Je unadhani Tundu Lissu ni Zaidi ya Julius Nyerere?

Nyerere huyu huyu aliyeshindwa kuandika katiba mpya huyu huyu alieua Tanganyika naweza kusema hata matatizo anayopitia Lissu chanzo chake kikuu ni Nyerere kwangu Lissu ni bora mara 100 dhidi ya Nyerere
Huo ni ujinga wako tu ulioamua wewe mwenyewe kuutumia ili ujione kuwa unafahamu kitu kumbe hakuna unachojuwa.
 
Nyerere mbinafsi alijifikiria yeye na cheo chake
Akaandika katiba ya kumfanya Mungu mtu, baadae wakaja wahuni wanapita humo miaka yote kukandamiza, kuuwa na kuhukumu
Nyerere aliyeuwa Tanganyika aliyokabidhiwa na Mwingereza akaenda kuleta Muungano bila nchi yetu nzuri kuwa na nafasi, yaani aliuza nchi yake Kwa Karume
Huyu siwezi kumwona mzalendo
Hakuna alichopigania
Uhuru lilikuwa suala la wakati, wakati wa ukoloni ulifika mwisho
Alitaka atawale mihimili mwingine, ina Bunge na mahakama havina meno Kwa serikali
Tupo hivi Kwa njia za ubinafsi na maono mabovu ya Nyerere
ukimwona Nyerere kutokuwa "mzalendo" sina shaka yoyote ya kuwa wewe mwenyewe unasumbuliwa na tatizo kubwa sana maishani mwako zinazokufanya uone hivyo.
Itabidi uhoji upya uelewa wako wa uzalendo ni nini.

Mada yenyewe iliyowasilishwa hapa ni mbovu, kwa hiyo haishangazi hata kidogo kuona watu ambao wanaeleweka kuwa na upeo katika mambo mengine, leo hii wakionekana kuwa tofauti kabisa.
Hata sijui mleta mada alitaka kupima kitu gani hasa kwa kuleta mada kama hii hapa wakati huu.
 
Nambie you uzalendo hasa wa Nyerere
 
TAL kwa zama hizi amejipambanua vyema lakini si kwa levo za baba wataifa, ingawa kama binanam alikuwa na mapungufu yake,. ila huwa napata mashaka kidogo na hwa wanasiasa wa sasa, lejea kipindi cha mwamba magu, yule mwamba alipambana sana na kutaka kuiweka tz kwenye mstari sahihi mfno mikataba ya madini tuliyokuwa tunapigwa lakn lisu n kati ya mtu alokuwa anampinga sana ingawa ukweli aliujua sasa huwa nawaza je kweli lisu n mzalendo wa kweli? na kwanini kila jambo alikuwa anapinga wakti mengine magu alifanya kwa masilahi ya taifa! au upinzani ni kupinga kila kitu hata kama ni ukweli., hapo huwa napata mashaka sana
 
Magufuli alikuwa anadanganywa na akina Osoro, mikataba haivunjwi kibwege, zaidi aliua wakosoaji wake hata kwa mambo madogo, ndiye muasisi wa utekaji na mauaji
 
JPM aliyeiba uchaguzi wa Serikali za mitaa yote nchi nzima wakawa CCM.
JPM aliyenunua wabunge wa upinzani hao COVID 19 ulitaka asipingwe
JPM alianzisha uhuni wa kuteka na kupoteza watu ulitaka Lissu amchekee.
JPM aliyeanzisha sheria za kudhibiti vyombo vya habari, ili asifiwe yeye ulitaka achekewe
Japo alifanya vyema kwenye kuthibiti mianya ya wizi na miundo mbinu ila Kuna mengi ilikuwa laZima tumkosoe tu
 
Umemaliza kila kitu
 
ok.
ni kweli, Tundu Lisu anaweza kufanana katika kupambana kama steve nyerere katika tasnia ya sana :1Head:
Kweli lissu ni kama steve nyerere 😆
Wakili msomi wa miamala

TAL kwa zama hizi amejipambanua vyema lakini si kwa levo za baba wataifa, ingawa kama binanam alikuwa na mapungufu yake,. ila huwa napata mashaka kidogo na hwa wanasiasa wa sasa, lejea kipindi cha mwamba magu, yule mwamba alipambana sana na kutaka kuiweka tz kwenye mstari sahihi mfno mikataba ya madini tuliyokuwa tunapigwa lakn lisu n kati ya mtu alokuwa anampinga sana ingawa ukweli aliujua sasa huwa nawaza je kweli lisu n mzalendo wa kweli? na kwanini kila jambo alikuwa anapinga wakti mengine magu alifanya kwa masilahi ya taifa! au upinzani ni kupinga kila kitu hata kama ni ukweli., hapo huwa napata mashaka sana

..ripoti za uchunguzi za kipindi cha Magufuli zilikuwa na makosa na zilitufanya Watanzania tuonekane ni vichekesho.

..Lissu aliamua kusimama ktk ukweli, huku Magufuli na genge lake wakiendesha kampeni za kumchafua kwa kusema kuwa ni kibaraka.

..Ukweli wa nani alikuwa sahihi kati ya Lissu na Magufuli ulijulikana baada ya mashauri mbalimbali kufunguliwa ktk mahakama za kimataifa za usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji.

..Tanzania tumehukumiwa kulipa MABILIONI ya fedha kwasababu ya maamuzi ya kibabe na holelaholela ya Magufuli na genge lake.
 
Wewe ni MPUMBAVU, MJINGA, MASHENZI, MBUMBUMBU, LOFA NA FALA. Yaani Lissu unamlinganisha na Mwl. Nyerere? Unastahili KUPOTEA!
Hayawani wewe ni kipi Nyerere kafanya lissu hajafanya? Ila kuna mambo mabaya lissu kafanyiwa na ccm Nyerere hakuwahi kufanyiwa na wakoloni.
 
Magufuli alikuwa anadanganywa na akina Osoro, mikataba haivunjwi kibwege, zaidi aliua wakosoaji wake hata kwa mambo madogo, ndiye muasisi wa utekaji na mauaji
upo sahihi mkuu kwa upande wangu magu alikuwa sahh kwa kiasi, kwanza lazima utambue rais kwa katiba yetu imempa mamlaka kubwa sana kuvunja mikataba kibwege si vibaya hta kama ikiighalim nchi kulko kuendelea kuacha watu wananufaika kwa miongo huku wananchi wakiishi kwa umasikini ulotopea huku nchi inakila kitu na wachache wananufaika kumbuka ni(HELI LAWAMA KULIKO FEDHEHA) Jambo lingine kwenye hii dunia hakuna utawala usioua watu ambao ni kikwazo hasa pale unapokuwa wewe unania ya dhati ya kuleta mabadiko alafu kunawatu wanataka kukufelisha,kwa kujua au kwa kumiwa bila wao kujua hata ungekuw ww mkuu.
 
Back
Top Bottom