Je, unaikumbuka show mbovu kabisa iliyowahi kukutokea?

Ha ha ha....
 
Ha ha ha....
Wee jamaa bhana
 
Ha ha ha...
Kumbe Hadi wanawake yanawakuta?
 
Wakuu story zenu nimecheka balaa, fedheha kubwa sana kushindwa mechi, ila bahati mbaya lazima tu itakutokea.
Wengi Sana zinatukuta,
Mi bahati mbaya zangu Ni zile nnapokua a na race tofauti. Nmewahi kuumbuka Mara 2
 
Ha ha ana...pole Sana [emoji28]
 
Dah! Pole Sana,
Au atakua wabaridi Sana mkuu[emoji848]
 
wote humu mmeeleza kushindwa mara ya kwanza ila mara ya mwisho ndo mnapiga show kali,ni wazi kuwa tatzo lenu ni WENGE
 
Mi shows zangu ni A+ kuna pisi mpaka iliomba maji...nasubir siku ya kupata show MBOVU
 

Dah mkuu [emoji1487][emoji1487][emoji1487]pole asee
 
Maskini yule dada anisamehe ilikuwa shoo yang ya kwanza na mbovu hakuna. Mtoto mkali kinoma alikuja magheton the first time mapigo ya moyo yalikuw kask n kuhema kam nakimbizwa. D haikusimama kbs na mtu yupo ready siku hiyo sitokuja kusahau mpk nilijiinamia chini. Nilishindea hata kumuangalia NAJUTIA KINOMA.
 
Mtafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…