Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Unajua nini da vinci, There are many people who are being passed by because others don't see what is in them. But God has shown me what's in me, and I know it is in you too. My job is to stop you and say: "Can you see what's in you? Do you know your potential? Do you know that you are not just someone born in a ghetto over the hill? There's a wealth of potential in you."Nadhani ninatatizo kwenye personality yangu. Maana hata huku nilivo ni hv hv. Najiona kama ni kiumbe asiyefaa/asiye na maaana kuishi katikati ya watu. Ndio maana najistukia sana. I know this problem
Unajua da vinci ma sculptor sees so differently. They say Michelangelo (nadhani unamjaua huyu) used to walk around a block of marble for days, just walking around it, talking to himself. First he would see things in the rock; then he would go and take them out.Nadhani ninatatizo kwenye personality yangu. Maana hata huku nilivo ni hv hv. Najiona kama ni kiumbe asiyefaa/asiye na maaana kuishi katikati ya watu. Ndio maana najistukia sana. I know this problem
I don't know my potential buddy..please can you show me? Can you extract my potential?Unajua nini da vinci, There are many people who are being passed by because others don't see what is in them. But God has shown me what's in me, and I know it is in you too. My job is to stop you and say: "Can you see what's in you? Do you know your potential? Do you know that you are not just someone born in a ghetto over the hill? There's a wealth of potential in you."
Kamaa anajitahidi asee. Ana mengi mno kichwaniHa ha, af naona wadau wengi wanamwita mshana jr mara mchawi mara mganga, nadhani ni sababu ya aina za post zake ila jamaa sio mchawi wala mganga ila ana maarifa ambayo wengi hawana and the good thing ana share na wengine wayajue
Ahsante pia. Mkuu. I'm curious kujua huyo mtu uliemtaja ni nani... please shareAhsnte law kazi nzuri ya kuelimisha ili sisi binadamu tuishi maisha ya uchaguzi wetu. Tunakushukuru sana.
Denver na Mshana mnafanya kazi nzuri iliyoanzishwa na marehemu Munga Tehenan.
Fundi bishoo huu uzi ingekua ni Comment kwenye uzi wa "Ulishawahi kula tunda kimasihara" Ungesoma yote.
Tunashida vijana
Mkuu umeleweka sana hope hadhira watjifunza na hili uliloandika.. lakini pia nimeeleza kuhusu kumshirikisha Mungu kwenye mambo yakoUmeeleweka,ila hapo katika habari za chumvi kidogo...panayumba.Kama mambo yangekuwa rahisi hivyo wale ma "beach boys" wangekuwa pazuri maana wale bahari yao kama samaki.Ila naamini mafanikio yanakuja kwa "calibrated efforts 100%".Tatizo wengi efforts zetu hazina mahesabu tunakomaa sana output inakuwa chini.Sasa hayo ya chumvi tutayamaliza kisha tuanze kutegemea "luck".Tuongezee tufanye nini pia ili mambo yaende.Sio kuoga machumvi ya mawe kisha tunaenda katika interview au mishe yoyote bila kuwa equiped in terms of skills and competence.
Pia naamini mafanikio ya bahati bahati huwa yanakuwa ya mashaka na wakati wowote anguko linaweza kutokea