Je unadhani Tundu Lissu ni Zaidi ya Julius Nyerere?

Je unadhani Tundu Lissu ni Zaidi ya Julius Nyerere?

upo sahihi mkuu kwa upande wangu magu alikuwa sahh kwa kiasi, kwanza lazima utambue rais kwa katiba yetu imempa mamlaka kubwa sana kuvunja mikataba kibwege si vibaya hta kama ikiighalim nchi kulko kuendelea kuacha watu wananufaika kwa miongo huku wananchi wakiishi kwa umasikini ulotopea huku nchi inakila kitu na wachache wananufaika kumbuka ni(HELI LAWAMA KULIKO FEDHEHA) Jambo lingine kwenye hii dunia hakuna utawala usioua watu ambao ni kikwazo hasa pale unapokuwa wewe unania ya dhati ya kuleta mabadiko alafu kunawatu wanataka kukufelisha,kwa kujua au kwa kumiwa bila wao kujua hata ungekuw ww mkuu.
Kazi ipo
 
Kwahiyo unataka tumlinganishe tundu lissu na huto tutako twako kama skonzi na tuna ukurutu sugu usiokoma hata kwa dawa gani
Kumbe unaumwa kiasi hicho na inahitaji dawa? Nenda kanunue mafuta na maji ya Mwamposa! Utapona haraka sana huo ukurutu!
 
upo sahihi mkuu kwa upande wangu magu alikuwa sahh kwa kiasi, kwanza lazima utambue rais kwa katiba yetu imempa mamlaka kubwa sana kuvunja mikataba kibwege si vibaya hta kama ikiighalim nchi kulko kuendelea kuacha watu wananufaika kwa miongo huku wananchi wakiishi kwa umasikini ulotopea huku nchi inakila kitu na wachache wananufaika kumbuka ni(HELI LAWAMA KULIKO FEDHEHA) Jambo lingine kwenye hii dunia hakuna utawala usioua watu ambao ni kikwazo hasa pale unapokuwa wewe unania ya dhati ya kuleta mabadiko alafu kunawatu wanataka kukufelisha,kwa kujua au kwa kumiwa bila wao kujua hata ungekuw ww mkuu.

..watawala kuuwa wapinzani wao sio sawa.

..Na watawala wakishaonja damu huwa hawaachi.

..watawala wakishauwa tu, lazima watalazimika kujilinda.

..Na mara nyingi watawala kujilinda hulazimika kuuwa mara kwa mara.

..Msidhani utawala wa Mama Abduli ataacha kuuwa.

..Kuna wanaoamini maridhiano ni pamoja na kumshawishi Mama Abduli na genge lake kuwa watakuwa salama pamoja na mauaji wanayohusishwa nayo.
 
Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40

Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.

Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?

TOA MAONI YAKO
Tanganyika haikuwa koloni la nchi yoyote ile wakati tunapata Uhuru mwaka 1961, mwaka 1960 Tanganyika ilipata Madaraka(mock), hii ilitolewa na UNO ambayo ndiyo iliimiliki Tanganyika na kuikabidhi kwa Uingereza kama mlezi na si mtawala ndiyo sababu Nyerere alikuwa anakwenda UNO kujieleza(kuomba Uhuru) kwani sharti la UNO lilikuwa kuona tuna elimu ya kutosha kuweza kujiongoza kama nchi mpaka pale UNO iliporidhika kuwa angalau tunaweza kujiongoza wenyewe hata hivyo nafasi za juu serikalini ziliendelea kuwa chini ya waingereza na kupunguzwa taratibu kulingana na ujuzi, hivyo kusema Nyerere alipambana na wakoloni weupe ni kujipamba vinginevyo tusingekuwa kama tulivyo maiti, alijisemea mzee jomo Kenyatta.
 
kwa nini huwa unapata aleji usomapo Tundu Lissu? hujui siasa wewe
mbona unakasirikia maoni yangu huru gentleman?

si utoe maoni yako huru jukwaani kwa amani tu bila makasiriko dhidi ya maoni ya wengine na itapendeza zaidi?🐒
 
Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40

Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.

Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?

TOA MAONI YAKO
Nyerere yupi sasa? Kama ni Nyerere mpigania Uhuru basi Tundu Lissu ni zaidi yake. Ingawa wote waliwahi kushitakiwa kwa uhaini

Tundu Lissu anatakiwa kufananishwa na akina Jomo Kenyatta, siyo Nyerere
 

Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 8
Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40

Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.

Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?

TOA MAONI YAKO
Tundu Lissu ni zaidi. Nyerere hakuwahi kupigwa risasi hata moja na wakoloni weupe. Tundu Lissu ana risasi mwilini aliyopigwa na wakoloni weusi.

Concludion: Lissu ni zaidi ya Nyerere.
 
Ndio. Kwa sababu Mwalimu Nyerere hakuwa mwana sheria. Je mchango wa Tundu Lissu kwa Tanzania ni mkubwa kuliko wa Mwalimu Nyerere. Hapana. Hamna mwana siasa mTanzania anae/alie karibia mchango na status ya Mwalimu katika siasa za Tanzania, Afrika na dunia. Hamna hata mmoja.

Amandla...
Joyce Mukya katika ubora wako
 
JPM aliyeiba uchaguzi wa Serikali za mitaa yote nchi nzima wakawa CCM.
JPM aliyenunua wabunge wa upinzani hao COVID 19 ulitaka asipingwe
JPM alianzisha uhuni wa kuteka na kupoteza watu ulitaka Lissu amchekee.
JPM aliyeanzisha sheria za kudhibiti vyombo vya habari, ili asifiwe yeye ulitaka achekewe
Japo alifanya vyema kwenye kuthibiti mianya ya wizi na miundo mbinu ila Kuna mengi ilikuwa laZima tumkosoe tu
Kutekwa kwa raia nchi hii hakujaanza wakati wa Magufuli, umezaliwa lini kijana?
 
Sifa ulizokuwa ukimmiminia msaliti Mbowe mpaka watu wakaanza kudhani kuwa wewe ni mke wa Mbowe naona umezihamishia kwa Lissu. Wewe na Mwashambwa hamna tofauti - wote machawa tu!
 
Nyerere alikosea kuunganisha Tanganyika na Zanzibar
 
Back
Top Bottom