Je Unajua ni kwanini Israel Hawasumbuki Kumuwinda na Kumuua Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran?

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,321
Reaction score
1,906
Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais na the Ayatollahs ili kuudanganya jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa Iran ni Huru. Ukitaka ushahidi kuwa

Utawala wa Kiayatollah haukubaliwi na Wairan basi ni kupitia huu uchaguzi uliompitisha Pezeshkian. Moja, Wairan wengi hawauamini mfumo wa nchi hiyo wa uchaguzi. Hivyo, walikaa nyumbani. Licha ya wairan wengi kutojitokeza, bado kwa wale waliojitokeza wakamchagua Rais asiyeunga mkono sheria za Kiislamu.
Endapo ghafla Utawala wa Kiayatollah unaanguka leo, Pezeshkian anaweza kuwa Rais wa makubaliano ya pande zote.

Israel na US wanajua fika kuwa siasa za Pezeshkian si tishio kwa dunia na Israel. Hivyo? Haina haja kumfutilia mbali na kwa vile huko mbele anaweza kuwa Rais wa Serikali ya Mpito
 
Kati ya viongozi wa Iran, mimi nawakubali kweli ni huyu Rais wao. Naomba sana Israel mtoa roho aiponye roho ya huyu mzee. Siku alipojitokeza hadharani na kuomba msamaha kwa mataifa ya Kiislamu kuhusu mashambulizi yaliyofanywa na nchi yake, niliona ni kiongozi mwenye busara hata kama amezungukwa na viongozi wenye msimamo mkali wa IRGC.
 
Kikanuni huyu ana-diplomatic immunity!! Kama wataamua kumuua basi amini atakuwa kiongozi wa mwisho kabisa.
Ngoja nikwambie; kwa Iran Head of State ni Ayatollah. Rais wa Iran ni kama Waziri Mkuu wetu Tanzania.
Aidha, kumbuka kabla ya Masoud Pezeshkian kuingia Madarakani alikuwepo Rais wa Iran aliyeitwa Raisi. Huyo Raisi aliuliwa kwenye Helicopter tena akiwa na Waziri wake wa Mambo ya Nje. Kwanini Israel ilimtarget? Ni kwa sababu Raisi alikuwa mtu mwenye misimamo ya siasa kali za Kiislamu wakikamia kuifutilia mbali Israel.
Hivyo hoja yako ya kinga za kidiplomasia don't hold water
 
Hivyo hoja yako ya kinga za kidiplomasia don't hold
Kifo cha Ibrahim Rais na Waziri wake hakikuwahi kudhibitishwa na Israel.! Taarifa iliyopo ni kwamba kilitokana na ajali.
 
Kati ya viongozi wa Iran, mimi nawakubali kweli ni huyu Rais wao. Naomba sana Israel mtoa roho aiponye roho ya huyu mzee. Siku alipojitokeza hadharani na kuomba msamaha kwa mataifa ya Kiislamu kuhusu mashambulizi yaliyofanywa na nchi yake, niliona ni kiongozi mwenye busara hata kama amezungukwa na viongozi wenye msimamo mkali wa IRGC.
Hawatamgusa
 
Ngoja nikwambie; kwa Iran Head of State ni Ayatollah. Rais wa Iran ni kama Waziri Mkuu wetu Tanzania.
Aidha, kumbuka kabla ya Masoud Pezeshkian kuingia Madarakani alikuwepo Rais wa Iran aliyeitwa Raisi. Huyo Raisi aliuliwa kwenye Helicopter tena akiwa na Waziri wake wa Mambo ya Nje. Kwanini Israel ilimtarget? Ni kwa sababu Raisi alikuwa mtu mwenye misimamo ya siasa kali za Kiislamu wakikamia kuifutilia mbali Israel.
Hivyo hoja yako ya kinga za kidiplomasia don't hold water
Israel haijawahi kudhibitisha kwamba ilihusika na kifo Cha Rais.
 
Kifo cha Ibrahim Rais na Waziri wake hakikuwahi kudhibitishwa na Israel.! Taarifa iliyopo ni kwamba kilitokana na ajali.
Mazingira; kwani kwa wakati huo Israel haikuwa rasmi kwenye vita na Iran; hivyo ilibidi ujasusi uliojificha sana utumike.
Hebu nambie Israel ilikubali moja kwa moja kumuua Ismail Hanniya?
 
Mtoa mada tunashukuru Kwa mada yako hii maana wengi humu ndani hawajui sisia za kimataifa.
 
Nafikiri anayepaswa kuuawa kwa sasa ni huyu waziri wa mambo ya nje Araghchi. anachonga sana
majamaa yana vichwa vikubwa lakini hayana akili. wenzako wanafagiliwa kama taka za shule wewe umekomaa kuuza sura kwa tv ukipromote mfumo wa kigaidi wa IRGC. Run man run.
 
Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais na the Ayatollahs ili kuudanganya jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa Iran ni Huru. Ukitaka ushahidi kuwa

Utawala wa Kiayatollah haukubaliwi na Wairan basi ni kupitia huu uchaguzi uliompitisha Pezeshkian. Moja, Wairan wengi hawauamini mfumo wa nchi hiyo wa uchaguzi. Hivyo, walikaa nyumbani. Licha ya wairan wengi kutojitokeza, bado kwa wale waliojitokeza wakamchagua Rais asiyeunga mkono sheria za Kiislamu.
Endapo ghafla Utawala wa Kiayatollah unaanguka leo, Pezeshkian anaweza kuwa Rais wa makubaliano ya pande zote.

Israel na US wanajua fika kuwa siasa za Pezeshkian si tishio kwa dunia na Israel. Hivyo? Haina haja kumfutilia mbali na kwa vile huko mbele anaweza kuwa Rais wa Serikali ya Mpito
Hati ya makubaliano ya Umoja wa mataifa no 24 inakataza Raia kulengwa wakati wa vita, kiongozi wa nchi ambaye hayupo mstari wa mbele katika vita anakua raia wakati huo, lakini yule ambaye yupo vitani kwenye kikosi ni halali.

Makubaliano ya kimataifa inatamka wakati wa vita maeneo ya kijeshi tu ndiyo yalengwe, lkn kama mnavyojua vita kuna muda havichagui na raia wengi ndo huathirika zaidi.

Mfano nchini Iran vituo vingi vya kijeshi vipo uraia hivo ukilenga unalenga raia.

Israel inaogopa killing assassination ya kumuua Rais wa Iran maana yule ni Raia na amechaguliwa kidemokrasia, maana yake ukimuaa Taifa litaingia katika mparanganyiko mkubwa na maadui wanaweza kuchukua nchi wakakusumbua hata wewe ambaye unatafuta usalama wa kujihami.
 
Rais wa Iran Hana nguvu katika masuala ya kijeshi, kuwepo au kutokuwepo kwake hakuna impact.
 
Back
Top Bottom