Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Ndo umejenga Lodge kwa million 10?Kaka nilikuwa na MILIONI 14 nikapata partnership na jamaa. Zangu wawili wao waliweka pesa zaidi yangu ila baada ya miaka 7 ya biashara Kwa bahati mbaya mmoja wa partners alifariki Familia ya marehemu ilihitaji pesa yote iliyomuhusu marehemu walipewa mwingine baadae alihitaji kufanya biashara tofauti hivyo akichukua chale nikabaki mwenyewe mpaka Leo Nina lodge 3