Wee binfsi upo addicted na lipi..Jamaaa umetisha sana kwa maelezo yako kuntu, ila kuhusu hili suala la kuwa addicted wa mambo haya yafuatayo 1.matumizi ya vileo, 2. Kupenda starehe, 3. Master(kujichua) nk nk ni moja kati ya mambo magumu mtu kujinasua..ila yataka moyo kuyashinda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy to see you againπ€π€ Denvers sawa
Yaani wewe una undugu na mods au una nini lakini?Pamoja sana kiongozi
Sina undugu na mod yoyote ila tu nikiona jina nimelipenda nabadiri tu..Yaani wewe una undugu na mods au una nini lakini?
Unabadili I'd daily kwani uko kwenye tafiti?
Usiwe kigeugeu kwenye maisha yako mengine pia..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Saiz huku kitaa hadi watu wazima wana nikubali sanaKila ikitokea kubishana lazima waniite nielezee kwanza mimi na nikielezea mimi bas hata utoke mbingun hawata kuelewa
Hii mada juzi ilipandisha kwenye chati tulikuwa tunazungumzia NI KWANINI BAADHI YA WATU HUWA NI WEZI HATA KAMA NI MATAJIRI?[emoji112][emoji112][emoji112][emoji16][emoji16][emoji16]