Je, unaijua "Biblia" ya Shetani? Pita hapa nikujuze!

Sio hadithi. Licha ya kusoma habari hizo katika Biblia, nimeshuhudia mwenyewe maishani mwangu vitendo vya kishetani na nimemshinda shetani na maajenti wake kwa Jina la Yesu.
ndio ushahidi umeweka hapo juu ??
 
Linda imani yako tu
Hilo jua maandiko yashachakachuliwa sana
 
HAKUNA Bibilia ya Mungu wala Shetani........ isipokua kuna hekaya za maandiko ya wananzengo kuhusu Mungu na Shetani kama zilivyo Hekaya za Bulicheka au Riwaya za elfu lela wa ulela
 
Sijakuelewa uasherati na uzinzi kuna tofauti? Halafu kwa mujibu wa Biblia hakunaga kuachana maana Biblia inasema mwenyezi Mungu anachukia kuachana kwa hyo hata huo uashereti si sababu ya watu kuachana Ndoa ni kifo Tu hakuna sababu nyingine na kuna sababu kwa nn Yesu alisema ispokuwa sababu ya uzinzi ni sababu watu hao waliamini sana hyo ni sababu ya kuachana lkn kiukweli Ndoa ni kifo Tu kikutenganishe na ndio maana kanisa la Mungu kuna kufunga ndoa Tu hakuna kuachanisha Ndoa haipo hyo.
 
Kwenye vitabu vya shetani kama alivyobainisha Salman Rushdie, ongeza Quran tafadhali. Vitabu mnavyotetea si vyenu. Vina wenyewe. Nao, wanawacheka kwa ulimbukeni na uzwazwa.
 
Kwenye vitabu vya shetani kama alivyobainisha Salman Rushdie, ongeza Quran tafadhali. Vitabu mnavyotetea si vyenu. Vina wenyewe. Nao, wanawacheka kwa ulimbukeni na uzwazwa.

Baki na kitabu chako cha Gay Bible

 
Yaani unaendelea kuishi na mtu aliyechepuka mpaka kifo chako?

Hivi nyie watu wa dini mmepumbazwa na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…