Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hii dunia mfumo uliopo huwezi ishi bila kutenda ubaya kwa wengine na viumbe vingine.Mkuu yanayo mfanya mwanadamu afaulu Kwanza amtambue Mola wake kuwa Ni mmoja Tu Hana mshirika
Na mengine ni kufanya mema na kuacha mabaya.
Na mwisho wa siku kuna mizani ya kupima matendo yetu,ikiwa matendo yako ni mazito kuliko maovu yako umefaulu na ikiwa maovu Yako ni mazito kuliko mema umefeli.
Haina haja kucomplain tuwajibike Kwa matendo yetu
Ukichunguza factors zinazosababisha wewe kuwa hai tangu unazaliwa utakuta uwepo wako umepelekea mwingine kuwa na njaa, kuna wanyama wamekufa n.k Resoures zipo limited. Kama viumbe vingine vina roho basi si ubaya kuvichinja ili tuendelee kuwa hai?