Je, unajua Delta ya Rufiji ndio eneo zimezamishwa meli kubwa mbili za kivita za Ujerumani?

Je, unajua Delta ya Rufiji ndio eneo zimezamishwa meli kubwa mbili za kivita za Ujerumani?

Kwa nini walikuwa wamekuja huku na walikuwa karibu kufanya nini?

Washambulizi wa Biashara


Baada ya kuanza Vita vya Kwanza vya Dunia, Jeshi la Wanamaji la Kifalme la Ujerumani lilikuwa na manuari nne
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mfalme wa ujerumani naskia ndio alilua anaongoza jeshi hiloπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mfalme wa ujerumani naskia ndio alilua anaongoza jeshi hiloπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha utoto basi. Siyo kila jambo unaonesha utoto. Wengine wanajifunza.
 
Hili ndilo tatizo la walio feli 4m4 kuanza kuwa na blog hawajui hata historia wanaandika habari za kumbukizi walizocopy toka kwa wajinga wenzao
Usijitie ujuaji. Fuatili threads zangu na comments zangu
 
Acha utoto basi. Siyo kila jambo unaonesha utoto. Wengine wanajifunza.
Wanajifunza kwamba ujerumani ilikua na mfalme au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ endele kudanganya mazuzu wenzio unadhani blog inaleta hela kwa habari zisizo na mashiko za ujanja ujanjaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usijitie ujuaji. Fuatili threads zangu na comments zangu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wakulungwa hatunabmda wa kufuatilia tunakupima kwa kile kilichokuja mbele yetu useless hopelessπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ramani inayoonyesha njia tata na nyingi ndani ya mfumo wa delta
Picture%201.png%2012.png
 
Hivi unajua hata historia wewe.
Anza kwanza kujifunza historia siyo kujidhalilisha hapa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona unajipa ushauri kupitia mimiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww unaejua historia ya ujerumani kuwa na mfalme hebu tupe darasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu uje uelezee vizuri manuwari za 1900 kwenye kipindi cha 1800πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona unajipa ushauri kupitia mimiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww unaejua historia ya ujerumani kuwa na mfalme hebu tupe darasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu uje uelezee vizuri manuwari za 1900 kwenye kipindi cha 1800πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usipende kukurupuka. Unatakiwa usome kwanza siyo unakurupuka. Unakurupuka sana
 
Manowari ya KΓΆnigsberg (Naendelea)
Licha ya uwezo wake wa kurusha makombora na kasi, meli ya kivita ya Ujerumani ilitatizwa vikali na kutoweza kupata vifaa na makaa ya mawe yenye ubora.

Hatimaye Max Looff aliipatia KΓΆnigsberg makaa ya mawe kutoka kwa meli ya ugavi ya Ujerumani, pwani ya Somalia, (meli ya kivita ilikuwa chini ya tani 14 tu za makaa ya mawe) na kuendelea kutafuta meli za washirika za mizigo, lakini bila kupata yoyote. Mapema Septemba,1914 huku KΓΆnigsberg ikihitaji marekebisho ya injini, Max Looff aliipeleka meli hadi kwenye Delta ya Rufiji.

Wakati wa ukarabati huo, taarifa za kijasusi zilimfikia Looff na kikosi chake kwamba meli ya kivita ya Uingereza imeingia katika bandari ya Zanzibar.Wakaanza safari mara moja kutoka mafichoni Delta ya Rufiji, mapema asubuhi iliyofuata (20 Septemba 1914) KΓΆnigsberg ilikuwa nje ya kisiwa cha Zanzibar. Ujasusi ulikuwa sahihi, HMS Pegasus ilikuwaimetia nanga na bila wasiwasi wowote.
 
Tunaendelea........


Kwa dakika ishirini na tano, Konigsberg waliipiga Pegasus ambao boilers zao zilikuwa baridii. Meli ya Wajerumani polepole ilipunguza umbali kutoka yadi 9000 hadi yadi 7000, lakini walikuwa waangalifu kuzuia mashambulizi kutoka kwa askali wa Pegasus.

Wa kwanza kupigwa alikuwa afisa wa bunduki, Luteni Richard Turner, ambaye miguu yake ilivunjwa . Akiwa amelala huku akivuja damu hadi kufa inasemekana kwamba aliwatia moyo wanaume hao kwa kupiga kelele β€œKeep it up, lads” and β€œWe’re outclassed and done for; but damn them, and keep it up!

Hatimaye HMS Pegasus ilizamishwa. Eneo la ajali liko nje kidogo ya pwani ya Zanzibar. Askali 24 kati ya 34 waliouawa) na wamezikwa katika makaburi ya Zanzibar (Grave Island).
 
Toleo moja la hadithi ya Pegasus linaonekana katika 'Deeds that Thrill The Empire', ambayo inasema:

Wakati wa shambulio hilo bendera ya "Pegasus" ilipigwa risasi kutoka kwa wafanyikazi wake. Mwanamaji mara moja alikimbia mbele, akaichukua na kuipeperusha juu. Alipigwa chini akiwa amesimama kwenye sitaha iliyo wazi kwa shambulio la adui, lakini mwingine akaja kuchukua nafasi yake. Mpaka mwisho bendera ilikuwa inapepea. Wengi wa majeruhi walitokea kwenye sitaha, na kwa uhodari wa hali ya juu Staff-Surgeon Alfred J Hewitt alitoa kila msaada kwa waliojeruhiwa.
 
Back
Top Bottom