Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?

Umeandika ukiwa umejaa chuki za kidini, na kutukana watu wasio endana na mtizamo wako kuwa ni wapumbuvu huku ukiwaita Waarabu ndugu zenu, sijuhi ni ndugu zenu wewe na nani, maana dhambi ya ubaguzi wa aina yako ndio unaoitafuna Mashariki ya kati. Kwa mitizamo wako huu nani unataka atoe maoni?

Unapokuwa unatetea hoja fulani punguza jazba unaweza ukaeleweka, lakini hivi ulivyowasilisha hoja yako ni watu wa aina yako tu ndiyo wanaweza wakakuelewa
 
Topic haihusu Historia, bali imejikita sana kwa madhara kama 1948 maamuzi ya kuwa na Taifa la Israel, nchi yao ya kuishi ingeamuliwa kuwa Afrika- Uganda.

Ungetaka kujadili HISTORIA toka Abraham, Fungua Uzi mwingine. Tutafika huko na kujadili.
Historia inabaki kuwa historia. Ima ivalishwe suti, ima ivalishwe kanzu.

Hii mashariki ya kati tunayoijua leo habari zake nyingi kama sio zote zipo "documented" vizuri sana. Ni historia.

Wazo la kuanzishwa kwa Uzayoni, mipango ya utekelezaji wake, undimilakuwili wa Mwingereza kuhadaa wapalestina ili kutimiza uwepo wa Taifa la Israel, yote yapo documented. Ni historia!

Ama fasiri yako ya historia ni nini?

c.c pasco Mayalla
 
Pumbavu
Kakojoe ulale
Eti koloni halina mwenyewe ,are you stupid or mentally handicapped ?

Fool
 
Ni mtu mwenye akili ndogo kama wewe ndio anayeweza attack imani ya mtu mwingine na kuacha kujadili mada , huna facts unaamua kushambulia uislamu
Ni dalili ya mtindio wa akili hii
Mimi ni mkristo na siwezi kufanya upumbavu ambao wajinga wengi mnafanya humu
Mnafanya jamii forum ionekane sehemu ya ovyo kama social media zingine zilizojaa machokoraa na watu wasio na elimu au upeo wa kuwaza na kujenga hoja
Mimi nikiwa mkristo yule akawa muislamu who cares ? Dini yako inanisaidia nini mimi ?
Hao miungu wenu wa Kizayuni ambao mnawaabudu na kushangilia udhalimu wao dhidi ya wapalestina hawamjui hata huyo Mungu au Jesus Christ , infact Christian goyim ni nguruwe .
Wewe na ukristo wako inaonekana ni nguruwe kwao hao wazayuni unaowaabudu na kuwatukuza kama Miungu

Suala la huu mgogoro ni ardhi na injustice ya ukoloni wa makaburu walowezi wa Kizayuni kwenye ardhi ya palestina ,it has nothing to do with religion ,
Wewe ukiwa mkristo ndio unaona waislamu au wasio na dini ni ngedere au subhuman flani sio ?
Pumbavu

Wewe na wenzako hamna facts ,mnaendeshwa na mkumbo + ujinga wa kutojua historia halisi ya mgogoro huo na geopolitics involved
 
Una akili ndogo sana
Huu mjadala hauwezi kujadiliwa kwa akili ndogo kama zenu hizo ,za kukimbilia kwenye Bible kutafuta justification , Bible haiwezi kuwa ndio justification ya ukoloni wa wazayuni kwenye ardhi ya palestina ,ni ukosefu wa akili timamu .
Duniani hapa kila mtu ana imani yake ,kuna watu hawaamini hata dini yoyote (atheists) na majority ya hao Ashkenazi na cephards ni atheists , hawapo kwenye dini yoyote ,hata huo uyahudi wenyewe hawapo .
Sasa utakuwa ni mtu wa ovyo kuleta justification za genocide na ethnic cleansing ya makaburu wa Kizayuni katika ardhi ya palestina
Bible yenyewe hamuijui kuisoma na kutafsiri kilichoandikwa kwa ufasaha , wengi mmepata mafundisho potofu na ninyi mmeyameza hivyo hivyo na wala hamtafiti vitu wala kusoma
 
Kumbe upo upande wa Palestina ya Goliath? Ok. Ila Israel alifanya Jambo jema kupambania ahaki yake mpaka Leo.
Yupo upande wa ndugu zake katika imani na hajui hao magaidi wa Hamas wameteka ndugu zetu kina Mollel.
 
Someni hivyo vitabu halafu mrudi hapa kuandika ujinga ujinga wenu wa kuwaabudu hao miungu wenu wa Kizayuni , wayahudi feki ,antichrists infact antihumanity cabal wanaojiita wayahudi .
Hamna wayahudi hapo , modern Jewishness is a scam
 
Unajua kwanini haijawa Afrika Mashariki? Wayahudi walikataa pendekezo hilo la kupewa ardhi EA, wao waliitaka ardhi yao ya asili na si nje ya hapo na ndomana walirudi Palestina (Israel ya leo) shida yao haikuwa makazi ila ardhi ya mababu zao.
 
NAKAZIA
 
Waisrael wenyewe walikataa, waliitaka ardhi ya mababu zao. Huku kama wangekuja kimgekuwa kituo tu kukwepa vuguvugu la mauaji ya kipindi kile ila safari yao ilikuwa ni Palestina kuchukua ardhi yao. Msipotoshe.
 
Wale waliouawa kule Israel (Watoto, wazee, wanawake n.k) hawakuwa na haki ya kuishi!? Lini umewapigia kelele?
 
Watu wanawachukia wa Israel bila kujali nani alianza kurusha ngumi ili kuanzisha ugomvi, mumchukie na mchochezi Iran ambae kachochea kuni jikoni kakaa pembeni anaangalia zinavyoteketea.
Chuki dhidi ya Israel hazitawakomboa Gaza dhidi ya hasira za Myahudi, badala yake waache kuhubiri chuki na uchochezibdhidi ya Israel.
Sipendi na sivutiwi na sishabikii kinachoendelea hapo Gaza ila naumizwa na wale wote wanaochochea mgogoro huo kwa kuandika chuki zao mitandaoni wakidhani wanaisaidia Gaza kumbe wanaiteketeza.
 
Sawa ustaadhi umesikika, punguza matusi.
 
Akina Daudi, Musa, n. K. Hawakuzikwa huku, hivyo Wayahudi wanaishi walikozikwa mababu zao na hamna kenge inaweza kubadilisha hilo, Mungu wao ni mkuu kuzidi wenu, kila wakipambanishwa wa kwenu hutoka nduki.
Musa kazikiwa wapi ?

Mayahudi wa leo hawana undugu wa damu wala wa dini na kina Daudi na Musa. Musa amekufa haukuwepo Uyahudi.

Sasa unaandika ili ujifurahishe au upoteze muda ?

Kingine lengo si kubadilisha lengo ni Historia kudhibitiwa.
 
Hoja yako iko wapi!!?? Kutukana ndo kutafanya watu wakubaliane na unachotaka!? Kama unakubali Musa mtume wa Mungu alikuwepo na aliwaongoza Wana wa Israel kuelekea nchi ya ahadi miaka hiyo kabla Palestina haijaundwa, kwanini uwakatae wana Israel wenyewe leo hii!? Punguza jazba na matusi ustaadhi.
 
Someni hivyo vitabu halafu mrudi hapa kuandika ujinga ujinga wenu wa kuwaabudu hao miungu wenu wa Kizayuni , wayahudi feki ,antichrists infact antihumanity cabal wanaojiita wayahudi .
Hamna wayahudi hapo , modern Jewishness is a scam
Hivyo vitabu kaandika nani!? Yaani uniletee upuuzi alioandika Sheikh Kipozeo eti uuite maarifa!!!??? Unaleta vitabu vyenye mlengo unaoshabikia, ngoja tukuletee vitabu vya mlengo tofauti upate maarifa.
 

Wacha kujitoa ufahamu, suala la huu mgogoro ni dini na udini, haowyameaminishwa wasikubali kuishi na Wayahudi na wanapaswa kuua Wayahudi popote, na kuua yeyote asiyeamini katika imani yao..

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…