Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Mtoto uliyenaye ni wa kike au kiume?na ana umri gan?Kabila gan?
 
Hahaaaa mi sikufai labda; niko chuo, cna ajira lakini nimeona unanifaa
 

Madam B kama umepata tunaomba mrejesho,au bado short list haijakamlika.
 
Wewe unaonekana mwanamke fulani hivi "dictator" kiaina...Ila too modern, ambacho sijaweza ku_extract kutoka kwenye maneno yako ni kuwa you need a "good" man to father your child/children ili wakue vizuri kisaikolojia or you need a man as kama symbol of "respect" kwenye jamii maana nikiona umri wako uko kwenye "red lights". Mimi Naomba kujua zaidi kwa hilo....
 

ukiPM ndo utajibiwa mzee kwan hujasoma? au unataka kujisubirisha bila sababu?
 
Angekuwa mwingine ningetupia nyavu Kumbe ni madam B. Napita tu.
 

una elimu ya chuo kipi au modern commercial institute?
 
I have all what you need............so lets meet and begin our love journey.
Cheers babe!:love:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…