Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Nadhani ninatatizo kwenye personality yangu. Maana hata huku nilivo ni hv hv. Najiona kama ni kiumbe asiyefaa/asiye na maaana kuishi katikati ya watu. Ndio maana najistukia sana. I know this problem
Unajua nini da vinci, There are many people who are being passed by because others don't see what is in them. But God has shown me what's in me, and I know it is in you too. My job is to stop you and say: "Can you see what's in you? Do you know your potential? Do you know that you are not just someone born in a ghetto over the hill? There's a wealth of potential in you."
 
Unajua da vinci ma sculptor sees so differently. They say Michelangelo (nadhani unamjaua huyu) used to walk around a block of marble for days, just walking around it, talking to himself. First he would see things in the rock; then he would go and take them out.

Insight like that of a sculptor is seen in the Bible. When the world dumps and rejects you, you land on the garbage heap of the world, God walks along and picks you up. He looks deep within you and sees a person of great worth.

Don't ever let anybody throw you way. You are not junk. When Go looks at you, He sees things that everybody else ignores. you are worth so much that Jesus went to Calvary to salvage and reclaim you. The spirit of God connected to your spirit is the only true judge of your worth. Don't accept that opinions of others because they do not see what God sees.

When God looks at you, He sees things that everybody else ignores.

You are so important mani... Nadhani umenielewa rafiki.... Taratibu naamini utakuja kua normal kabisa
 
Unajua nini da vinci, There are many people who are being passed by because others don't see what is in them. But God has shown me what's in me, and I know it is in you too. My job is to stop you and say: "Can you see what's in you? Do you know your potential? Do you know that you are not just someone born in a ghetto over the hill? There's a wealth of potential in you."
I don't know my potential buddy..please can you show me? Can you extract my potential?
 
Baba Swalehe,
Daaah maneno mazito yenye faraja haya mkuu..Ahsante sana. Mickey nampata!
Sijui kwanini naweza kuwashauri watu wenye hali fulani nami niliyonayo wakaweza kutoka ila mm siwez. Mwisho nimekubaliana kua ndio maisha yangu
 
Ha ha, af naona wadau wengi wanamwita mshana jr mara mchawi mara mganga, nadhani ni sababu ya aina za post zake ila jamaa sio mchawi wala mganga ila ana maarifa ambayo wengi hawana and the good thing ana share na wengine wayajue
 
Kamaa anajitahidi asee. Ana mengi mno kichwani
 
Ahsnte law kazi nzuri ya kuelimisha ili sisi binadamu tuishi maisha ya uchaguzi wetu. Tunakushukuru sana.

Denver na Mshana mnafanya kazi nzuri iliyoanzishwa na marehemu Munga Tehenan.
 
Ahsante pia. Mkuu. I'm curious kujua huyo mtu uliemtaja ni nani... please share
 
Umeeleweka,ila hapo katika habari za chumvi kidogo...panayumba.Kama mambo yangekuwa rahisi hivyo wale ma "beach boys" wangekuwa pazuri maana wale bahari yao kama samaki.Ila naamini mafanikio yanakuja kwa "calibrated efforts 100%".Tatizo wengi efforts zetu hazina mahesabu tunakomaa sana output inakuwa chini.Sasa hayo ya chumvi tutayamaliza kisha tuanze kutegemea "luck".Tuongezee tufanye nini pia ili mambo yaende.Sio kuoga machumvi ya mawe kisha tunaenda katika interview au mishe yoyote bila kuwa equiped in terms of skills and competence.
Pia naamini mafanikio ya bahati bahati huwa yanakuwa ya mashaka na wakati wowote anguko linaweza kutokea
 
Mkuu umeleweka sana hope hadhira watjifunza na hili uliloandika.. lakini pia nimeeleza kuhusu kumshirikisha Mungu kwenye mambo yako
 
Back
Top Bottom