econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwani kenya, uganda na Tanzania hazipo East Africa???
Eneo lilikuwa proposed ni Uganda ya Leo. Kwanza kipindi hicho Tanzania haikuwepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kenya, uganda na Tanzania hazipo East Africa???
Leta ushahidi wa ardhi yao pale Mashariki ya Kati. Na sio porojo za kwenye bibilia
Dunia nzima labda wewe na basha wako
Uache kusimama na ndugu zako watanzania wanakufa Kwa kukosa huduma za afya unasimama na waisraeli na wapalestina!
Jinga jinga wewe
Nenda Paris, German, Uk, USSR, ulaya nzima wamesimama na palestine.
Nenda china, india jordan, misri North Korea, Asia nzima imesisima na palestine.
Njoo Afrika, morocco, egypt, South africa, hata hapa Tanzania wote tunasimama na palestine kupinga uvamizi.
Wewe ni nani Kwani ata usipokuwa upandewa palestine hakuwezi kusababisha wengine tuuache kutetea Ndugu zetu Wapelestina.
Kuhusu kongo na Afrika KWA ujumla matatizo yetu tunajitakia wenyewe hakuna aliyeporwa ardhi na mzungu, na kukaliwa kimabavu, bali ni uchu na ulafi wa madaraka
Leta ushahidi wa ardhi yao pale Mashariki ya Kati. Na sio porojo za kwenye bibilia
Kwani waziri asiposupport ina maana wananchi nao hawasapati. Nazungumzia Majority
Kwani Tanganyika haikuwa mandate colony chini ya Mwingereza, wakati Tanganyika ni mandate colony apakua na viongozi wa kiafrika kwenye serikali ya mkoloni.
Soma historia na sio kusikiliza maoni ya watu
Sababu ni zipi za kuitambua israel
Taifa la israel likiundwa gadafi alikuwa na miaka sita, mkuu mbona unajidhalilisha kiasi hiki? mbona unataka tuwaone wavaa kobaz wote ni vichwa panzi.Mpango wa kuwahamishia Jews kutoka uko ulaya ulikuwa ni maeneo mawili. Africa Mashariki na Madagascar. Ila viongozi wa africa tulipinga hilo na mpango ukafeli. Tumshukuru sana Gaddafi akishirikiana na idd amini kuupinga mpango Huo
Hao wa israel walioko hapo Mashariki ya Kati ni fakes unaijua hii FAKE AND STAGED HOLOCAUST JEWS FROM 230000 TO 6.5 MILION JEWS ( LIES)???
Hebu soma point yako namba 5Tanzania na kenya zipo wapi
Hiki ndio kichwa cha habari: "Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?"Yeah tunawapambania Watu weupe mbali uko. Wakati ndugu zetu Kongo drc vs m23 Hali sio shwari, sudani wamekiwasha, Nigeria nao wanakura za uso kutoka kwa Boko , central Africa Hali ya hewa haileweki muda wwt kinanuka, msumbiji wamakonde wamesala yaani dah ngoja nitulie orodha ni kubwa Sana😭.
Hajakimbia, ila anajaribu kuwasoma wachangiaji kwa makini sana.Mtoa mada amekimbia.
Topic haihusu Historia, bali imejikita sana kwa madhara kama 1948 maamuzi ya kuwa na Taifa la Israel, nchi yao ya kuishi ingeamuliwa kuwa Afrika- Uganda.Hatari sana!
Mwandishi Mohamedex121 anapoandika historia pasipo kuanzia awali ya awali (begin of the beginning) sio ajabu kukuta andiko halijashiba!
Dini na Udini ndio uhai wenyewe! Inaposemwa Dini na Udini haikomi kwenye Ukristo ama Uislamu ama Upagani. Dini ni Imani kali kuhusu namna mwanadamu anavyoweza kuunganisha jana leo na kesho!
Imani za dini Ukristo na Uislamu ama Uyahudi, muasisi wake ni Abraham na Bosi wake ni Mungu, mbali hizi imani tatu wakazi wa Dunia hii wanazo Imani na dini zinginezo nyingi tu ambazo Nabii Musa alipoleta biashara za amri za Mungu, Mungu wa Musa alielekeza hakuna anayestahiki kubudiwa zaidi yake Mungu wa Musa.
Mengi yanasemwa kuhusu visaasili na dini na Imani...jambo la kushangaza kadri dini zinavyopigwa vita, ndio vivyo hivyo dini nav visaasili vyake ndio vinazidi kutawala Dunia hii ya Musa na Mungu wake.
Sahihisho. Kichwa cha habari hakijazungumzia wayahudi, Kimezungumzia kuundwa kwa nchi iitwayo ISRAEL.Wayahudi wako karibia dunia nzima lakini hatujasikia wakileta fujo huko! Marekani Ulaya,Russia,Amerika ya Kusini,Ukraine,India,mpaka Iran wapo! Marekani imeendelea kwa kwa sababu yao.
Kwa hiyo hata wangepewa ardhi hapo Uganda huenda wasingeleta fujo.
Fahamu ni kwamba Waisrael wanapigania ardhi yao ambayo walipewa mababu zao Ibrahim,Isaka na Yakobo kwa ajili yao.
Wewe unaongea sanaKwa hivyo Quran pia ni porojo? 17:104 na 17:101
Ushahidi upo kwenye Quran 17:101, 17:104