Je, unajua Delta ya Rufiji ndio eneo zimezamishwa meli kubwa mbili za kivita za Ujerumani?

Vita ya kwanza ya Dunia...ukikumbuka tulikua colony la kiujerumani na vita ilisambaa hadi kwenye makoloni....
 
Ila nimeweza kukupa maelezo mujarabu kwa swala lako la ukosefu wa utashi kwenye fani za kukurupukia
Bado hujajibu swali langu, unaendelea kunilalamikia tu. Je, unataka nikusaidie nini?
 
Dogo janja acha mbwembwe zisizo na mashiko sasa kama uandishi wako ndio huu hukobkwenye hako ka blog kako kuna jipya kweli weka content za maana alafu uje utafute viewers mbali na hapo hakuna mjinga wa kuangalia utumbo kama huu ulioandika😎
Bado anajifunza uandishi wa makala za historia, usimshambulie
 
Hizi negative comments za huku sijazielewa.. uzi unashida gani?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Huyu Venus Star siyo mwandishi mzuri. Kichwa cha habari ni kizuri ndiyo kinamvutia msomaji aende deep. Lakini ukiingia kusoma umaona mwandishi ana copy mahali na kuhamishia JF. Yeye alipaswa asome history hapo anapochimba halafu aiweke kwa lugha yake ili mwishowe itupe jibu la kwenye kichwa cha habari
 
Plagiarism.
 
Oh!!!
 
Mambo magumu vijana wa siku hizi hawayataki
 
Back
Top Bottom