Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Jamaaa umetisha sana kwa maelezo yako kuntu, ila kuhusu hili suala la kuwa addicted wa mambo haya yafuatayo 1.matumizi ya vileo, 2. Kupenda starehe, 3. Master(kujichua) nk nk ni moja kati ya mambo magumu mtu kujinasua..ila yataka moyo kuyashinda!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee binfsi upo addicted na lipi..
 
Yaani wewe una undugu na mods au una nini lakini?
Unabadili I'd daily kwani uko kwenye tafiti?
Usiwe kigeugeu kwenye maisha yako mengine pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina undugu na mod yoyote ila tu nikiona jina nimelipenda nabadiri tu..
mie sio kigeugeu. I'm straight forward person. Usinihofu
 
Back
Top Bottom