Hii siyo mada mkuu, Erythro, sijui leo akili yako imevurugwa na jambo gani?
Kuna mambo ya msingi sana mengi ambayo ungeweza kuyatia kwenye mzani hapa watu wakayajadili kikamilifu.
Kwa mfano: Hivi kweli mtu mmoja kama George Bagyemu, bwege mmoja tu toka sehemu fulani, kwa vile yeye ni polisi anaweza akahatarisha uhai wa mtu asiyekuwa na hatia yoyote kama Tundu Lissu; tena mtu anayetafuta ukombozi wa taifa hili?
Huyu Bwege kapata msukumo toka wapi, kwa Bw. Abdul na mahela yake?
Hili ningeweza kushiriki na kujadili, kwa sababu ni jambo la kutisha sana.