Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

Usemalo Ni kweli,
Sema baadae alkuja kuzoea nikawa naingiza ila kwa tabu Sana.

Nikaja kugundua anafurahia foreplay kuliko sex yenyewe.

Na kileleni alkua anafika kwa kumgusa gusa sehem mbalimbali hasa kisimi,
Ile kuingiza ilkua Ni kujifurahisa Mimi.

Na nikiingiza hatak nimpelekee Moto wa kutosha, anataka muende slow motion TU.

Ilkua inaniboa mno, sema Basi TU nilikua namvumilia alkua Ni mrembo haswa[emoji2]


Abviously, Huyo alikuwa mlemavu wa viungo vya uzazi ila wewe ulikuwa hutambui hilo kutokana na urembo wake, mpenda chongo huona kengeza, Wahenga walisema.🤣
 
Mara nyingi wanaocheat ndy wananasa ila mke na mume halal hawanasi inakuaje sas hizo kesi za kunasa znawakamata wanacheat peke yao?
 
Hiyo sayansi ina uhusiano gani na kuonywa ? Kama ni mke wa mtu unaonywa mara tatu, mara ya nne ni kunasa! Ili sayansi ifanye kazi basi maonyo ni muhimu
 
Sawa

Lakini mbona wanaonasa n wale waliochepuka katka ndoa yaan mke wa mtu anachepuka na hawala yake

Sijawahi kusikia mtu na mke wake wame nasa hebu fafanua hapa.
Kwakuwa ni mume na mke hivyo wanakuwa na muda mwingi wa kusolve labla goma halijasambaa
 
Back
Top Bottom