ππππππ Mfalme wa ujerumani naskia ndio alilua anaongoza jeshi hiloππππππππKwa nini walikuwa wamekuja huku na walikuwa karibu kufanya nini?
Washambulizi wa Biashara
Baada ya kuanza Vita vya Kwanza vya Dunia, Jeshi la Wanamaji la Kifalme la Ujerumani lilikuwa na manuari nne
Acha utoto basi. Siyo kila jambo unaonesha utoto. Wengine wanajifunza.ππππππ Mfalme wa ujerumani naskia ndio alilua anaongoza jeshi hiloππππππππ
Usijitie ujuaji. Fuatili threads zangu na comments zanguHili ndilo tatizo la walio feli 4m4 kuanza kuwa na blog hawajui hata historia wanaandika habari za kumbukizi walizocopy toka kwa wajinga wenzao
Wanajifunza kwamba ujerumani ilikua na mfalme au sio πππππ endele kudanganya mazuzu wenzio unadhani blog inaleta hela kwa habari zisizo na mashiko za ujanja ujanjaπππAcha utoto basi. Siyo kila jambo unaonesha utoto. Wengine wanajifunza.
ππππ Wakulungwa hatunabmda wa kufuatilia tunakupima kwa kile kilichokuja mbele yetu useless hopelessππππUsijitie ujuaji. Fuatili threads zangu na comments zangu
ππππ Naona unajipa ushauri kupitia mimiπππππ ww unaejua historia ya ujerumani kuwa na mfalme hebu tupe darasaπππππ alafu uje uelezee vizuri manuwari za 1900 kwenye kipindi cha 1800ππππHivi unajua hata historia wewe.
Anza kwanza kujifunza historia siyo kujidhalilisha hapa
Usipende kukurupuka. Unatakiwa usome kwanza siyo unakurupuka. Unakurupuka sanaππππ Naona unajipa ushauri kupitia mimiπππππ ww unaejua historia ya ujerumani kuwa na mfalme hebu tupe darasaπππππ alafu uje uelezee vizuri manuwari za 1900 kwenye kipindi cha 1800ππππ
Sawa mfalme wa ujerumaniπππUsipende kukurupuka. Unatakiwa usome kwanza siyo unakurupuka. Unakurupuka sana
Dawa imekuingiaSawa mfalme wa ujerumaniπππ
ππππππ Mfalme wa ujerumani umegeuka kuwa mganga unatoa dawaπππDawa imekuingia
Umeamua kukomaa nao hivyo hivyo walivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiswahili kinakupiga chenga. Soma vizuri.
Oh!!! Unaanza kuleta taarabu sasa.ππππππ Mfalme wa ujerumani umegeuka kuwa mganga unatoa dawaπππ
Hawa nawamudu.Umeamua kukomaa nao hivyo hivyo walivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka mduara ubambiwe sasa unasubiri nnπππOh!!! Unaanza kuleta taarabu sasa.
Upo na msongo wa mawazo. Nenda kamuone daktari.Weka mduara ubambiwe sasa unasubiri nnπππ