Je, Unaiamini hadithi ya mnara wa Babeli?

Huwezi kutumia Biblia ama quran kuthibitisha kuwa vimeandikwa na Mungu huyo!!

Kufanya hivyo utakuwa unafanya kosa kubwa la kimantinki.
Unataka kuusikia ukweli?

Hoja yako hii ni ya kujihami zaidi na kuvutia upande wako mwenywe.

Kwa maneno mengine, umejitungia wewe binafsi kanuni za kundi zima kwa manufaa yako mwenyewe.

Naweza hata kusema hoja hiyo imejaa woga na hadaa kwa upande wako.

Je, unaweza kunieleza maana ya ^uthibitisho^?

Yaani unafanya circular argument, kwamba madai yanatumika kama uthibitisho.

Imagine biblia iwe kweli tu kuwa ni kitabu cha Mungu kwasababu ndani yake imeandikwa kuwa ni kitabu cha mungu!!

That is illogical.
Usiniambie eti mtuhumiwa hawezi kujitetea mwenyewe!

Unaweza thibitisha Mungu yupo kweli na kwamba hizo hadithi za kwenye Biblia na qurani si hadithi za uongo tu zilizotungwa na watu wajinga wajinga tu wasioelewa hata jua linaenda wapi usiku!?
100%
 
Kwahio hii mipango ni ya kumfurahisha nani ?
Mwisho wa siku, sifa na utukufu zinamrudia Mungu Mwenyewe, kwa sababu mambo yote hutendeka kwa manufaa ya wale wampendao Mungu.

Unapogusia matukio ya ulimwengu, kamwe usisahau picha pana ama chimbuko la hayo yote—dhambi.

Bwana Mungu mwenye hekima yote anashughulikia tatizo kuu la dhambi kwa namna ambayo wakati mwingine mwanadamu anaweza asielewe mantiki kamili ya utendaji huo.

Ila mwishowe kila nafsi itakiri kwamba matendo Yake ni makuu na ya ajabu na kwamba njia Zake ni za haki na za kweli (Ufunuo 15:3).

Unadhani Mungu hufurahishwa na mateso ya wanadamu? Kuruhusu wakati fulani tupitie taabu za dunia haina maana kwamba ndio mpango Wake. Wala kamwe hajapanga wengine wateseke na wengine wanufaike duniani.

Pia haina maana kwamba hana uwezo wa kutuepusha na masaibu hayo. Naamini kwamba Mungu ana kusudi fulani katika kila jambo analopitia mwanadamu.

Ni vyema tukajifunza kuuona utendaji wa Mungu wenye hekima na upendo hata katikati ya majanga na misiba.

Dhambi imemfanya mwanadamu kujijengea fikra kwamba kwa namna fulani yeye ni mungu wa maisha yake mwenyewe.

Lakini kadiri mwanadamu anavyoendelea katika mawazo potofu kama haya ndivyo anavyozidi kuzama zaidi katika janga la utumwa wa dhambi na matokeo husika ya dhiki.

Laiti tungekiri kwamba sie ni viumbe na kwamba yuko Muumbaji wetu, ingekuwa rahisi sana kusaidika. Mgonjwa asiyehitaji msaada akiamini kwamba hata tatizo, hatima yake ni mbaya zaidi.

Katika mazingira haya yote, Mungu lazima aoneshe kwamba Yeye ni Baba mwenye upendo na rehema, lakini pia ni Bwana aichukiaye dhambi—atangazaye kwamba mshahara wa dhambi ni mauti.

Mwisho, kuhusu falme mbalimbali kuinuka na kuanguka, zote hizo hutokea kwa sababu ya ukweli uleule kwamba Mungu ameruhusu hivyo.

Ndivyo maana viongozi na watawala wanakumbushwa daima kutenda haki wakitambua kwamba wako madarakani ili kutekeleza amana hiyo kwa niaba ya Mungu aliyewakasimu mamlaka hayo.

Taifa la Marekani ni muhimu sana katika unabii kama yalivyokuwa mataifa na falme za zamani kama vile Rumi, Misri, Babeli, Asiria, Siria, Uajemi na zinginezo.

Haiwezekani kuzungumzia matukio ya siku za mwisho bila kuizungumzia nchi ya Marekani, kama nilivyosema awali, kwa wema ama kwa ubaya.

Kidini na kihistoria, taifa hili limejiweka katika nafasi ya kuhusiana kwa ukaribu zaidi na utekelezaji wa mpango mkuu wa Mungu kuhusu ukombozi, hasa katika siku hizi za mwisho.
 
Maelezo marefu sana bila kujibu mzizi wa swali.... Kwahio yote haya yalifanyika ili Marekani ije iwe Mkombozi wa Dunia na katika kufikia safari hio Pawns kama Red Indians watu weusi na unyanganyi wa hali ya juu ulifanyika ili hili litendeke ?

Uoni kwamba aliyekwambia hayo huenda alifanya hivyo ili kuweka justification ya unyanganyi wanaofanya..., Hii haina tofauti na walivyowaambia mababu zetu kwamba Imani zao ni za Kipagani na Kipuuzi
 
Back
Top Bottom