Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
ok.Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40
Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.
Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?
TOA MAONI YAKO
NaamNdio
Wewe ni MPUMBAVU, MJINGA, MASHENZI, MBUMBUMBU, LOFA NA FALA. Yaani Lissu unamlinganisha na Mwl. Nyerere? Unastahili KUPOTEA!Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40
Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.
Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?
TOA MAONI YAKO
Ndio. Kwa sababu Mwalimu Nyerere hakuwa mwana sheria. Je mchango wa Tundu Lissu kwa Tanzania ni mkubwa kuliko wa Mwalimu Nyerere. Hapana. Hamna mwana siasa mTanzania anae/alie karibia mchango na status ya Mwalimu katika siasa za Tanzania, Afrika na dunia. Hamna hata mmoja.Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40
Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.
Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?
TOA MAONI YAKO
Tunakushukuru kwa maoni yako, umeandika kisomi sana, hasa pale mwishoWewe ni MPUMBAVU, MJINGA, MASHENZI, MBUMBUMBU, LOFA NA FALA. Yaani Lissu unamlinganisha na Mwl. Nyerere? Unastahili KUPOTEA!
Jibu swali letu mkuu, au wewe ni miongoni mwa mnaotaka Nyerere awe Mtakatifu?Chadema mna tatizo moja la msingi. Mnafikiri na kufanya kana kwamba hii nchi haijawahi kuwepo, haijawahi kuwa na heroes, giants wake, na kwamba nyie ndio mnakuja kuuunda gurudumu. Iko hivi, ndo maaana mnafeli sababu mnajihisi mna akili but hizo sio akili.
Pazingatie sana hapo mwisho!Tunakushukuru kwa maoni yako, umeandika kisomi sana, hasa pale mwisho
Alishindwa Jiwe ndio awe mumeo Abdul? Kuua si rahisi kama unavyodhani, nitafute nikutafute, je nani atawahi?Pazingatie sana hapo mwisho!
Okay.Alishindwa Jiwe ndio awe mumeo Abdul? Kuua si rahisi kama unavyodhani, nitafute nikutafute, je nani atawahi?
Kuwa makini na maandiko yako, mimi si bwege
Lissu ni zaidi ya Mbowe. Nyerere alikuwa na akili.Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40
Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47 zaidi ya 40, baada ya serikali ya Tanzania kuagiza auawe.
Mengi mnayajua kuhusu Wawili hawa, sasa swali letu ni hili, Je mnadhani Shujaa huyu ambaye ni bingwa wa Sheria ni zaidi ya Mwl Nyerere?
TOA MAONI YAKO
AsanteNyerere hakuwahi kupigania uhuru wa Tanganyika
Uhuru tulipewa bure, decolonization ilikuwa sera na nchi zote zikapewa uhuru chini ya League of Nations na baadae UNO
Hata ningekuwepo Mimi Nina Degree wakati huo ningepewa nchi.
Binafsi simwonagi Nyerere kama hero bali mtu aliyeuwa hili Taifa Toka mwanzo.
Nyerere alikabidhi vyombo vya ulinzi na na usalama kuwa taasisi za CCM,
Nyerere alileta sera za ujamaa.
Nyerere alileta katiba ya ovyo.
Nyerere alileta Muungano wa ovyo