Je Unaifahamu timu ya kwanza Tanzania kuanzia Second Round michuano ya CAF

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
NI DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS

KLABU BINGWA BARANI AFRIKA ( Champions' Cup 1975)​

NI timu nne tu Afrika nzima zilianzia second round ambazo ni

CARA Brazzaville ya CONGO BRAZAVILLE
AS Forces Armées (Dakar) ya SENEGAL
Mehalla Al-Kubra ya MISRI
Young Africans ya TANZANIA

Yanga ilianza na Enugu Rangers ya Nigeria wakatoka 1-1 nyumbani Tanzania na kutoka 0-0 ugenini nigeria na hivyo Enugu wakasonga mbele kwa faida ya goli la ugenini.

Je sababu ilikuwa ni nini?

Zamani CAF walikuwa wakiangalia nchi inakotoka timu na siyo timu yenyewe. Kwa hiyo msimu wa nyuma yake (1974) kuna timu kutoka Tanzania iliifika hadi nusu fainali kwa hiyo mwaka uliofuata Yanga ndiyo iliyochukua ubingwa na kuiwakkilisha nchi kwa kifupi Yanga ilianzia second round kwa sababu kuna timu nyingine ya Tanzania ilikuwa imefika nusu fainali mwaka 1974

Vivyo hivyo Mwaka 1999 Timu ya Majimaji ya Songea ilianzia second round kutokana na Yanga kufika group stage (Final 8) mwaka 1998

Kama mnakumbuka Haji Manara aliposema kwamba Mwaka huu yanga itaanzia second round alikuwa amekariri mfumo wa zamani

Ripoti kamili ya mashindano ya mwaka 1975, 1998 na 1999 nimekuwekea link hapa chini ukafuatilie zaidi

link1 1975 African Cup of Champions Clubs - Wikipedia
link2 1998 CAF Champions League - Wikipedia
 
ASANTE KWA KUMBUKUMBU MKUU
 
Ni muda wa kutoa hicho kinyesi unahangaika mno

Unajitutumua kuandika nyuzi zilizopitwa na wakati wakati huo rais wa fifa sijui ni nani. Ukweli n kwamba club ya Simba ipo level za juuu
Level za juu za kufanya vitendo vya kishirikina, au!

Mechi dhidi ya Platinum ya Zimbabwe tulishuhudia paka mkubwa akitambulishwa uwanjani! Mechi na Orlando Pirates, tukashuhudia tena vitendo vya kishirikina vikifanyika uwanjani kabla ya mchezo!
 
Yanga ni wazee wa historia mara ngasa alikuwa mfungaji bora mtatoa mpaka takwimu za kina kabwili.
 
Yanga imebaki kujivunia kuwa timu ya Historia tu.
Kwenye mechi za wanaume wa Afrika wana chungulia na kutoka mapema tu.
Aibu yao wanaificha kwenye Historia
 
Level za juu za kufanya vitendo vya kishirikina, au!

Mechi dhidi ya Platinum ya Zimbabwe tulishuhudia paka mkubwa akitambulishwa uwanjani! Mechi na Orlando Pirates, tukashuhudia tena vitendo vya kishirikina vikifanyika uwanjani kabla ya mchezo!
Na nyie mlikatazwa kufanya??? Uhuru ni wenu hata sasa mkitaka kufanya fanyeni,

Byuti byuti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom