DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #61
So nakuja kwenye swali langu lile lile kwahyo reality inabadilika?Mfano Aristotle 👉Galileo 👉 Newton 👉 etc,,
Huwezi kungangania theory Aristotle wakati Galileo kaja Kazi improve Newton nae kaja ka improve so , tunajifunza kutokana na mazingira.
Hatuwezi kungangania utamaduni, tutakuwa kama wamasai,wahdazabe
Na kama reality inabadilika kwanini bado tunatumia Ramani ya Dunia iliyochorwa na abraham ortelius?