Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
NI DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS
NI timu nne tu Afrika nzima zilianzia second round ambazo ni
CARA Brazzaville ya CONGO BRAZAVILLE
AS Forces Armées (Dakar) ya SENEGAL
Mehalla Al-Kubra ya MISRI
Young Africans ya TANZANIA
Yanga ilianza na Enugu Rangers ya Nigeria wakatoka 1-1 nyumbani Tanzania na kutoka 0-0 ugenini nigeria na hivyo Enugu wakasonga mbele kwa faida ya goli la ugenini.
Je sababu ilikuwa ni nini?
Zamani CAF walikuwa wakiangalia nchi inakotoka timu na siyo timu yenyewe. Kwa hiyo msimu wa nyuma yake (1974) kuna timu kutoka Tanzania iliifika hadi nusu fainali kwa hiyo mwaka uliofuata Yanga ndiyo iliyochukua ubingwa na kuiwakkilisha nchi kwa kifupi Yanga ilianzia second round kwa sababu kuna timu nyingine ya Tanzania ilikuwa imefika nusu fainali mwaka 1974
Vivyo hivyo Mwaka 1999 Timu ya Majimaji ya Songea ilianzia second round kutokana na Yanga kufika group stage (Final 8) mwaka 1998
Kama mnakumbuka Haji Manara aliposema kwamba Mwaka huu yanga itaanzia second round alikuwa amekariri mfumo wa zamani
Ripoti kamili ya mashindano ya mwaka 1975, 1998 na 1999 nimekuwekea link hapa chini ukafuatilie zaidi
link1 1975 African Cup of Champions Clubs - Wikipedia
link2 1998 CAF Champions League - Wikipedia
en.wikipedia.org
KLABU BINGWA BARANI AFRIKA ( Champions' Cup 1975)