Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

Vizoezi hivyo vitafanyika wakiwa pamoja
 
Sawa

Lakini mbona wanaonasa n wale waliochepuka katka ndoa yaan mke wa mtu anachepuka na hawala yake

Sijawahi kusikia mtu na mke wake wame nasa hebu fafanua hapa.
sasa hili nalo linahitaji ufafanuzi mkuu, mtu na mke wake ubaki kuwa Siri yao. Ila hao walioiba wanahusisha na imani za kishirikina na pindi wanapoomba back up vyumba vya jirani basi siri ufichuka na kuwa hadharani.
 
Kw ufahamu wangu mkuu, mara nyinga na kwa asilimia kubwa vaginismus hutokea kwa mabikira, sijawahi sikia au shuhudia kwa mtu asie bikira akikutana na hio kitu.

Another issue ni kwamba mbona kesi nyingi za kuumana zinatokea Afrika???

Siutukuzi ushirikina but kwa hili, inafikirisha...
 
Kwamba aje kwanini itokee kwa mabikira
 
Hii Hali nadhan iliwai nikuta miaka ya nyuma sn,

Kuna mwanamke nilikutana nae mara 2, mara zote nilishidwa kuingiza hata kichwa Cha mb**.

Uke ulkua tight Sana,
ata yeye mwnyw alkua anashangaa kwanini nashindwa kuingiza.

ila nilivomuuliza akasema bikra Hana na ilishatoka miaka mingi ilopita sema hajakutana na mwanaume miaka 8 ilopita.
 
Mkuu kwanza hongera hakika kupitia uzi huu ikanibidi nitafute credible source ili nipate valid information.



 
Mkuu unge paka mafuta kidogo ktk kichwa cha zakaria na pale getini kwa zabibu kisha zakaria angeruhusiwa kuingia. Lkn kwa case ya hii penis captive ni tofauti na kesi yako mkuu
 
Hiyo hutokea sana hasa mwanamke asipo fanya mapenzi kwa muda mrefu

Hata mm ilinitokea Uke wake upo tight sana na mpk kuingiza unatumia nguvu sana na ikisha ingia hataki uchomoe coz anasema anakuwa anaumia na ukimuuliza anasema hajafanya mapenzi kwa muda wa miaka 4

Inaonekana Uke una tendency ya kurudi ktk natural position yake ikiwa hauta tumika mara nyingi
 
Usemalo Ni kweli,
Sema baadae alkuja kuzoea nikawa naingiza ila kwa tabu Sana.

Nikaja kugundua anafurahia foreplay kuliko sex yenyewe.

Na kileleni alkua anafika kwa kumgusa gusa sehem mbalimbali hasa kisimi,
Ile kuingiza ilkua Ni kujifurahisa Mimi.

Na nikiingiza hatak nimpelekee Moto wa kutosha, anataka muende slow motion TU.

Ilkua inaniboa mno, sema Basi TU nilikua namvumilia alkua Ni mrembo haswa[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…