Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais na the Ayatollahs ili kuudanganya jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa Iran ni Huru. Ukitaka ushahidi kuwa
Utawala wa Kiayatollah haukubaliwi na Wairan basi ni kupitia huu uchaguzi uliompitisha Pezeshkian. Moja, Wairan wengi hawauamini mfumo wa nchi hiyo wa uchaguzi. Hivyo, walikaa nyumbani. Licha ya wairan wengi kutojitokeza, bado kwa wale waliojitokeza wakamchagua Rais asiyeunga mkono sheria za Kiislamu.
Endapo ghafla Utawala wa Kiayatollah unaanguka leo, Pezeshkian anaweza kuwa Rais wa makubaliano ya pande zote.
Israel na US wanajua fika kuwa siasa za Pezeshkian si tishio kwa dunia na Israel. Hivyo? Haina haja kumfutilia mbali na kwa vile huko mbele anaweza kuwa Rais wa Serikali ya Mpito