Je unadhani Tundu Lissu ni Zaidi ya Julius Nyerere?

Nyerere yupi sasa? Kama ni Nyerere mpigania Uhuru basi Tundu Lissu ni zaidi yake. Ingawa wote waliwahi kushitakiwa kwa uhaini

Tundu Lissu anatakiwa kufananishwa na akina Jomo Kenyatta, siyo Nyerere

Bado sana, Mpaka ashike madaraka na atende kadri ya anavo hubiri sasa. Kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti
 
Kutekwa kwa raia nchi hii hakujaanza wakati wa Magufuli, umezaliwa lini kijana?

..utekaji tawala za kabla ya Jpm ulikuwa ukifanyika kwa kificho.

..alipoingia Jpm utekaji ukawa waziwazi, na serikali haikujali kuficha, au kufuta nyayo zake, ktk matukio ya kinyama.

..Mfano mmojawapo ni jaribio la kumuua Lissu. Hawakujali kabisa kwamba jamii itajua kwamba ni Jpm na genge lake wamehusika.

Cc Nguruvi3
 
Tundu Lissu amekuwa ni mtendaji zaidi na kila mtu ni shuhuda wa hilo, and kutenda si lazima kushika madaraka bali ni impact unayosababisha katika jamii

Sio kweli mkuu,

Akae awe na absolute power kama alio kua nayo Nyerere, Then atekeleze hayo anayosema atafanya hapo ndo tutajua kama ni 10/10 au 6/10.

Otherwise, mtu yeyite kabla hajashika madaraka hua anaonekana intellectual kuliko alieko kwenye kiti, au mmesahau SSH wakati anaapishwa the way watu walikua na matumani nae?
 
Point yangu ilikuwa wazi kabisa. Niliuliza Nyerere yupi? Na nikasema kama ni yule wa enzi za kupigania Uhuru basi Tundu Lissu ni zaidi ya Nyerere, ndiyo maana nikasema Tundu Lissu anastahili kufananishwa na Jomo Kenyatta
 
.Mfano mmojawapo ni jaribio la kumuua Lissu. Hawakujali kabisa kwamba jamii itajua kwamba ni Jpm na genge lake wamehusika.
Mauaji ya kumlipua Mwandishi Mwangosi wakati wa utawala wa Kikwete yalifanyika kwa siri ?

maacm hayana historia ya utakatifu, tusiwe wepesi wa kusahau.
 
Sifa ulizokuwa ukimmiminia msaliti Mbowe mpaka watu wakaanza kudhani kuwa wewe ni mke wa Mbowe naona umezihamishia kwa Lissu. Wewe na Mwashambwa hamna tofauti - wote machawa tu!
Sifa zilikuwa za Chadema, sema kwa vile hauna ubongo huwezi kuelewa
 
Mauaji ya kumlipua Mwandishi Mwangosi wakati wa utawala wa Kikwete yalifanyika kwa siri ?

maacm hayana historia ya utakatifu, tusiwe wepesi wa kusahau.

..kwa Mwangosi Polisi walikwenda kutuliza vurugu bomu lile lililipuka kwa bahati mbaya.

..baada ya hapo walijaribu ku-cover up waliposhindwa Tume ya Haki za Binadamu ikachunguza na kutoa maelezo ya HAKI.

..Wakati wa Jpm hata kuunda Tume feki ya kufanya uchunguzi wa matukio mabaya walikuwa hawafanyi. Badala yake wakawa wanawachafua victims wa udhalimu wao ili kuhalalisha uovu huo.
 
Naunga mkono hoja hii kwa asilimia zote
 
Nambie you uzalendo hasa wa Nyerere
Mkuu 'Ngara23', hiyo dikshenari unayotumia wewe ku'define' "uzalendo' inayokupa tafsiri ya kuhoji uzalendo wa Mwalimu Nyerere, hiyo mimi sina.
Kwa hiyo hata nikikueleza ninavyoufahamu "uzalendo" nitakuwa nje kabisa ya hiyo unayoifahamu wewe.
Kwa maana hiyo, sihitaji kukufafanulia hayo unayotaka niyafanye.
 
Wapambe wamemwagwa humu maana inawapa pressure, angalia trend ya nyuzi zinazomzungumzia Lisu hivi karibuni utagundua kuna harufu mbaya ya wapambe.
 
Tu assume ulichoandika ni cha kweli. Unaweza kueleza kwanini wakina Dokta Slaa walipigwa kipigo cha mbwa koko wakati wanaongoza maandamano ya amani jijini Arusha au nao waliumizwa kwa bahati mbaya?
 
Tu assume ulichoandika ni cha kweli. Unaweza kueleza kwanini wakina Dokta Slaa walipigwa kipigo cha mbwa koko wakati wanaongoza maandamano ya amani jijini Arusha au nao waliumizwa kwa bahati mbaya?

..ile ya Mwangosi ilikuwa ni ajali.

..Polisi hawakutumwa kuuwa muandishi / waandishi wa habari.

..Polisi walikuwa wametumwa kusambaratisha mkutano wa Chadema.

..Dr.Slaa angekuwepo Chadema wakati wa Jpm, angekutwa na tukio baya kama, au zaidi ya tukio dhidi Tundu Lissu.
 
Japo hujajibu nilichouliza nafikiri ungeweka vizuri issue ya Mwangosi. Pale Iringa hakukuwa na kitisho chochote cha usalama , isipokuwa ndio yale yale mambo ya mapoliccm kutumia nguvu nyingi kuliko inayohitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…