Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akhera kuna starehe nyingi matunda ,asali ,maziwa ,nyama n.k pamoja na tendo la ndoa sasa ajabu iko wapi ?Waislamu hawana roho, wao ni watu wa mwilini ndio maana hata kaburini mnasema mtu anapewa adhabu. Ahera yenu mtakuwa na ngono maana nyie ni miili tu.
Roho itoke halafu hapohapo mwili usikie maumivu kaburini? Mambo ya Mungu yamewapita kando.
Mkuu naona uko vizur SanaNi kweli kabisa. Mimi huwa na experience sana hili jambo. Kuna siku nime experience msiba wa kiongozi mmoja mara thelathini miaka miwili kabla ya kifo chake, mara nipo barabarani msafara wa magari unapita kwenda kumzika, mara tupo makaburini tunamzika.
Pia kuna siku nimeona nipo ndani ya gari na Rais fulani na mabodi guard wake kwenye gari, mbeleni dereva ni kama akapewa taarifa ya siri kupitia simu akapiga uturn gari porini na kurudi tulipotoka wala Rais hakushtuka ila mimi nikashtuka.
Kwa Mwenyezi MunguInatoka kwenda wapi?
Kwa Mwenyezi MunguInatoka kwenda wapi?
Huyo mazingira yake ya kawaida Kwa maana ndo roho imemtoka Kwa Mda huoUmenifanye nifungulie mawingu nisikize mawaidha, uislam ndani ya jamii 🌚🌚🌚, huwa nafurahia.
Ila hii ni chai, yule anayedanja akiwa fresh tu, yaani anadondoka na kukata moto hapo hapo yeye roho yake vipi.
Soul is mortal.
Nakazia hapo mkuuWasomi wa bongo mna matatizo sana, there's some sort of clouds in your brain, sometimes you need to understand rather than argue especially when you deal with spiritual matters.
Kamwe hautaweza ku-prove mambo yakiroho kwa kutumia logic kwa maana ni vitu ambavyo hatuvioni kwa jicho la kawaida, na wala hatuwezi kuvishika, hivyo mambo ya kiroho yapo illogically they can't be proven scientifically
Ndio maana vijana wanaishika dini vizuri kipindi wakiwa wadogo ila wakishafika vyuo wakisoma philosophy kidogo na wakikutana wa wapumbavu wenzao waliokariri kila kitu ni cha ku-prove basi wanapotea kabisa na wanaaza hata kudharau dini zao maana hawaoni any prove or logic about God existence
Wewe ndio hujui usemacho,kwani wakati mtu anaadhibiwa umeambiwa roho haipo? Roho inarudishwa na unaanza Maisha mapya.Waislamu hawana roho, wao ni watu wa mwilini ndio maana hata kaburini mnasema mtu anapewa adhabu. Ahera yenu mtakuwa na ngono maana nyie ni miili tu.
Roho itoke halafu hapohapo mwili usikie maumivu kaburini? Mambo ya Mungu yamewapita kando.
Kwahiyo wewe utakapozikwa kaburini roho yako itakurudia halafu utakuwa unapata adhabu ya kaburi? Roho ikikurudia kaburini utakuwa mfu au upo hai?Wewe ndio hujui usemacho,kwani wakati mtu anaadhibiwa umeambiwa roho haipo? Roho inarudishwa na unaanza Maisha mapya.
Kuna Maisha stage tatu ,Kwanza kuzaliwa,pili makazi yako kaburini na tatu kufufuliwa,kila mmoja atapitia hizo stage uwe Mgalatia,Budda,muislamu na hata wasio mwamini mungu
Upo haiKwahiyo wewe utakapozikwa kaburini roho yako itakurudia halafu utakuwa unapata adhabu ya kaburi? Roho ikikurudia kaburini utakuwa mfu au upo hai?
Nyie waislamu ni weupe sana kwenye mambo ya kiroho.
Kwamba Kama sayansi imeshindwa thibitisha kubemenda mtoto basi kubemenda hakupo!!?..sayansi ni uelewa wa binaadam juu ya mazingira yanayomzunguka,siyo kitu Cha kuamini hivyoGood....
Kama huwezi thibitisha , kwa nini unataka tuamini.
Achana na vitu ambavyo havina uhakika, unapoteza muda tu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Daah ningetamani Sana siku itokee nipate hiyo experience.Kuna ile umelala chali afu unahisi kbs roho inachomoka,na ukishajua kwamba umetoka ndani ya mwili wako una uwezo wakutembea na kufanya chochote na mtu asikushtukie..sema unakua unatembea kwa kuyumba yumba sana..[emoji144]
Mmmh mzee wa Chato nn?Ni kweli kabisa. Mimi huwa na experience sana hili jambo. Kuna siku nime experience msiba wa kiongozi mmoja mara thelathini miaka miwili kabla ya kifo chake, mara nipo barabarani msafara wa magari unapita kwenda kumzika, mara tupo makaburini tunamzika.
Pia kuna siku nimeona nipo ndani ya gari na Rais fulani na mabodi guard wake kwenye gari, mbeleni dereva ni kama akapewa taarifa ya siri kupitia simu akapiga uturn gari porini na kurudi tulipotoka wala Rais hakushtuka ila mimi nikashtuka.
Waislamu hawana roho, wao ni watu wa mwilini ndio maana hata kaburini mnasema mtu anapewa adhabu. Ahera yenu mtakuwa na ngono maana nyie ni miili tu.
Roho itoke halafu hapohapo mwili usikie maumivu kaburini? Mambo ya Mungu yamewapita kando.
Mkuu Kwa kiasi Fulani umeeleza vizuri SanaMtu anapofariki maana yake Mwili wake umetengana na roho yake, Mwili ama unazikwa au unachomwa, wanapewa ndege kama chakula (the sky burial), nk.
Kwa Waisilamu Mwili huzikwa kaburini, huo mwili huwa ni sehemu ya udongo lakini roho huenda kuhifadhiwa katika kaburi lake liitwalo "Barzakh" ambalo ni kaburi tofauti na lile kaburi unamwozikwa mwili.
Sasa inaposemwa mtu anapata adhabu za kaburini maana yake roho ndio inapata adhabu ndani ya hilo kaburi lake yaani Barzakh na sio Mwili uliofukiwa udongoni ambao tayari umeshaharibika, kuoza au hata kuanza kuwa sehemu ya udongo.
Adhabu ya kaburini ni nini??; ni adhabu inayopata roho ndani ya Barzakh, ni mwanzo wa kuonja adhabu ya siku ya akhera kwa zile roho zilizofanya matendo mabaya hapa duniani na huko akhera baada ya kufufuliwa kutoka Barzakh roho hizo zitahukumiwa na kuingizwa motoni ili madhambi yao yaunguzwe na hapo baadaye Mungu wa huruma yake atazisamehe roho zote ovu na atazitoa motoni baada ya madhambi yao kuunguzwa na moto na baadaye kuziingiza peponi, hiyo ndio falsafa ya moto wa akhera.
Kinyume chake kwa roho zilizotenda mambo mema hapa duniani, zenyewe zikiwa Barzakh zitaanza kuonja raha na starehe za peponi na zikifufuliwa siku ya akhera na kuhukumiwa moja kwa moja zitaingia peponi na kuishi humo milele.
Kuhusu huko akhera; inatajwa kutakuwa na wanawake, mito ya asali na maziwa, bustani chini yake mito ikipita, pombe isiyokuwa na hangover nk, vitu vyote hivyo ni mfano tu wa vitu vya kiroho vitakavyokuwepo huko akhera kwani Mungu ametoa mfano wa vitu hivyo ili iwe kwetu rahisi kupima kimwili mfanano wa vitu hivyo huko akhera, isingewezekana kwa sisi hapa duniani kuonyeshwa raha za peponi ambazo ni za kiroho wakati hapa duniani tupo kimwili, hivyo Wanawake, asali, Maziwa nk, huko peponi ni lugha ya mifano tu na sio kwamba wstakuwepo wanawake na asali nk, kama hapa duniani, asali inatengenezwa na nyuki, maziwa yanatoka kwa wanyama nk, je huko akhera kutakuwa na nyuki na ng'ombe wa kuzalisha mito ya asali na maziwa??!
Sio kila kitu cha kiroho hutafasiriwa kimwili ama sivyo hutaelewa maana kusudiwa na utabaki kushutumu na kukejeli kitu chenye maana sahihi ya kiroho.
Mkuu Kwa kiasi Fulani umeeleza vizuri Sana
Lakini
Kuna mambo naona hayapo Sawa, Kwa mtazamo wako inamaana unaamini hatutakuwa na hii miili yetu tena Kwa maana tutakuwa roho Tu!
Ukweli ni kwamba siku ya hukumu tutarudishwa na miili yetu kama ilivyokuwa hapo awali,na ndio maana Allah huwa anawahoji watu ambao wanaona ni vigumu Sana kurudishwa katika umbo la awali baada ya kuoza kwetu.
Ndio Allah akasema hata ncha za vidole zitarudishwa kama zilivyokuwa awali, je kwanini ametaja ncha za vidole?
Ni kwasababu ncha za vidole au finger print hazifanani na za mtu mwingine yoyote Yule,zipo unique Kwa kila mtu.
Huko tutakuwa na miili yetu hii isipokuwa tutakuwa vijana Baro baro kwenye miaka ya 30's na hatutazeeka kamwe wala kuumwa wala kupata uchovu.
Na tutakuwa na ndoa kama kawaida kwasababu Sisi sio Malaika kwamba hatuna matamanio,na Mungu hapendi zinaa hivyo huko ni mwendo WA ndoa kwenda mbele na Kula Maisha kwenda mbele.