Je, Unajua nini kuhusu "Psychological Manipulations",Jinsi ya kuziepuka Na sheria Ya Tanzania inasemaje kuzihusu?

Kwa hiyo kwenye sayansi Wana prove mambo ili kupata uwakiki wa jambo husika .

Na ndio maana kuna baadhi ya theory za kisayansi physics, chemistry, biology zinabadilika kutona ña kupata ushahidi wa kutosha.

Na ndio unaona mabadiliko ya technology na science, kuwa mwana science Sio kuwa shabiki,mbishi, Bali nikufuata facts za kimazingira
 
Mtoto kafana na mama, 👈kuwa makini na statement, wanaume wengi wanaingia kingi Kwa hii statement
😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ndio maana mtoto amezaliwa hakikisha hata mzazi anakuja kuona.. ili ajue ni wako au umepigwa
 
Hapo kwenye majira ya SAA na Maanisha dunia kulizunguka jua, newziland jua linapochomoza, dar watu ndio wanaingia bar ,

Jua linapochomoza mtwara, kigoma ni Giza tupu
Mkuu ukizungumz kuhusu Satelite ndo Uthibitisho wako Utakuwa hauko sahihi...
unafahamu nini kuhusu dome?
pengine bado hujaelewa kuhus Dome!
Wanaposema wao Wanasayansi wanaosupport flat earth hawamaanishi Tambarare kama unavyofikir Wanamaanisha Dome so go and Get the research about the Dome Earth!

kuhusu masaa You are kiddn right i think your Not serious..
kutoka malawi mpaka ziwa nyasa tanzania kuna kam kilometer chache tu chini ya 5 lakini masaa yake yanapishana kwa dakika nyingi hujiulizi kwanini.
wakati kutoka kigoma mpaka dar Ni kilometre zaidi ya 1000 na haipishani masaa yoyote think mzee..

kingine nafikir utakuwa unajua kuhusu Visiwa vya Diomede
(Big diomede na little diomede)
visiwa hivyo Vimepishana kilometre chache tu kama 3.8 hivi (Km 3.8) sio kuwa karibu tu hata kushare hali ya hewa Yaani kukiwa na joto mwanga na kila hali vyote vinakuwa sawa ila unajua Kuwa

visiwa hivyo vinapishana Masaa 21 ... au vinapishana karibia siku nzima na wakati unaweza kusimama na kusalimiana na mtu wa upande wa pili...
sasa shida ni nini tumeaminisha kwamba tuamini kuna Mstari usioonekana ndo unaogawa masaa..
meehn Time is illusion.. tu ..
 
Then linakuja swala la freewill .

Ni mkanganyiko mtupu. Sometimes huwa nawaza Kwa nini nilijifunza falsafa.

Movie Kama matrix inaeleza Kwa undani na Kwa mfumo wa kisasa zaidi kuhusu Haya.

A mind exposed to new ideas will never return to its original size.
Mkuu nakuelewa na ndo ukweli wenywe we have been in the matrix since we have born na wanataka tuamini matrix hiyo ndo uhuru wetu wakati wametuwekea mipaka
 
Then linakuja swala la freewill .

Ni mkanganyiko mtupu. Sometimes huwa nawaza Kwa nini nilijifunza falsafa.

Movie Kama matrix inaeleza Kwa undani na Kwa mfumo wa kisasa zaidi kuhusu Haya.

A mind exposed to new ideas will never return to its original size.
But unapata references
 
DR Mambo AMP
Mi na wewe tunashindwa kuelewana sehemu moja tu..
Mfano umefanya uchunguzi na kupata majibu kwa vifaa ambavyo unaona reality ya jambo husika..
Bado utasema ni Psychological Manipulation ....?
The Reality which you have been taught that it is ...
Nitadeclare interest mimi ni scientist too..

Ila nitakupa mfano mmoja hivi babu yangu aliwahi kunihadithia...

"Kwamba Siku moja Jua alitaka kuwadanganya Wenzake kwahiyo walivyokuja Nyumbani akawaambia kuwa kwa mfalme kuna Ubwabwa leo,Watu wale wote wakakimbia kufata ubwabwa,Huku yeye akiwa aafurah na kucheka kuwa kawaweza ,Ikapita masaa mengi lakini hawaoni,Akaanza kushtuka kuwa huenda kweli kwa mfalme kuna ubwabwa na yeye akaanza kwenda,Alisahau kwamba ule uongo kautengeneza yeye!

So nini nachomaanisha kwamba kuna baadhi ya vitu hata wanaotuletea wenyewe wanakua hawana imani navyo ila wakiona tumeviamini sana na wenyewe wanaona ni fursa kuviamini pia na wao wanakumbwa na mkumbo....

So narudi kwenye swali ulouliza The reality hiyo ndiyo hiyo hiyo wao waliotuambia kuwa ndiyo ukweli ...

Kwa mfano Wanakuambia kwamba ili kumjua huyu ni plasmodiam utaona kitu chenye umbo hili katika Damu unapopima kwenye Microscopy (Picha ya maumbo yote wanakupa wao) so huwezi kuita reality wakatu formula ,Steps ,stage anakuoa huyo huyo anayekumanipulate..
 
Kwa hiyo kwenye sayansi Wana prove mambo ili kupata uwakiki wa jambo husika .

Na ndio maana kuna baadhi ya theory za kisayansi physics, chemistry, biology zinabadilika kutona ña kupata ushahidi wa kutosha.

Na ndio unaona mabadiliko ya technology na science, kuwa mwana science Sio kuwa shabiki,mbishi, Bali nikufuata facts za kimazingira
Unafikiri kwanini zinabadilika? Kama kweli ndo usahihi wenyewe?
Hivi kama ndo reality is the reality have to change to shape the new reality?
 
Waarabu Walianza kuja East Africa kipindi cha Karne ya 7 kwenye utawala wa (Ukhalifa wa) Ban umayya kwa miaka naweza kusema ni kwa makadirio 661 mpaka 750 C.E hivi, Lengo likuwa ni kuongeza eneo la kiutawala, kufanya biashara na kueneza dini..

kabla kazi hiyo haijachukuliwa na ukhalifa wa ban Abassi kipindi cha Miaka ya 750 mpaka 1258 CE baadae wakaendelea. Makhalifa wengine na masultani wengine kuenenza lengo lao...

Hiyo ndo ilikuwa njia ya kwanza ya Kuwabadili watu mawazo na mipamgo yao Waliyokuwa wakifanya waone kama ilikuwa si sawa ambayo waliifanya kwa miaka mingi na mikaka mingi..

Baadae wakaja wazungu East Africa miaka ya karne ya 15 kwenye miaka ya 1498 na wa kwanza kuja walikuwa wareno kupitia vasco da Gama. Walifanikiwa kuja wafanyabiashara,Waeneza dini ya kikristo na walioangalia Fursa na namna ya kumtoa mwarabu

na kuanzia miaka hiyo tukaacha vitu tulivyokuwa na uhakika navyo na kuvitambua tukaanza kufata vitu walivyotuaminisha ni vya kweli...

Since nilivyozaliwa, Kwa sababu nilianza kufundishwa vitu na kuwekewa wigo kabla sijaanza kujitambua
Hayo umesomeshwa na nani? Mimi historia yangu niliyoisoma ipo vingine kabisa.

Tafiti za ki anthropolojia na kijenetiki kwa sasa, ziinaonesha Uarabu ulitoka kwetu huku, Afrika kwa sasa, ukahamia kwengine popye ulipo. Wazungu wakaja kubadilisha hiyo historia kwa kujitweza kwao (supremacy" na dhnna yao potofu wanayoitumia hadi leo ya wagawe uwatawale.

Hata historia za maandiko ya zamani zaidi zinaonesha hivyo.
 
Hii ni Historia yenye mnyororo safi kutoka kwa mababu zetu mpaka ilipofikia hapo ilitunzwa kwa njia ya masimulizi na baadae ikaanza kutunzwa kwa njia ya maandishi..

Nitafurahi endapo nitapata your side part of the story nitakuwa nimeongeza historia kubwa sana!

Na kama ningepata hizo tafiti ningezidi kujiumarisha katika sector hii kuongeza Wigo katika vitu tulivyokuwa manipulated tuamini sivyo!

Nasubiria Mama Yangu!
 
Tafiti ni nyingi sana tena sana, inabidi ujifundishe namna ya kuzitafuta kwenye vyanzo mbali mbali vya kielimu. Si itu, anza na hii kwa haraka haraka:

An open question in the history of human migration is the identity of the earliest Eurasian populations that have left contemporary descendants. The Arabian Peninsula was the initial site of the out-of-Africa migrations that occurred between 125,000 and 60,000 yr ago, leading to the hypothesis that the first Eurasian populations were established on the Peninsula and that contemporary indigenous Arabs are direct descendants of these ancient peoples. To assess this hypothesis, we sequenced the entire genomes of 104 unrelated natives of the Arabian Peninsula at high coverage, including 56 of indigenous Arab ancestry. The indigenous Arab genomes defined a cluster distinct from other ancestral groups, and these genomes showed clear hallmarks of an ancient out-of-Africa bottleneck. Similar to other Middle Eastern populations, the indigenous Arabs had higher levels of Neanderthal admixture compared to Africans but had lower levels than Europeans and Asians. These levels of Neanderthal admixture are consistent with an early divergence of Arab ancestors after the out-of-Africa bottleneck but before the major Neanderthal admixture events in Europe and other regions of Eurasia. When compared to worldwide populations sampled in the 1000 Genomes Project, although the indigenous Arabs had a signal of admixture with Europeans, they clustered in a basal, outgroup position to all 1000 Genomes non-Africans when considering pairwise similarity across the entire genome. These results place indigenous Arabs as the most distant relatives of all other contemporary non-Africans and identify these people as direct descendants of the first Eurasian populations established by the out-of-Africa migrations.

Chini hapa ni tfasiri yake kwa msaada wa google:

Swali la wazi katika historia ya uhamiaji wa binadamu ni utambulisho wa watu wa kwanza wa Eurasia ambao wameacha uzao wa kisasa. Rasi ya Arabia ilikuwa eneo la kwanza la uhamiaji wa nje ya Afrika ambao ulitokea kati ya 125,000 na 60,000 miaka iliyopita, na kusababisha dhana kwamba idadi ya kwanza ya watu wa Eurasia ilianzishwa kwenye Peninsula na kwamba Waarabu wa asili wa kisasa ni uzao wa moja kwa moja wa watu hawa wa kale. Ili kutathmini dhana hii, tulipanga genomes nzima ya wenyeji 104 wasiohusiana na Peninsula ya Arabia katika chanjo ya juu, ikiwa ni pamoja na 56 ya asili ya Kiarabu. Jenomu za asili za Kiarabu zilifafanua nguzo tofauti na vikundi vingine vya mababu, na genomes hizi zilionyesha alama wazi za kizuizi cha zamani cha nje ya Afrika. Sawa na watu wengine wa Mashariki ya Kati, Waarabu wa asili walikuwa na viwango vya juu vya mchanganyiko wa Neanderthal ikilinganishwa na Waafrika lakini walikuwa na viwango vya chini kuliko Wazungu na Waasia. Viwango hivi vya mchanganyiko wa Neanderthal vinaendana na tofauti ya mapema ya mababu wa Kiarabu baada ya kizuizi cha nje ya Afrika lakini kabla ya matukio makubwa ya mchanganyiko wa Neanderthal huko Ulaya na mikoa mingine ya Eurasia. Ikilinganishwa na idadi ya watu duniani kote sampuli katika 1000 Genomes Project, ingawa Waarabu wa asili alikuwa na ishara ya mchanganyiko na Wazungu, wao clustered katika basal, outgroup nafasi kwa wote 1000 Genomes wasio Waafrika wakati kuzingatia kufanana jozi katika genome nzima. Matokeo haya yanawaweka Waarabu wa asili kama jamaa wa mbali zaidi wa wasio Waafrika wa kisasa na kutambua watu hawa kama wazao wa moja kwa moja wa idadi ya kwanza ya Eurasian iliyoanzishwa na uhamiaji wa nje ya Afrika.

Chanzo: Indigenous Arabs are descendants of the earliest split from ancient Eurasian populations
 
Sana Mkuu hutengeneza Watu wasio kuwa na huruma,Wenye visasi na watu wasiojali kuhusu Wenza wao(wanawake/wanaume)..
Hutengeza hofu juu ya watu....
Na pengine huwa makatiri sana
Kitu mbaya sana niliiona miaka ya juzi tu tena nikiwa over 25 of age asee kiasi kilichopelekea mm nkaamsha , sasa now ndo naambiwa kila aina ya rangi
 
Hii kituu iko vizuri sana So i have the analysis yake soon i will reply
 
😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ndio maana mtoto amezaliwa hakikisha hata mzazi anakuja kuona.. ili ajue ni wako au umepigwa
Nakuambia kama ingekuwa ili upate cheti cha kuzaliwa ni lazima upime DNA, ingekuwa ni balaa hapa duniani, kuna watu wangefoji vyeti
 
Unafikiri kwanini zinabadilika? Kama kweli ndo usahihi wenyewe?
Hivi kama ndo reality is the reality have to change to shape the new reality?
Mfano Aristotle 👉Galileo 👉 Newton 👉 etc,,
Huwezi kungangania theory Aristotle wakati Galileo kaja Kazi improve Newton nae kaja ka improve so , tunajifunza kutokana na mazingira.

Hatuwezi kungangania utamaduni, tutakuwa kama wamasai,wahdazabe
 
Dah Mkuu Umemaliza kila kitu Umeongea Ukweli mtupu sana🎉🎉
na Ubaya wa manipulation....The manipulated part huwa inajiona kuwa Inajua kile kitu ambacho imeaminishwa hata kukitokea Mtu wa kumwambia kuwa kile kitu sio sahihi bado atakubishiaa....

Nimewahi kusikia Mfano mmoja hivi sehemu (Nitauhadithia)

Kuna jamii fulani iliyoishi eneo fulani walikuwa na desturi ya kutumia Mapango kama nyumba na walikuwa wakitembea kwa kuinama waliamini kuinama ndo kutembea sahihi au kuinama kwao ilikuwa jadi kwani baadhi yao tangu wanazaliwa wakiona watu wakiinama au kutembea kwa kuchutama walikuwa wamejizoesha kiasi kwamba hakuna aliyewahi kujua kwamba kuna watu wanaishi kwenye nyumba na wanatembea bila kuinama na wanavaa nguo...

Walikuwa wakitaka chakula Wanaenda kwa wazee wanaita chakula.. kinatokea (Hii ilikuwa kama research project kwahyo walipokuwa wakiita Ma researcher walipeleka chakula bila wao kujua ila waliona kama kitu kinaleta wakaamini kuwa huyo ndo Mungu huwa anawaletea)...

Baada ya Miaka Takribani 120 kwenye Hio hali vilipita vizazi kama vinne na hiyo ilirithishwa kwa kizazi..

Sasa Reseachers (Waliokuwepo kwa wakti huo wa project) walituma mtu akaangalie ndani wale watu kwanza walishangaa kuona mtu anatembea bila kuinama ,Pili walishangaa kuona anatoa kavaa nguo na alipojaribu kuwaambia kwamba kuna sehemu kuna watu kama yeye walishangaa na aalimkatalia na wengine walimdhihaki wakiamini ni mzimu .....

Sasa hivyo ndo Manipulation hufanyika..
Ubaya wa Manipulation Huingia kwwnye subconsious na hurithiswhwa kwa vizazi mpaka vizazi kwahyo mtu kujua kama Kadanganywa ni vigumu sana kuamini..

Mkuu umemaliza kila kitu
naomba uongeze mifano ili nizidi kukuelewa, au weka hata uhalisia wa maisha yetu wabongo tunavyonaswa na hadaa za kisaikolojia
 
Back
Top Bottom