Soma Maandiko kwa utulivu. Kama ndugu yako unapaswa kumsamehe 7x70 mke wako ambaye ni mwili mmoja na wewe si zaidi sana? Yesu alitusamehe dhambi zote isipokuwa uzinzi?Unajua maana ya kusamehe,,? Msamaha ni mtu kuacha kama alikuwa na kisasi na wewe basi anaachia but haimaanishi kuwa ni lazima aendelee kuwa na wewe,, naweza nikakusamehe but sitaki tena kuwa na ukaribu na wewe coz unanikumbusha maumivu so utamlazimisha mumeo akusamehe then arudi kama zamani, hata Adam na Hawa walipotenda dhambi bustani ya Eden Mungu aliwasamehe but hakuwaruhusu tena wabaki bustanini je utasema basi Mungu hakuwasamehe,, Big No, usimpangie mtu msamaha Mwanaume anaweza akakusamehe akaachia but asitake tena kuwa karibu na wewe coz itamrudisha nyuma na huwezi kumlaumu kwamba hajakusamehe akati ulifanya kosa kwa makusudi
Pili Biblia imefundisha tusameheane but haijampangia wala kumlazimisha mtu asamehe kosa but Mtu atasamehe kwa ajili ya faida zake binafsi na sio za kwako wewe mkosaji
Kingine Biblia imetaka msamaha kwa ndugu ikiwa na maana kwa yeyote anaekukosea unapaswa kumsamehe but Ndoa ni zaidi ya undugu ndoa ni agano so ukivunja agano usitegemee msamaha kirahisi na hata ukipata msamaha haikupi guarantee kwamba ndo tuwe kama zamani NO, Mtu anaweza akakusamehe ili kuweka Amani but haitamzuia kukuwekea mipaka, kukuweka mbali na yeye au kukutoa kabisa kwenye circle yake, kwa kifupi MTU ANAWEZA AKAKUSAMEHE BUT HUNA MAMLAKA YA KUMPANGIA NAMNA YA KUJILINDA ILI ASIWE DISAPPOINTED TENA NA WEWE
Na cha zaidi Biblia yenyewe imehalalisha ndoa kuvunjika kwa ajili ya Cheating ya mwanamke, Mwanaume anaweza akasamehe ndoa iendelee but hata akihitaji kuvunja ndoa still Biblia imempa uhalali kwa kosa hilo, unachokifanya wewe ni kutaka kugeuza maneno ya kiswahili na kuweka maana unazozijua wewe
Na ukiulizia kuhusu mwanaume msaliti atahukumiwa na Mungu, Biblia imetuhasa wanaume kuwapenda Wake zetu na kama tukiwatenda kwa ubaya Mungu mwenyewe atatuhukumu.
Biblia imemuweka mwanamke chini ya mwanaume na imemuweka mwanaume chini ya Mungu sasa ukitaka usawa mwanaume ahukumiwe kama wewe hapo utajiumiza mwenyewe📌
Kama umekiri kwamba ukimuacha mkeo ukaoa mwingine unazini, tuko pamoja. Mwache, lakini kaa hivyohivyo, usioe mwingine. Ila bado utasumbuliwa na uchungu tu hata kama unasema umesamehe. Kusamehe ni kuachilia. Kama umesamehe talaka ya nini sasa. Unapotoa talaka maana yake bado unahesabu mabayaNarudia tena Hata Mungu aliwasamehe Adam na Eva but still aliwatoa bustanini, so Mwanaume anaweza akakusamehe but hauwezi ukampangia namna ya kujilinda baada ya kukusamehe
Na kingine bliblia hiyohiyo Yesu amesema “Nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini.” Mathayo 19:9
It means mwanaume yeyote ukimuacha MKE isipokuwa kwa sababu ya Uasherati (ni mzinzi, malaya, Cheater) basi ukienda kuoa mwingine unazini,
Mke anaweza akawa ana dharau, kiburi, maneno, roho mbaya but mwanaume anapaswa kumvumilia kwa madhaifu yake but akivuka mipaka ya hapo akaenda kufanya uasherati basi imehalalishwa kumuacha/talaka
So acha kutumia vifungu vya Biblia kumfunga mwanaume katika mateso ya mwanamke msaliti📌 Mwanaume akikupa talaka ni haki yake anaweza akakusamehe na still akakupa talaka na hiyo ni halali kwake huwezi kumpangia namna ya kureact📌 Hata wewe kuna watu waliokukosea ambao umewasamehe but huna ukaribu nao tena, Nafikiri nimeeleweka
Na kama ni mwili mmoja kwa nini yeye alifanya usaliti akapeleka mwili wake kwa mwanaume mwengine,,Soma Maandiko kwa utulivu. Kama ndugu yako unapaswa kumsamehe 7x70 mke wako ambaye ni mwili mmoja na wewe si zaidi sana? Yesu alitusamehe dhambi zote isipokuwa uzinzi?
Halafu nilikuambia, ukiamua kumwacha mke wako, mwache, lakini usithubutu kuoa mwingine. Kaa hivyohivyo ulivyo
Mbona nakupa mifano ya wazi but unakaza kichwaKama umekiri kwamba ukimuacha mkeo ukaoa mwingine unazini, tuko pamoja. Mwache, lakini kaa hivyohivyo, usioe mwingine. Ila bado utasumbuliwa na uchungu tu hata kama unasema umesamehe. Kusamehe ni kuachilia. Kama umesamehe talaka ya nini sasa. Unapotoa talaka maana yake bado unahesabu mabaya
Acha kupotosha Maandiko. Talaka haijahalalishwa katika Ukristo. Vyeti vya talaka ni batili mbele ya Mungu. Talaka zilitolewa katika Agano la Kale tu, tena kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao.Na kama ni mwili mmoja kwa nini yeye alifanya usaliti akapeleka mwili wake kwa mwanaume mwengine,,
Kwani Mungu hakuwasemehe Adam na Eva,, mbona aliwatoa Bustanini
Kwani Mungu hakuwasamehe Wana wa Israel kule Jangwani walipomkosea ila mbona alimwambia Musa kwamba hawa hawataingia Nchi ya ahadi labda vizazi vyao,,
Kusamehe imeamriwa but mtu akikusamehe sio sheria kwamba yeye awe vipi kwako, anaweza akakusamehe then akakupunguza kwenye maisha yake ni namna ya mtu kujilinda na ni wajibu wake.
Ukizingatia Biblia yenyewe imempa uhalali huo Mwanaume atakusamehe na akitaka kukupa talaka atakupa na sio dhambi hiyo imeamrishwa kwa mwanamke msaliti.
Yani ustegemee kwamba umcheat mwanaume ajue then akupe talaka alafu asioe Mke mwengine au aende motoni hiyo narrative FUTA📌 Kukusamehe atakusamehe na talaka atakupa, ataoa mwanamke mwengine na ataendelea na maisha mengine
Kukusamehe kwake haitakuwa chanzo cha kumpangia kuendelea kuwa na wewe na Biblia haijamfunga mwanaume katika namna hiyo
Nikioa mwengine nitahesabiwa kwamba nimezini endapo mwanamke huyo nimemuacha kwa makosa mengine nje na Uasherati wake but kama nimemuacha kwa sababu ya uasherati wake siwezi kuhesabiwa kwamba NaziniKama umekiri kwamba ukimuacha mkeo ukaoa mwingine unazini, tuko pamoja. Mwache, lakini kaa hivyohivyo, usioe mwingine. Ila bado utasumbuliwa na uchungu tu hata kama unasema umesamehe. Kusamehe ni kuachilia. Kama umesamehe talaka ya nini sasa. Unapotoa talaka maana yake bado unahesabu mabaya
Acha kujifariji. Uasherati sio uzinzi. Uasherati ni ngono kwa watu ambao bado hawajaoana.Nikioa mwengine nitahesabiwa kwamba nimezini endapo mwanamke huyo nimemuacha kwa makosa mengine nje na Uasherati wake but kama nimemuacha kwa sababu ya uasherati wake siwezi kuhesabiwa kwamba Nazini
Mbona Bible imeweka wazi tu
“Nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini.” hapo usichokielewa na kipi au ulitaka Yesu atoe maelezo mengi kama navyotoa mimi
Na Yesu aliposema “Nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini.” unajua alimaanisha nini,, alimaanisha kwamba ni halali kuachana na Mkeo endapo amefanya uasherati wewe hapo unachokataa ni kipi kama sababu ya Uasherati Yesu alishaihalalisha kwamba inaweza kuvunja ndoa.Acha kupotosha Maandiko. Talaka haijahalalishwa katika Ukristo. Vyeti vya talaka ni batili mbele ya Mungu. Talaka zilitolewa katika Agano la Kale tu, tena kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao.
Kuhusu Adamu na Hawa ni sawa, walitolewa bustanini, lakini kilichofuata ni nini? Hujui kwamba Yesu alikuja ili kutupatanisha tena na Mungu baada ya anguko la Adam na Hawa?
Acha kujifariji. Uasherati sio uzinzi. Uasherati ni ngono kwa watu ambao bado hawajaoana.Na Yesu aliposema “Nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini.” unajua alimaanisha nini,, alimaanisha kwamba ni halali kuachana na Mkeo endapo amefanya uasherati wewe hapo unachokataa ni kipi kama sababu ya Uasherati Yesu alishaihalalisha kwamba inaweza kuvunja ndoa.
Pili unajua kwa nini Agano la Kale liliamrisha watu kuachana kwa talaka,, Ni kwa sababu ilionekana kuwa ni ngumu kwa Wanaume kuendelea pamoja na Mke baada ya usaliti na ili kuepusha madhara yatokanayo na usaliti talaka ikaamriwa, Ogopa mpaka Mungu aliona hiki kitu Wanaume wamekishindwa na akawawekea sheria ya talaka kwa kosa hilo
PILI. Yesu hakuja kubatilisha sheria ya talaka bali alikuja kuirekebisha kwa sababu Katika agano la Kale talaka ilikuwa inatolewa kwa kosa lolote yaani mwanaume akiona amemchoka Mkewe anampa talaka, akiona mkewe amekosea kidogo anampa talaka BUT katika agano jipya Yesu alipokuja alikuja kurekebisha sheria ya talaka kwa kusema kwamba Kosa pekee linalohalalishwa kutoa talaka ni Uasherati na sio makosa mengine kama ambavyo walikuwa wanafanya Israel ya zamani.
So unatakiwa ujue kwamba Yesu hakuja kulipinga agano la Kale bali alikuja kurekebisha ambapo pamelegea
Speaking of Adam na Hawa na kwamba walikosea waliomba msamaha Mungu aliwasamehe but hakuwaacha bustanini kwa sababu once ni mkosaji ni mkosaji tu, kumsamehe haitakuwa na maana kwamba hatakosea tena so aliwasamehe but alichukua uamuzi wake, Na hata waisraeli kule jangwani walikuwa wanamkosea kila mda aliwasamehe but alimwambia kabisa Musa kuwa hawa hawatafika Nchiya ahadi
Point yangu ni kwamba Mwanaume kukupa talaka haina maana kwamba hajakusamehe but atakusamehe ila talaka atakupa na ataoa mwanamke mwengine na maisha yataendelea na Biblia imempa mamlaka hayo so huwezi kumhukumu mwanaume kwa sabbau tu amekupa talaka akati ulikosea, jilaumu wewe kwa kufanya makosa makubwa yaliyopelekea kuvunja ndoa yako
Ukisema hivyo ina maana unapinga andiko la Biblia ambapo Yesu alisema “Nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini.” So Yesu alikua hajui maandiko au, Yani unatumia maandiko ya Yesu kumpinga Yesu mwenyewe 🤣Acha kujifariji. Uasherati sio uzinzi. Uasherati ni ngono kwa watu ambao bado hawajaoana.
KUMWACHA MKE KWA SABABU YA UASHERATI ni kisingizio cha watu wengi wasiojua Maandiko. Nyakati za Biblia mtu alipotoa posa kwa mchumba wake, hata kabla hawajaoana, waliitwa mtu na mkewe (KUMBUKUMBU 22:23-24; MATHAYO 1:18-20). Katika uchumba, kama 'mke' huyo amethibitishwa kuwa amefanya uasherati ikajulikana kuwa ana mimba ilikuwa ni halali kumwacha maana ni dhahiri kwamba siyo mwaminifu. Ndio sababu Yusufu alitaka kumwacha Mariamu kwa kudhani amefanya uasherati.
Leo pia katika Kanisa, watu ambao bado ni wachumba, hata kama posa imekwisha kutolewa, mmojawapo anapothibitika kuwa amefanya uasherati, huyo mwenzake ana ruhusa ya kumwacha kwa sababu inadhihirisha kwamba hajaokoka. NARUDIA TENA, mtu na mkewe wakiisha kuoana, hakuna kitu kinachopaswa kuwatenganisha. Uzinzi siyo sababu ya kuwaruhusu kuachana. Mume anapaswa kumsamehe mkewe saba mara sabini makosa YOTE kama Mungu katika Kristo alivyotusamehe sisi. Je, tulisamehewa dhambi zote kasoro uzinzi? Jibu ni la! Kwahiyo uzinzi siyo kisingizio cha kumwacha mke (WAEFESO 4:32). LAKINI UKIENDELEA KUSHUPAZA SHINGO, MWACHE, ILA USITHUBUTU KUOA MWINGINE. UKIOA MWINGINE SAHAU KABISA KUINGIA MBINGUNI KWAKUWA UTAKUWA MIONGONI MWA WAZINZI
Yeah Uzinzi ni ngono kwa watu ambao hawajaoana na ndo maana ukienda kufanya ngono na mwanaume mwengine ambae hamjaoana huku Mumeo yupo basi Mumeo ana uhalali wa kukuacha. Mbona simple tu usikaze fuvu nanihiiAcha kujifariji. Uasherati sio uzinzi. Uasherati ni ngono kwa watu ambao bado hawajaoana.
KUMWACHA MKE KWA SABABU YA UASHERATI ni kisingizio cha watu wengi wasiojua Maandiko. Nyakati za Biblia mtu alipotoa posa kwa mchumba wake, hata kabla hawajaoana, waliitwa mtu na mkewe (KUMBUKUMBU 22:23-24; MATHAYO 1:18-20). Katika uchumba, kama 'mke' huyo amethibitishwa kuwa amefanya uasherati ikajulikana kuwa ana mimba ilikuwa ni halali kumwacha maana ni dhahiri kwamba siyo mwaminifu. Ndio sababu Yusufu alitaka kumwacha Mariamu kwa kudhani amefanya uasherati.
Leo pia katika Kanisa, watu ambao bado ni wachumba, hata kama posa imekwisha kutolewa, mmojawapo anapothibitika kuwa amefanya uasherati, huyo mwenzake ana ruhusa ya kumwacha kwa sababu inadhihirisha kwamba hajaokoka. NARUDIA TENA, mtu na mkewe wakiisha kuoana, hakuna kitu kinachopaswa kuwatenganisha. Uzinzi siyo sababu ya kuwaruhusu kuachana. Mume anapaswa kumsamehe mkewe saba mara sabini makosa YOTE kama Mungu katika Kristo alivyotusamehe sisi. Je, tulisamehewa dhambi zote kasoro uzinzi? Jibu ni la! Kwahiyo uzinzi siyo kisingizio cha kumwacha mke (WAEFESO 4:32). LAKINI UKIENDELEA KUSHUPAZA SHINGO, MWACHE, ILA USITHUBUTU KUOA MWINGINE. UKIOA MWINGINE SAHAU KABISA KUINGIA MBINGUNI KWAKUWA UTAKUWA MIONGONI MWA WAZINZI
Soma Maandiko vizuri ujue tofauti ya uzinzi na uasherati. Uzinzi ni ngono inayofanywa na mke au mme nje ya ndoa, sio kabla ya ndoa. Kabla ya ndoa ni uasherati.Yeah Uzinzi ni ngono kwa watu ambao hawajaoana na ndo maana ukienda kufanya ngono na mwanaume mwengine ambae hamjaoana huku Mumeo yupo basi Mumeo ana uhalali wa kukuacha. Mbona simple tu usikaze fuvu nanihii
Ukisema kabla ya Ndoa ni uasherati ina maana Yesu aliposema “Nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini.” ina maana gani🤣Soma Maandiko vizuri ujue tofauti ya uzinzi na uasherati. Uzinzi ni ngono inayofanywa na mke au mme nje ya ndoa, sio kabla ya ndoa. Kabla ya ndoa ni uasherati.
Mtafute mke uliyeachana naye umsamehe na umrudie. Na huyo uliye naye sasa mwache, vinginevyo nakuambia tena mbingu utaikosa.
Hapo alikuwa anasisitiza wazi kwamba mme akiishaoa hapaswi kumwacha mkewe. Kesi inayoruhusiwa tu ni kwa mme na mke(wachumba ambao kwa nyakati zile walikuwa wanatambulika kama mtu na mkewe hata kabla ya kuoana kama Yusufu na Mariamu) ndiyo sababu ametumia neno uasherati badala ya uzinzi. Angekuwa anamaanisha waliooana angesema isipokuwa kwa sababu ya uzinzi.Ukisema kabla ya Ndoa ni uasherati ina maana Yesu aliposema “Nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini.” ina maana gani
Hakuna mwanaume timamu anaesamehe mwanamke msaliti NIMEMALIZA, vilivyobaki amini unavyoamini📌Hapo alikuwa anasisitiza wazi kwamba mme akiishaoa hapaswi kumwacha mkewe. Kesi inayoruhusiwa tu ni kwa mme na mke(wachumba ambao kwa nyakati zile walikuwa wanatambulika kama mtu na mkewe hata kabla ya kuoana kama Yusufu na Mariamu) ndiyo sababu ametumia neno uasherati badala ya uzinzi. Angekuwa anamaanisha waliooana angesema isipokuwa kwa sababu ya uzinzi.
Wewe hujiulizi kwanini uasherati na uzinzi ni dhambi za namna mbili zinazotajwa katika Biblia?
1 Wakorintho 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Pole sana. UKWELI MCHUNGU umeupata. Endelea kushupaza shingo halafu subiri siku ya hukumu utajua ulikuwa hujui kwamba kuingia mbinguni sio lelemama. NIMEMALIZA📌Hakuna mwanaume timamu anaesamehe mwanamke msaliti NIMEMALIZA, vilivyobaki amini unavyoamini📌
Huo ni ukweli wako, Nimekupa fact kuwa Biblia imehalalisha talaka na Yesu mwenyewe kahalalisha talaka na nikakwambia Talaka haihusiani na msamaha unaweza ukasamehewa na talaka ukapewa we umekaa unang'ang'ania msamaha🤣 Kaa hapo uendelee kutumia Bible kujipa moyo kwamba ukimcheat mumeo kwa makusudi ni lazima aendelee kuwa na wewe🤣🤣🤣Pole sana. UKWELI MCHUNGU umeupata. Endelea kushupaza shingo halafu subiri siku ya hukumu utajua ulikuwa hujui kwamba kuingia mbinguni sio lelemama. NIMEMALIZA📌
HUO NI UKWELI WAKO wewe, Nimekupa fact kuwa Biblia imehalalisha talaka na Yesu mwenyewe kahalalisha talaka kwa Mke ambae ni muasherati we umekaa hapo unakomalia kwamba Mke haachwi akati Yesu mwenyewe kashasema Mke akiwa muasherati muache🤣 umeshindwa hoja unafanya kuruka vifungu vya biblia na kuleta maana zako za maneno kama kamusi ya kiswahili kuhakalisha Uasherati wa mwanamke,, afu vifungu vyako vime_base kwenye msamaha as if Sijakuelekeza kwamba Talaka haihusiani na msamaha unaweza ukasamehewa na talaka ukapewa na unaweza usisamehewe na talaka usipewePole sana. UKWELI MCHUNGU umeupata. Endelea kushupaza shingo halafu subiri siku ya hukumu utajua ulikuwa hujui kwamba kuingia mbinguni sio lelemama. NIMEMALIZA📌
“Nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini.”Pole sana. UKWELI MCHUNGU umeupata. Endelea kushupaza shingo halafu subiri siku ya hukumu utajua ulikuwa hujui kwamba kuingia mbinguni sio lelemama. NIMEMALIZA📌
Naona umelifata AI hilohilo ulilokuwa unalikataa🤣Hapo alikuwa anasisitiza wazi kwamba mme akiishaoa hapaswi kumwacha mkewe. Kesi inayoruhusiwa tu ni kwa mme na mke(wachumba ambao kwa nyakati zile walikuwa wanatambulika kama mtu na mkewe hata kabla ya kuoana kama Yusufu na Mariamu) ndiyo sababu ametumia neno uasherati badala ya uzinzi. Angekuwa anamaanisha waliooana angesema isipokuwa kwa sababu ya uzinzi.
Wewe hujiulizi kwanini uasherati na uzinzi ni dhambi za namna mbili zinazotajwa katika Biblia?
1 Wakorintho 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.