Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 7,035
- 9,279
Duuuh aisee, lkn ngoja nimsikie nae anasemaje....!!??Huyu nasikia ni chakula ya mchungaji ni kondoo inayoitwa dada Kwa kiswahili (sista)

ndio ushahidi umeweka hapo juu ??Sio hadithi. Licha ya kusoma habari hizo katika Biblia, nimeshuhudia mwenyewe maishani mwangu vitendo vya kishetani na nimemshinda shetani na maajenti wake kwa Jina la Yesu.
Linda imani yako tuMy friend Dume Jembe
madai kwamba Biblia ilichakachuliwa ili kulinda Roman Empire ni ya zamani sana na yamekanushwa na wasomi wengi, wa Kikristo na hata wasiokuwa Wakristo. Unajua kuwa kuna maandiko ya kale 5,800 ya Kigiriki ya Agano Jipya? Hii inafanya Biblia kuwa na maandiko ya kihistoria yaliyo na uthibitisho mkubwa kuliko maandiko yoyote ya zamani duniani. Na hata kabla ya Roman Empire, Biblia (hasa Agano Jipya) tayari ilikuwepo, na waumini waliuawa kwa kuisambaza. Kama Roman Empire ilikuwa inalinda maslahi yake, ingeifuta kabisa.
Halafu kama Biblia ingekuwa imechakachuliwa ili kulinda Roman Empire, basi habari ya Yohana Mbatizaji aliyemkemea mfalme Herode kwa uzinzi wake isingeandikwa
Marko 6:18
“Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.”
Habari ya Nabii Nathani akimkemea mfalme Daudi kwa kumchukua Bathsheba pia ingefutwa
2 Samweli 12:7
“Wewe ndiwe mtu huyo!”
HAKUNA Bibilia ya Mungu wala Shetani........ isipokua kuna hekaya za maandiko ya wananzengo kuhusu Mungu na Shetani kama zilivyo Hekaya za Bulicheka au Riwaya za elfu lela wa ulelaKatika siku hizi za mwisho, wapinga Kristo wameanza kutumia njia mbalimbali kuwapotosha waumini wa kweli. Mojawapo ya njia hizo ni kuzalisha Biblia potofu au tafsiri potofu za Biblia.
Kama huna habari kuna kitabu kinaitwa "The Satanic Bible" (Biblia ya Shetani), kilichoandikwa na Anton LaVey. Hii sio Biblia ya ki-Mungu bali ni kitabu kinachotukuza uasi, ubinafsi, na ibada za kishetani. Na wala sio tafsiri ya Biblia, bali ni maandiko ya kidini ya dhehebu la kishetani (Church of Satan).
Lakini pia yapo matoleo ya Biblia ambayo, japo yanadai kuwa ni tafsiri halali za kibiblia, yamehaririwa kwa makusudi ili kupotosha mafundisho ya msingi ya Kikristo. Tafsiri hizo huondoa au kubadilisha maandiko ya awali kuhusu Uungu wa Kristo, wokovu kwa neema, hukumu ya dhambi nk. Tuwe macho, hizi ni nyakati za mwisho.
1 Tim 4:1-5
"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani.."
Hivyo, usiamini kila toleo jipya la Biblia bila kuelewa chanzo chake. Kwa wazungumzaji wa Kiswahili, nashauri wasome tafsiri ya kuaminika iitwayo: Biblia ya Kiswahili ya Union Version (SUV). Biblia hiyo imetafsiriwa kwa uaminifu mkubwa kwa kuzingatia lugha za awali za Biblia — yaani Kiebrania (kwa Agano la Kale) na Kigiriki (kwa Agano Jipya).
Kuna tafsiri mpya ya Kiswahili, imebadili kile kifungu: "Isipokuwa kwa sababu ya uasherati," wameandika: "Isipokuwa kwa sababu ya uzinzi." Uasherati na uzinzi ni maneno mawili tofauti. Mtu anaruhusiwa kumwacha mkewe kwa sababu ya uasherati tu, sio uzinzi.
Kwa wapenzi wa lugha ya Kiingereza tafuta Biblia ya King James(KJV). Ukiona kiingereza chake ni kigumu, tafuta toleo lake jipya(NKJV).
Tafsiri hizo pia zimezingatia lugha za awali.
Sijakuelewa uasherati na uzinzi kuna tofauti? Halafu kwa mujibu wa Biblia hakunaga kuachana maana Biblia inasema mwenyezi Mungu anachukia kuachana kwa hyo hata huo uashereti si sababu ya watu kuachana Ndoa ni kifo Tu hakuna sababu nyingine na kuna sababu kwa nn Yesu alisema ispokuwa sababu ya uzinzi ni sababu watu hao waliamini sana hyo ni sababu ya kuachana lkn kiukweli Ndoa ni kifo Tu kikutenganishe na ndio maana kanisa la Mungu kuna kufunga ndoa Tu hakuna kuachanisha Ndoa haipo hyo.Katika siku hizi za mwisho, wapinga Kristo wameanza kutumia njia mbalimbali kuwapotosha waumini wa kweli. Mojawapo ya njia hizo ni kuzalisha Biblia potofu au tafsiri potofu za Biblia.
Kama huna habari kuna kitabu kinaitwa "The Satanic Bible" (Biblia ya Shetani), kilichoandikwa na Anton LaVey. Hii sio Biblia ya ki-Mungu bali ni kitabu kinachotukuza uasi, ubinafsi, na ibada za kishetani. Na wala sio tafsiri ya Biblia, bali ni maandiko ya kidini ya dhehebu la kishetani (Church of Satan).
Lakini pia yapo matoleo ya Biblia ambayo, japo yanadai kuwa ni tafsiri halali za kibiblia, yamehaririwa kwa makusudi ili kupotosha mafundisho ya msingi ya Kikristo. Tafsiri hizo huondoa au kubadilisha maandiko ya awali kuhusu Uungu wa Kristo, wokovu kwa neema, hukumu ya dhambi nk. Tuwe macho, hizi ni nyakati za mwisho.
1 Tim 4:1-5
"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani.."
Hivyo, usiamini kila toleo jipya la Biblia bila kuelewa chanzo chake. Kwa wazungumzaji wa Kiswahili, nashauri wasome tafsiri ya kuaminika iitwayo: Biblia ya Kiswahili ya Union Version (SUV). Biblia hiyo imetafsiriwa kwa uaminifu mkubwa kwa kuzingatia lugha za awali za Biblia — yaani Kiebrania (kwa Agano la Kale) na Kigiriki (kwa Agano Jipya).
Kuna tafsiri mpya ya Kiswahili, imebadili kile kifungu: "Isipokuwa kwa sababu ya uasherati," wameandika: "Isipokuwa kwa sababu ya uzinzi." Uasherati na uzinzi ni maneno mawili tofauti. Mtu anaruhusiwa kumwacha mkewe kwa sababu ya uasherati tu, sio uzinzi.
Kwa wapenzi wa lugha ya Kiingereza tafuta Biblia ya King James(KJV). Ukiona kiingereza chake ni kigumu, tafuta toleo lake jipya(NKJV).
Tafsiri hizo pia zimezingatia lugha za awali.
Kwenye vitabu vya shetani kama alivyobainisha Salman Rushdie, ongeza Quran tafadhali. Vitabu mnavyotetea si vyenu. Vina wenyewe. Nao, wanawacheka kwa ulimbukeni na uzwazwa.Katika siku hizi za mwisho, wapinga Kristo wameanza kutumia njia mbalimbali kuwapotosha waumini wa kweli. Mojawapo ya njia hizo ni kuzalisha Biblia potofu au tafsiri potofu za Biblia.
Kama huna habari kuna kitabu kinaitwa "The Satanic Bible" (Biblia ya Shetani), kilichoandikwa na Anton LaVey. Hii sio Biblia ya ki-Mungu bali ni kitabu kinachotukuza uasi, ubinafsi, na ibada za kishetani. Na wala sio tafsiri ya Biblia, bali ni maandiko ya kidini ya dhehebu la kishetani (Church of Satan).
Lakini pia yapo matoleo ya Biblia ambayo, japo yanadai kuwa ni tafsiri halali za kibiblia, yamehaririwa kwa makusudi ili kupotosha mafundisho ya msingi ya Kikristo. Tafsiri hizo huondoa au kubadilisha maandiko ya awali kuhusu Uungu wa Kristo, wokovu kwa neema, hukumu ya dhambi nk. Tuwe macho, hizi ni nyakati za mwisho.
1 Tim 4:1-5
"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani.."
Hivyo, usiamini kila toleo jipya la Biblia bila kuelewa chanzo chake. Kwa wazungumzaji wa Kiswahili, nashauri wasome tafsiri ya kuaminika iitwayo: Biblia ya Kiswahili ya Union Version (SUV). Biblia hiyo imetafsiriwa kwa uaminifu mkubwa kwa kuzingatia lugha za awali za Biblia — yaani Kiebrania (kwa Agano la Kale) na Kigiriki (kwa Agano Jipya).
Kuna tafsiri mpya ya Kiswahili, imebadili kile kifungu: "Isipokuwa kwa sababu ya uasherati," wameandika: "Isipokuwa kwa sababu ya uzinzi." Uasherati na uzinzi ni maneno mawili tofauti. Mtu anaruhusiwa kumwacha mkewe kwa sababu ya uasherati tu, sio uzinzi.
Kwa wapenzi wa lugha ya Kiingereza tafuta Biblia ya King James(KJV). Ukiona kiingereza chake ni kigumu, tafuta toleo lake jipya(NKJV).
Tafsiri hizo pia zimezingatia lugha za awali.
Kwenye vitabu vya shetani kama alivyobainisha Salman Rushdie, ongeza Quran tafadhali. Vitabu mnavyotetea si vyenu. Vina wenyewe. Nao, wanawacheka kwa ulimbukeni na uzwazwa.
Yaani unaendelea kuishi na mtu aliyechepuka mpaka kifo chako?Sijakuelewa uasherati na uzinzi kuna tofauti? Halafu kwa mujibu wa Biblia hakunaga kuachana maana Biblia inasema mwenyezi Mungu anachukia kuachana kwa hyo hata huo uashereti si sababu ya watu kuachana Ndoa ni kifo Tu hakuna sababu nyingine na kuna sababu kwa nn Yesu alisema ispokuwa sababu ya uzinzi ni sababu watu hao waliamini sana hyo ni sababu ya kuachana lkn kiukweli Ndoa ni kifo Tu kikutenganishe na ndio maana kanisa la Mungu kuna kufunga ndoa Tu hakuna kuachanisha Ndoa haipo hyo.