Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?

Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?

Punguza hasira mkuu. Jadili kwa hoja. Unachokijua sio kwamba ndio sahihi Kuna vingine huvijui.
 
Ntajie wafalme wa palestina umeshindwa
Hiyo misikiti walijenga waturuki ambao sio wakazi wa eneo hilo bali walikua wakoloni

Hakuna mfalme wa palestina ndo nikuambie na hakukuwahi nchi inayoitwa palestina bali kulikua na coloby la palestina ambalo lilikua halina mwenyewe
Kwani Tanganyika haikuwa mandate colony chini ya Mwingereza, wakati Tanganyika ni mandate colony apakua na viongozi wa kiafrika kwenye serikali ya mkoloni.
 
Ndugu yangu kasome vizuri kwenye kitabu cha mwenyezi Mungu kinatambua uwepo wa wayahudi hata kabla ya uislamu kuwepo na eneo lao linajulikana.(Middle east) Nakushauri usiwe mkubwa kuliko kitabu cha mwenyezi Mungu.

Kuhusu mataifa mengi kuunga mkono Palestina haiondoi ukweli kwamba Israel ina madai ya haki kwamba mahali walipo ni nchi yao na wao wamekuwepo hata kabla ya uislamu na kitabu cha mwenyezi Mungu kinatambua.

Nataka kusema ukweli hata kama inauma.Israel ni Taifa teule la Mungu hata kama dunia nzima itakuwa kinyume nao Mungu wao huko pamoja nao, wataendelea kuwepo tu vizazi na vizazi,wameshashinda vita nyingi sana na watazidi kushinda milele, maazimio yote ya umoja wa mataifa dhidi ya Israel ni kupoteza muda tu hakuna kingine zaidi ya hapo
 
NAKUMBUSHA TU, KUNA VITA KALI SANA SOUTH SUDAN SASA HIVI.
NAKUMBUSHA ZAIDI SUDANI NI MWANACHAMA WA EAST AFRICAN COMMUNITY TANGU 2016.
KUTOKA TANZANIA MPAKA SUDAN KUNA UMBALI WA KM 2000 HIVI.
KUTOKA TANZANIA KWENDA ISRAEL KUNA UMBALI WA KM 5000 HIVI.

EBU TWENDE NA HAYA YA HUKU KWETU, EAST AFRICA COMMUNITY.
TUACHANE NA HAYA YA HUKO KWAO.

Unaongelea Sudan au South Sudan?
 
Israel haiwezi kuwa mahali pengine zaidi ya nchi yao walipo, ni sawasawa na kusema watanzania wahamishiwe Kenya halafu Kenya ibadilike jina kuwa Tanzania, hakunaga kitu kama hicho. Magaidi ya Hamas yalimwaga petroli juu ya moto, acha kuni ziwake.​
Unaifahamu Azimio la BALFOUR DECORATIONS LA 1917??
 
Ndugu yangu kasome vizuri kwenye kitabu cha mwenyezi Mungu kinatambua uwepo wa wayahudi hata kabla ya uislamu kuwepo na eneo lao linajulikana.(Middle east) Nakushauri usiwe mkubwa kuliko kitabu cha mwenyezi Mungu.

Kuhusu mataifa mengi kuunga mkono Palestina haiondoi ukweli kwamba Israel ina madai ya haki kwamba mahali walipo ni nchi yao na wao wamekuwepo hata kabla ya uislamu na kitabu cha mwenyezi Mungu kinatambua.

Nataka kusema ukweli hata kama inauma.Israel ni Taifa teule la Mungu hata kama dunia nzima itakuwa kinyume nao Mungu wao yupo pamoja nao, wataendelea kuwepo tu vizazi na vizazi,wameshashinda vita nyingi sana na watazidi kushinda milele, maazimio yote ya umoja wa mataifa dhidi ya Israel ni kupoteza muda tu hakuna kingine zaidi ya hapo
 
Wewe mwenyewe shabiki wa imani. Halafu vyote ulivyoandika ni uongo. Labda kidogo Hilo la Uganda.
Unaifahamu Uganda schemes of 1903?? Wakati uganda schemes inafanyika kulikuwa na taifa linaloitwa uganda??? Au kulikuwa na East Afrika
 
Mpango wa kuwahamishia Jews kutoka uko ulaya ulikuwa ni maeneo mawili. Africa Mashariki na Madagascar. Ila viongozi wa africa tulipinga hilo na mpango ukafeli. Tumshukuru sana Gaddafi akishirikiana na idd amini kuupinga mpango Huo

Hao wa israel walioko hapo Mashariki ya Kati ni fakes unaijua hii FAKE AND STAGED HOLOCAUST JEWS FROM 230000 TO 6.5 MILION JEWS ( LIES)???

Viongozi gani wa kiafrika walipinga?. Israel ndio walikataa, wakadai eneo la asili la mababu zao.
 
Acha hoja za kidini JIBU maswali apo juu?? Sitaki kusikia habari za bibilia maaana mmedanganywa wayahudi wa bibilia na wayahudi halisi
 
Acha mawazo ya kidini JIBU maswali haya

UNO Resolution 181(II) la 1947 tarehe 29th November Tukio lililofanyika lilikuwa linahusu nini?

14th may 1948 kulitokea Tukio gani?

1950s Israel na MAREKANI kwanini walianzisha neno UGAIDI na MAGAIDI?

UKATIRI, UBAGUZI, MAUAJI , UBOMOAJI MAKAZI ,NA UKOLONI WA KUTUMIA JESHI uliofanyika Kuanzia 1948 Hadi leo??

Duh kweli una shida aise, unaleta historia ya 40s, juzi sana bana, hapo mahali hata ukiweka dini pembeni pana historia ya maelfu ya miaka.
 
Ndugu yangu kasome vizuri kwenye kitabu cha mwenyezi Mungu kinatambua uwepo wa wayahudi hata kabla ya uislamu kuwepo na eneo lao linajulikana.(Middle east) Nakushauri usiwe mkubwa kuliko kitabu cha mwenyezi Mungu.

Kuhusu mataifa mengi kuunga mkono Palestina haiondoi ukweli kwamba Israel ina madai ya haki kwamba mahali walipo ni nchi yao na wao wamekuwepo hata kabla ya uislamu na kitabu cha mwenyezi Mungu kinatambua.

Nataka kusema ukweli hata kama inauma.Israel ni Taifa teule la Mungu hata kama dunia nzima itakuwa kinyume nao Mungu wao huko pamoja nao, wataendelea kuwepo tu vizazi na vizazi,wameshashinda vita nyingi sana na watazidi kushinda milele, maazimio yote ya umoja wa mataifa dhidi ya Israel ni kupoteza muda tu hakuna kingine zaidi ya hapo
Acha hoja za kidini JIBU maswali apo juu?? Sitaki kusikia habari za bibilia maaana mmedanganywa wayahudi wa bibilia na wayahudi halisi
 
Sasa wewe mambo ya huko yanakuhusu nini wakati huku nyanya na dagaa zimepanda bei sokoni. Pia wafanyakazi wa TANESCO wanaamka asubuhi wanaaga nyumbani kwenda kazini kwa ajili ya kukata umeme na DAWASA hivyo hivyo kukata maji wakati tuliambiwa mito na mabwaya vimekauka lakini sasa mvua zinanyesha na mafuriko juu lakini bado wanakata umeme na maji.
tunawekana sawa tu
 
Kwani Tanganyika haikuwa mandate colony chini ya Mwingereza, wakati Tanganyika ni mandate colony apakua na viongozi wa kiafrika kwenye serikali ya mkoloni.
Tanganyika kulikua na kina mkwawa, isike, yaani kulikua na kingdom na zinajitawala
Narudia tena ntajie wafalme watano wa dola ya kipalestina kwenye historia ya nchi yao
 
Back
Top Bottom