Je, unajua kuwa Roho huwa ina kawaida ya kutoka tulalapo?

"Hayo ndio mambo ya Mwenyezi Mungu hakika mambo yake hakuna ayajuaye na hufanya katika namna atakavyo."


Kwahiyo umeamua kuleta story za uongo hapa....
Kama hakuna ajuaye....wewe umejuaje..?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Uthibitisho please
 
Mkuu sio kila kitu lazima ubishane, kama huamini si unaacha tu? kwani wewe umejuaje kama una akili umewahi kuiona?.
Akili haionekani na huwezi kugusa.

Imetolewa utafanuzi wa kueleweka.

Na tukapata kujua kuwa huyu anazo akili na yule hana akili, kutokana tafsiri ya neno akili.
Amini nakwambia, hata baada ya miaka million 1 ijayo , bado ulichokisema kitakuwa story, tena za kitoto.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Aisee Kama inakutokea Mara kwa Mara ujue Yule jamaa mtoa roho anakuja kuulizia chake ,Kama una Pesa benki gawa zote (😂😂just kidding),,jamaa anaitaka roho yako


Jamaa gani huyo mtoa roho?!!--anahusikanaje na matukio hayo??!!, nimemkosea nini hadi aje kutoa roho yangu??!
 
Huyo Ni malaika mtoa roho za viumbe


Haitwi ISrail bali anaitwa IZraili, kumbuka Israil/Israel ni jina la nchi. Halafu yeye huwa hatoi roho bali huwa anachukua roho na kuzipeleka panapohusika.

Msikie Isack Newton anasemaje juu ya kifo; "Namshangaa mtu anaogopa kifo kitu ambacho ni lazima kimkute". Sasa wewe huna haja ya kuogopa kifo isipokuwa unatakiwa siku zote ujiandae juu ya kifo.
 
Sahihi kabisa
 
Ulishawahi kufa....?
Umejuaje hayo yote....au umeyapata kwenye vile vitabu vya story zisizo na ushahidi..

Acha uongo..

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wasomi wa bongo mna matatizo sana, there's some sort of clouds in your brain, sometimes you need to understand rather than argue especially when you deal with spiritual matters.

Kamwe hautaweza ku-prove mambo yakiroho kwa kutumia logic kwa maana ni vitu ambavyo hatuvioni kwa jicho la kawaida, na wala hatuwezi kuvishika, hivyo mambo ya kiroho yapo illogically they can't be proven scientifically

Ndio maana vijana wanaishika dini vizuri kipindi wakiwa wadogo ila wakishafika vyuo wakisoma philosophy kidogo na wakikutana wa wapumbavu wenzao waliokariri kila kitu ni cha ku-prove basi wanapotea kabisa na wanaaza hata kudharau dini zao maana hawaoni any prove or logic about God existence
 
Good....

Kama huwezi thibitisha , kwa nini unataka tuamini.

Achana na vitu ambavyo havina uhakika, unapoteza muda tu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…