Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?



Abviously, Huyo alikuwa mlemavu wa viungo vya uzazi ila wewe ulikuwa hutambui hilo kutokana na urembo wake, mpenda chongo huona kengeza, Wahenga walisema.🤣
 
Mara nyingi wanaocheat ndy wananasa ila mke na mume halal hawanasi inakuaje sas hizo kesi za kunasa znawakamata wanacheat peke yao?
 
Hiyo sayansi ina uhusiano gani na kuonywa ? Kama ni mke wa mtu unaonywa mara tatu, mara ya nne ni kunasa! Ili sayansi ifanye kazi basi maonyo ni muhimu
 
Sawa

Lakini mbona wanaonasa n wale waliochepuka katka ndoa yaan mke wa mtu anachepuka na hawala yake

Sijawahi kusikia mtu na mke wake wame nasa hebu fafanua hapa.
Kwakuwa ni mume na mke hivyo wanakuwa na muda mwingi wa kusolve labla goma halijasambaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…