ya Julius Nyerere?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40

Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.

Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?

TOA MAONI YAKO
 
ok.
ni kweli, Tundu Lisu anaweza kufanana katika kupambana kama steve nyerere katika tasnia ya sana :1Head:
 
Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40

Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.

Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?

TOA MAONI YAKO
Wewe ni MPUMBAVU, MJINGA, MASHENZI, MBUMBUMBU, LOFA NA FALA. Yaani Lissu unamlinganisha na Mwl. Nyerere? Unastahili KUPOTEA!
 
Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40

Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.

Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?

TOA MAONI YAKO
Ndio. Kwa sababu Mwalimu Nyerere hakuwa mwana sheria. Je mchango wa Tundu Lissu kwa Tanzania ni mkubwa kuliko wa Mwalimu Nyerere. Hapana. Hamna mwana siasa mTanzania anae/alie karibia mchango na status ya Mwalimu katika siasa za Tanzania, Afrika na dunia. Hamna hata mmoja.

Amandla...
 
Steve Nyerere sawa......Nyerere halisi hakuwahi kuwabadilisha uraia watoto zake na mkewe na wala hakuwahi kuwa kibaraka wa wazungu.
 
Chadema mna tatizo moja la msingi. Mnafikiri na kufanya kana kwamba hii nchi haijawahi kuwepo, haijawahi kuwa na heroes, giants wake, na kwamba nyie ndio mnakuja kuuunda gurudumu. Iko hivi, ndo maaana mnafeli sababu mnajihisi mna akili but hizo sio akili.
 
Jibu swali letu mkuu, au wewe ni miongoni mwa mnaotaka Nyerere awe Mtakatifu?
 
Abdul Nondo wa ngome ya vijana ACT ni mkubwa kisiasa kuliko Tundu Lissu. Ninakataa kabisa kwamba Lissu kamzidi Steve Nyerere kisiasa.
 
Hilo nimekuwa nikilisema sana bahati mbaya watu wamekuwa waki catch feelings wakidhani namkosea adabu Nyerere.

Nyerere ni legend hilo wote tunalikubali lakini mapito yake ya harakati hayakuwa na vizingiti vigumu kama tunavyoona utawala wa miaka hii.

Utawala wa kikoloni kuna namna ulikuwa na hali ya kuthamini utu. Hiyo kwa utawala wa sasa haipo.

Katika mapambano ya Nyerere hakuwahi kupigwa mabomu, hakuwahi kuwekwa jela na kubwa zaidi hayajui maumivu ya risasi.

Wafuasi waliokuwa wakimuunga mkono Nyerere hawakuwa victims wa kutekwa, kuuwawa wala kupotezwa.

Labda mnisahihishe leo kwa kunitajia fulani na fulani waliowahi kutekwa, kuuawa au kupotezwa maybe I got it wrong.

Miaka ya sasa kuna wanasiasa wengi walitaka kutuongopea kwamba kuwa na roho ngumu kama Lissu ni jambo rahisi.

Walikuwa wanajaribu kutunisha muscles kuonesha nao wana balls kama za Lissu lakini mwisho wa siku the last man standing amebakiwa kuwa Lissu.

Utawala wa sasa una approach 3 za kudili na wapigania demokrasia. Ukiwa mtu mwenye ushawishi sana kwa jamii watakuja na approach ya rushwa.

Kipengele hiki cha rushwa kimepita na wanasiasa wengi sana ambao huko nyuma wananchi waliwahi kuamini kama wawakilishi sahihi wa sauti zao.

Lakini kama mwanasiasa au mwana harakati hana ushawishi mkubwa kwa wananchi huwa anapewa onyo la kitisho aache mara moja kutingisha hiyo meza.

Asipofanya hilo ndio hapo jina la wasiojulikana linapoanza kutajwa kwenye whereabout yake.

Lissu kapitia mateso makubwa pengine hata waliowahi kuonja kifo wakifufuliwa leo wanaweza kutoa ushuhuda "wakati tunakufa hatukuwahi kupata maumivu ambayo amepata"

Mazingira haya katika kipindi cha harakati za Nyerere hayakuwepo kabisa.
 
Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40

Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.

Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?

TOA MAONI YAKO
Lissu ni zaidi ya Mbowe. Nyerere alikuwa na akili.
 
Nyerere hakuwahi kupigania uhuru wa Tanganyika
Uhuru tulipewa bure, decolonization ilikuwa sera na nchi zote zikapewa uhuru chini ya League of Nations na baadae UNO
Hata ningekuwepo Mimi Nina Degree wakati huo ningepewa nchi.
Binafsi simwonagi Nyerere kama hero bali mtu aliyeuwa hili Taifa Toka mwanzo.
Nyerere alikabidhi vyombo vya ulinzi na na usalama kuwa taasisi za CCM,
Nyerere alileta sera za ujamaa.
Nyerere alileta katiba ya ovyo.
Nyerere alileta Muungano wa ovyo
 
Asante
 
Back
Top Bottom