Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nimeweza kukupa maelezo mujarabu kwa swala lako la ukosefu wa utashi kwenye fani za kukurupukiaUmeshindwa kujibu swali?
Bado hujajibu swali langu, unaendelea kunilalamikia tu. Je, unataka nikusaidie nini?Ila nimeweza kukupa maelezo mujarabu kwa swala lako la ukosefu wa utashi kwenye fani za kukurupukia
Bado anajifunza uandishi wa makala za historia, usimshambulieDogo janja acha mbwembwe zisizo na mashiko sasa kama uandishi wako ndio huu hukobkwenye hako ka blog kako kuna jipya kweli weka content za maana alafu uje utafute viewers mbali na hapo hakuna mjinga wa kuangalia utumbo kama huu ulioandika😎
Huyu Venus Star siyo mwandishi mzuri. Kichwa cha habari ni kizuri ndiyo kinamvutia msomaji aende deep. Lakini ukiingia kusoma umaona mwandishi ana copy mahali na kuhamishia JF. Yeye alipaswa asome history hapo anapochimba halafu aiweke kwa lugha yake ili mwishowe itupe jibu la kwenye kichwa cha habariHizi negative comments za huku sijazielewa.. uzi unashida gani?
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Plagiarism.Huyu Venus Star siyo mwandishi mzuri. Kichwa cha habari ni kizuri ndiyo kinamvutia msomaji aende deep. Lakini ukiingia kusoma umaona mwandishi ana copy mahali na kuhamishia JF. Yeye alipaswa asome history hapo anapochimba halafu aiweke kwa lugha yake ili mwishowe itupe jibu la kwenye kichwa cha habari
Oh!!!Huyu Venus Star siyo mwandishi mzuri. Kichwa cha habari ni kizuri ndiyo kinamvutia msomaji aende deep. Lakini ukiingia kusoma umaona mwandishi ana copy mahali na kuhamishia JF. Yeye alipaswa asome history hapo anapochimba halafu aiweke kwa lugha yake ili mwishowe itupe jibu la kwenye kichwa cha habari