Ukiona shetani anakupiga vita basi ujue una kitu cha thamani. Hata uwanjani, mwenye mpira ndiye anayefuatwa ili asifunge goli. Shetani alikuwa malaika mbinguni, anajua ukweli wa Biblia ndio sababu anatumia mbinu nyingi kuipinga Biblia ya kweli.Mimi sijawahi kusikia Quran ya shetani.
Sijawahi kusikia Msikiti wa shetani!
Ila kuna Biblia ya shetani.
Kuna kanisa la shetani!
Hii dini inashida gani hadi inapendwa na shetani hivi?
Sikutusi ila najaribu kukusaidia kwakuwa nakupenda kama Binadamu mwanamume kamili,Ukimaliza kunitusi jibu swali Mimi nimekusamehe Kwani Roho Mtakatifu wenu anawaongoza kutukana watu
Jibu swali
Umekusudia biblia ipi kiboko yao ? Queen James Version, KJV, NIV, AV , au ni ipi kati ya maelfu ya biblia tofauti?
Sikutusi ila najaribu kukusaidia kwakuwa nakupenda kama Binadamu mwanamume kamili,
Na unatakiwa utimize majukumu ya wanamume:
Pambana kwanza utibu tatizo lako la Ushoga ili uwe timamu kiafya na kiakili:
Ukiwa shoga hata akili zako zinakuwa chenga:
Mtafute hata Mchungaji Mwakasege atakuombea na utaondokoana na hilo tatizo lako:
Mimi ni mwanasaikolojia, na namjua mtu kutokana na anavyo ongea:
Mimi nimejitolea kukusaidia wewe unasema nakutusi
My friend Dume JembeBiblia ilishachakachuliwa sana hata hizo ulizoandika zimechakachuliwa ili kulinda roman empire
🤣
Ni Qur'an hamna kingineKatika siku hizi za mwisho, wapinga Kristo wameanza kutumia njia mbalimbali kuwapotosha waumini wa kweli. Mojawapo ya njia hizo ni kuzalisha Biblia potofu au tafsiri potofu za Biblia.
Kama huna habari kuna kitabu kinaitwa "The Satanic Bible" (Biblia ya Shetani), kilichoandikwa na Anton LaVey. Hii sio Biblia ya ki-Mungu bali ni kitabu kinachotukuza uasi, ubinafsi, na ibada za kishetani. Na wala sio tafsiri ya Biblia, bali ni maandiko ya kidini ya dhehebu la kishetani (Church of Satan).
Lakini pia yapo matoleo ya Biblia ambayo, japo yanadai kuwa ni tafsiri halali za kibiblia, yamehaririwa kwa makusudi ili kupotosha mafundisho ya msingi ya Kikristo. Tafsiri hizo huondoa au kubadilisha maandiko ya awali kuhusu Uungu wa Kristo, wokovu kwa neema, hukumu ya dhambi nk. Tuwe macho, hizi ni nyakati za mwisho.
1 Tim 4:1-5
"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani.."
Hivyo, usiamini kila toleo jipya la Biblia bila kuelewa chanzo chake. Kwa wazungumzaji wa Kiswahili, nashauri wasome tafsiri ya kuaminika iitwayo: Biblia ya Kiswahili ya Union Version (SUV). Biblia hiyo imetafsiriwa kwa uaminifu mkubwa kwa kuzingatia lugha za awali za Biblia — yaani Kiebrania (kwa Agano la Kale) na Kigiriki (kwa Agano Jipya).
Kuna tafsiri mpya ya Kiswahili, imebadili kile kifungu: "Isipokuwa kwa sababu ya uasherati," wameandika: "Isipokuwa kwa sababu ya uzinzi." Uasherati na uzinzi ni maneno mawili tofauti. Mtu anaruhusiwa kumwacha mkewe kwa sababu ya uasherati tu, sio uzinzi.
Kwa wapenzi wa lugha ya Kiingereza tafuta Biblia ya King James(KJV). Ukiona kiingereza chake ni kigumu, tafuta toleo lake jipya(NKJV).
Tafsiri hizo pia zimezingatia lugha za awali.
Nani kasema shetani alikuwa malaika? Aliyemuumba au ni watu walioshiba wakawa wanazusha mambo ya akili mwao?Ukiona shetani anakupiga vita basi ujue una kitu cha thamani. Hata uwanjani, mwenye mpira ndiye anayefuatwa ili asifunge goli. Shetani alikuwa malaika mbinguni, anajua ukweli wa Biblia ndio sababu anatumia mbinu nyingi kuipinga Biblia ya kweli.
Mahali alipo Mungu na shetani ndipo alipo.Tafakari vizuri.Mimi sijawahi kusikia Quran ya shetani.
Sijawahi kusikia Msikiti wa shetani!
Ila kuna Biblia ya shetani.
Kuna kanisa la shetani!
Hii dini inashida gani hadi inapendwa na shetani hivi?
Mpaka leo hii Jagina bado hujajua kwamba mwanzoni shetani alikuwa malaika? Hujiulizi kwanini haonekani? Hujiulizi kwanini anaweza kuingia nyumbani kwako wakati milango yote na madirisha vimefungwa? Soma Biblia utajua vema kuwa shetani alikuwa malaika. Alipoasi mbinguni alitupwa duniani na theluthi moja ya malaika walioasi pamoja naye(mapepo).Nani kasema shetani alikuwa malaika? Aliyemuumba au ni watu walioshiba wakawa wanazusha mambo ya akili mwao?
Mpaka leo hii Jagina bado hujajua kwamba mwanzoni shetani alikuwa malaika? Hujiulizi kwanini haonekani? Hujiulizi kwanini anaweza kuingia nyumbani kwako wakati milango yote na madirisha vimefungwa? Soma Biblia utajua vema kuwa shetani alikuwa malaika. Alipoasi mbinguni alitupwa duniani na theluthi moja ya malaika walioasi pamoja naye(mapepo).
Jamaa mmoja alinieleza kuwa "mlokole ni zao la watu wenye changamoto za kimaisha kwenye jamii ikiwemo mental health"..Katika siku hizi za mwisho, wapinga Kristo wameanza kutumia njia mbalimbali kuwapotosha waumini wa kweli. Mojawapo ya njia hizo ni kuzalisha Biblia potofu au tafsiri potofu za Biblia.
Kama huna habari kuna kitabu kinaitwa "The Satanic Bible" (Biblia ya Shetani), kilichoandikwa na Anton LaVey. Hii sio Biblia ya ki-Mungu bali ni kitabu kinachotukuza uasi, ubinafsi, na ibada za kishetani. Na wala sio tafsiri ya Biblia, bali ni maandiko ya kidini ya dhehebu la kishetani (Church of Satan).
Lakini pia yapo matoleo ya Biblia ambayo, japo yanadai kuwa ni tafsiri halali za kibiblia, yamehaririwa kwa makusudi ili kupotosha mafundisho ya msingi ya Kikristo. Tafsiri hizo huondoa au kubadilisha maandiko ya awali kuhusu Uungu wa Kristo, wokovu kwa neema, hukumu ya dhambi nk. Tuwe macho, hizi ni nyakati za mwisho.
1 Tim 4:1-5
"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani.."
Hivyo, usiamini kila toleo jipya la Biblia bila kuelewa chanzo chake. Kwa wazungumzaji wa Kiswahili, nashauri wasome tafsiri ya kuaminika iitwayo: Biblia ya Kiswahili ya Union Version (SUV). Biblia hiyo imetafsiriwa kwa uaminifu mkubwa kwa kuzingatia lugha za awali za Biblia — yaani Kiebrania (kwa Agano la Kale) na Kigiriki (kwa Agano Jipya).
Kuna tafsiri mpya ya Kiswahili, imebadili kile kifungu: "Isipokuwa kwa sababu ya uasherati," wameandika: "Isipokuwa kwa sababu ya uzinzi." Uasherati na uzinzi ni maneno mawili tofauti. Mtu anaruhusiwa kumwacha mkewe kwa sababu ya uasherati tu, sio uzinzi.
Kwa wapenzi wa lugha ya Kiingereza tafuta Biblia ya King James(KJV). Ukiona kiingereza chake ni kigumu, tafuta toleo lake jipya(NKJV).
Tafsiri hizo pia zimezingatia lugha za awali.
DuhJamaa mmoja alinieleza kuwa "mlokole ni zao la watu wenye changamoto za kimaisha kwenye jamii ikiwemo mental health"..
Huyu nasikia ni chakula ya mchungaji ni kondoo inayoitwa dada Kwa kiswahili (sista)Mkuu Setfree
Sorry nje kidogo ya mada, natafuta mwanamke mcha Mungu nimuoe....vipi Umeolewa!!??
Kwani mkuu unawaona walokole ni wazima?fanya research hata kazini kwako waangalie wanaojiita walokole...they have something unnormal
Wanaamini watu wote ni wapotevu isipokuwa wao tu..wanajitenga sana tuKwani mkuu unawaona walokole ni wazima?fanya research hata kazini kwako waangalie wanaojiita walokole...they have something unnormal