Ndo umejenga Lodge kwa million 10?Kaka nilikuwa na MILIONI 14 nikapata partnership na jamaa. Zangu wawili wao waliweka pesa zaidi yangu ila baada ya miaka 7 ya biashara Kwa bahati mbaya mmoja wa partners alifariki Familia ya marehemu ilihitaji pesa yote iliyomuhusu marehemu walipewa mwingine baadae alihitaji kufanya biashara tofauti hivyo akichukua chale nikabaki mwenyewe mpaka Leo Nina lodge 3
Biashara sio pesa hata ukiwa na kidogo tafuta Njia ya ushirikiano ukiwa na hicho kidogo sio lazima uwe na Kingi kama ujuavyo mkono mtu haulambwiNdo umejenga Lodge kwa million 10?
Wap huko mkuu hii biashara inafanyika wap ni mwanza au sehem yoyoteToa sh milioni 7 ilete huku kwenye ufugaji wa samaki kwa vizimba, utaanza na kizimba cha vifaranga vya samaki elfu 15 hadi elfu 17 aina ya Sato, kilo moja ya samaki ni sh elfu 7 baada ya miezi 6 kwa uchache unaweza kuvuna kuanzia tan 10 hadi tani 12
Tusiwaze sana kujenga, si unaweza kukodi pia?Kilimo cha matikiti mtandaoni kinalipa sana, lakini ukilima shambani jiandae kisaikolojia.
Lakini pia, we jamaa unashauri watu waanzishe shule kwa mtaji wa milioni 10? Unajua kujenga darasa moja ni shilingi ngapi au umelewa?
Kulisha, kutibu ,maji nk?Toa sh milioni 7 ilete huku kwenye ufugaji wa samaki kwa vizimba, utaanza na kizimba cha vifaranga vya samaki elfu 15 hadi elfu 17 aina ya Sato, kilo moja ya samaki ni sh elfu 7 baada ya miezi 6 kwa uchache unaweza kuvuna kuanzia tan 10 hadi tani 12
Uyo jamaa anazingua ivi anajua hata bei ya bundle Moja ya bati ?Kilimo cha matikiti mtandaoni kinalipa sana, lakini ukilima shambani jiandae kisaikolojia.
Lakini pia, we jamaa unashauri watu waanzishe shule kwa mtaji wa milioni 10? Unajua kujenga darasa moja ni shilingi ngapi au umelewa?
Jiheshimu mdogo wangu…Kaka nilikuwa na MILIONI 14 nikapata partnership na jamaa. Zangu wawili wao waliweka pesa zaidi yangu ila baada ya miaka 7 ya biashara Kwa bahati mbaya mmoja wa partners alifariki Familia ya marehemu ilihitaji pesa yote iliyomuhusu marehemu walipewa mwingine baadae alihitaji kufanya biashara tofauti hivyo akichukua chale nikabaki mwenyewe mpaka Leo Nina lodge 3
Ungeandika pharmacy ningekusupport 100%
Dah😂😂Jiheshimu mdogo wangu…
Mambo ya kutype umejifunika shuka la shemeji yako sisi hatupendi ujue!!
Hii naomba niijue Zaidi naona kuna fursa hapa.Toa sh milioni 7 ilete huku kwenye ufugaji wa samaki kwa vizimba, utaanza na kizimba cha vifaranga vya samaki elfu 15 hadi elfu 17 aina ya Sato, kilo moja ya samaki ni sh elfu 7 baada ya miezi 6 kwa uchache unaweza kuvuna kuanzia tan 10 hadi tani 12