Inaonekana wewe Setfree ni mzinzi ndiyo maana unahalalisha msamahakwa mziziIli uweze kuelewa vizuri maana halisi za Maandiko inabidi usome Biblia ya Kigiriki, sio tafsiri za Kiingereza. Biblia za Kiingereza zimetafsiriwa kutoka Kigiriki.
Sasa neno la kigiriki lililotumika katika Mathayo 5:32 ni: porneia (πορνεία)
Katika Mathayo 5:32, Yesu anasema:
“...parektos logou porneias...”
Kwa hiyo tafsiri inayosema “isipokuwa kwa sababu ya porneia (uasherati)” ndiyo sahihi kulingana na Kigiriki.
Maana ya porneia katika Kigiriki cha Agano Jipya ni uasherati. Uasherati ni mahusiano ya kimwili kabla watu hawajafunga ndoa.
Moicheia (μοιχεία) ndilo neno la Kigiriki linalomaanisha uzinzi kwa watu walio katika ndoa.
Yesu alitumia moicheuō (kuzini) katika Mathayo 5:28 na 19:9 kwa maana ya uzinzi wa mume au mke aliye ndani ya ndoa.
Hivyo ndugu, kama mwenzi wako wa ndoa amefanya uzinzi, msamehe tu hata saba mara sabini, sio kumwacha au kumpa talaka. Kwani Yesu alitusamehe dhambi zote isipokuwa uzinzi? Ukiamua kumwacha, hupaswi kuoa au kuolewa tena. Vinginevyo utahesabika mzinzi.
Mtu akisoma mada zako anaweza kudhani wewe huna dhambi kama wale wazee na maserafi.Kuna watu wanaodai kwamba kama mume au mke amefumaniwa akifanya uzinzi basi ni halali kumwacha au kumpa talaka na kuoa au kuolewa na mwingine. Wanatumia andiko la Mathayo 5:32 kuhalalisha madai yao. Andiko hilo linasema hivi:
Mathayo 5:32
"Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini."
Ni muhimu kujua kuwa kuna tofauti kati ya uasherati na uzinzi.
Uasherati ni kabla watu hawajaoana. Uzinzi ni baada ya watu kuoana. Kumbuka jinsi Yusufu alivyotaka kumwacha Mariamu. Alifikiri amefanya uasherati. Malaika akamwambia asimwache kwakuwa mimba yake ni kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
Kwa sababu hiyohiyo watu walio katika uchumba, hata kama wamepeana posa tayari, ikithibitika kuwa mmoja amefanya uasherati, huyo mwenzake ni ruksa kumwacha kwa sababu anaonyesha wazi sio mwaminifu. Lakini watu wakiishaoana, uzinzi siyo kisingizio cha kuachana. Mwenzako akifanya uzinzi msamehe. La sivyo, ukimwacha, ukae hivyohivyo, usioe/usiolewe. Ukweli huu ni mchungu. Lakini hakuna shortcut, kama tunataka kwenda mbinguni ni lazima tutii maagizo ya Mungu.
Yusufu aliambiwa na malaika kwamba usimuache Mariam mkeo. Biblia inamtambua mwanamke/mwanaume walioposana kama mke/mume, tendo la ndoa ndo linalothibitisha ndoa na kuifanya kuwa halali.Kuna watu wanaodai kwamba kama mume au mke amefumaniwa akifanya uzinzi basi ni halali kumwacha au kumpa talaka na kuoa au kuolewa na mwingine. Wanatumia andiko la Mathayo 5:32 kuhalalisha madai yao. Andiko hilo linasema hivi:
Mathayo 5:32
"Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini."
Ni muhimu kujua kuwa kuna tofauti kati ya uasherati na uzinzi.
Uasherati ni kabla watu hawajaoana. Uzinzi ni baada ya watu kuoana. Kumbuka jinsi Yusufu alivyotaka kumwacha Mariamu. Alifikiri amefanya uasherati. Malaika akamwambia asimwache kwakuwa mimba yake ni kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
Kwa sababu hiyohiyo watu walio katika uchumba, hata kama wamepeana posa tayari, ikithibitika kuwa mmoja amefanya uasherati, huyo mwenzake ni ruksa kumwacha kwa sababu anaonyesha wazi sio mwaminifu. Lakini watu wakiishaoana, uzinzi siyo kisingizio cha kuachana. Mwenzako akifanya uzinzi msamehe. La sivyo, ukimwacha, ukae hivyohivyo, usioe/usiolewe. Ukweli huu ni mchungu. Lakini hakuna shortcut, kama tunataka kwenda mbinguni ni lazima tutii maagizo ya Mungu.
Zaburi 16:3 inasema watakatifu waliopo duniani ndio bora. Utakatifu duniani inawezekana kabisa kwake yeye aaminiye.Dhambi nilitubu siku nyingi.
Unapotosha mtu wa Mungu, mleta mada yupo sahihi kabisa.Uasherati ni kufanya ngono nje ya ndoa ilhali mume wako yupo
Amfanya kuwa mzinzi- Mzinzi ni mtu anaefanya ngono ilhali hayupo kwenye ndoa
So "Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini." Maana yake ni kwamba Valid reason ya kumuacha Mkeo ni awe muasherati yaani anafanya ngono nje akati mpo kwenye ndoa ila kama sababu sio hiyo (Uasherati) bhasi huruhusiwi kumuacha Mkeo coz utamfanya awe mzinzi (akafanye ngono nje ya ndoa ilhali ulikuwa na ndoa nae na umeivunja) kwahiyo hapo wewe umefasili vibaya maandiko, Biblia inahalalisha wazi kabisa 100% kuachana na mwanamke wako kama ana tabia za Uasherati (kufanya ngono nje ilhali umemuoa) soma na uelewe, usikurupuke
Hakuna usahihi hapo HAKUNA MAANDIKO ya kitabu chochote cha dini yanayoruhusu uendelee na mwanamke ambae ni muasherati📌Unapotosha mtu wa Mungu, mleta mada yupo sahihi kabisa.
Haijalishi akiwa mpumbavu anastaili talaka, upumbavu huu ndo unawafanya wanawake wengi wa Kikristo hawajitambui uutumia kuwavuruga wanaumeAgano la Kale.
Agano Jipya ni mme mmoja, mke mmoja
Unachoshindwa wewe kuelewa ni kufananisha situation ya Yusufu na sisi Wanadamu wa kawaidaYusufu aliambiwa na malaika kwamba usimuache Mariam mkeo. Biblia inamtambua mwanamke/mwanaume walioposana kama mke/mume, tendo la ndoa ndo linalothibitisha ndoa na kuifanya kuwa halali.
Kwahiyo watu wasidhani kuwa mtu akitoka nje ya ndoa basi Yesu aliruhusu talaka itolewe. Mbaya zaidi hata makanisa mengi kwa sasa yameingia ktk huu mtego wa Ibilisi.
Uasherati ni kwa watu ambao hawajaoana kama ilivyokuwa kwa Yusufu na Mariamu. Yusufu alitaka kumwacha na ilikuwa halali kwake lakini akaambiwa asimwache kwa sababu mimba yake ilipatikana kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.Hakuna usahihi hapo HAKUNA MAANDIKO ya kitabu chochote cha dini yanayoruhusu uendelee na mwanamke ambae ni muasherati📌
Unaelewa maana ya "Lakini mimi nawaambia, kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi" Yaani kumuacha mkeo kwa sababu zingine ni ngumu ila isipokuwa labda awe muasherati yani ametoka nje ya ndoa hapo ni ruksa kumuacha elewa "kila mtu amwachaye mkewe ISIPOKUWA KWA SABABU YA UASHERATI ina maana kama sababu sio uasherati bhasi hutakiwi kumuacha mkeo, hizo story zingine achaneni nazo Hakuna maandiko matakatifu katika Quran na bibke yanayoruhusu kuishi na mwanamke msaliti HAKUNA Mke akishatoka nje ya ndoa hiyo ni tiketi moja kwa moja, eleweni maandiko acheni kufocus kwenye kutetea wanawake
Kuna kitu hujakielewa Biblia ni ngumu sana kuichambua ukiisoma kama gazeti,Uasherati ni kwa watu ambao hawajaoana kama ilivyokuwa kwa Yusufu na Mariamu. Yusufu alitaka kumwacha na ilikuwa halali kwake lakini akaambiwa asimwache kwa sababu mimba yake ilipatikana kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
Kwa waliooana, neno linalotumika ni uzinzi. Ukimwacha mke wako kwa sababu ya uzinzi, huruhusiwi kuoa mwingine