econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwani Wapelestina Ardhi yao wameuza kama sisi tulivyouza Ngorongoro na kufukuza wamasai.
Historia ina sema palestine kapokonywa ardhi kimabavu na kisha kuuwawa kikatili na hao wazayuni fakes na ulikuwa ni mpango wa wazungu kutawala Mashariki ya Kati. Unaposema tuuache kutetea Ndugu zetu Wapelestina maana yake unafurahia dhulma, mauwaji ya kikatili ya watoto uko palestine, unafurahia nyumba za watu kubomolewa, watu kuuwa na wengine kupewa kilema cha Maisha??? Unafurahia hayo??? Dunia nzima imesisima na palestine kupinga uvamizi mimi ni nani nisisimae na palestine.
Hapa Tanzania matatizo tunajitakia wenyewe

Lazima ujue kwamba Israel alijitangazia uhuru wake yeye mwenyewe mwaka 1948 , hakusubiria kutoka kwa mwingereza maana tayari Umoja wa Mataifa ulikuwa umeshakubali yaganywe Mataifa mawili ya Israel na Palestina kupitia azimio namba 181 la mwaka 1947.
Hivyo basi Israel alikuwa anakamilisha utekelezaji wa azimio la umoja wa Mataifa la 1947. Ndio maana alipotangaza uhuru Marekani na Urusi zokaitambua nchi ya Israel mara moja.
Wa kulaumiwa ni Jordan na Egypt wao ndio waliachiwa maeneo ya Palestina wayatawale. Jordan aisimamie West Bank na East Jerusalem na Misri aisimamie Gaza. Cha kushangaza wakaanzisha Palestinian war mwaka 1948, baada ya Israel kuyachakaza makundi ya Palestina ndipo Misri, Syria na Jordan zikaingia kupambambana na Israel na hapo ndipo hadithi ilibadilika.
Misri na Jordan wangeipa uhuru wake Palestina yote yasingetokea , wao wakawa wanawaza kuifuta Israel, mwishowe wakakosa vyote.