900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Hakika,Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya utakatifu.
Mtume Paulo anasema katika
Warumi 6:4
"Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.”
Ubatizo wa maji mengi ni kitendo cha kuonyesha hadharani kwamba mtu ameacha maisha ya kale, amekubali Yesu Kristo awe Mwokozi wake, na sasa anaishi maisha mapya ya wokovu.
Upagani mtupu.Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya utakatifu.
Mtume Paulo anasema katika
Warumi 6:4
"Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.”
Ubatizo wa maji mengi ni kitendo cha kuonyesha hadharani kwamba mtu ameacha maisha ya kale, amekubali Yesu Kristo awe Mwokozi wake, na sasa anaishi maisha mapya ya wokovu.
Unaposema maji mengi unamaanisha ni maji kiasi gani?Mada hii inawahusu zaidi Wakristo. Hivyo, kama wewe ni Mkristo, point yangu ni hii:
Wakati huu tunaposherehekea kufa, kuzikwa na kufufuka kwa Yesu tusisahau kuwa tukio hilo linahusiana pia na ubatizo wa maji mengi. Hivyo mtu akisema anamwamini Yesu Kristo, akubali pia kuonyesha ishara ya kuzikwa na kufufuka na Yesu kwa njia ya ubatizo wa maji mengi. Kuna watu wengi wanamwamini Yesu lakini ukiwaambia wabatizwe katika maji mengi, wanakuwa wabishi. Mada hii imefafanua kwa kina umuhimu wa kubatizwa katika maji mengi.
Umenipata, mkuu?
Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya utakatifu.
Mtume Paulo anasema katika
Warumi 6:4
"Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.”
Ubatizo wa maji mengi ni kitendo cha kuonyesha hadharani kwamba mtu ameacha maisha ya kale, amekubali Yesu Kristo awe Mwokozi wake, na sasa anaishi maisha mapya ya wokovu.
Maji ni ishara tu inayokamilishwa na maneno yatumiwayo kubatiza.Ubatizo maana yake kuzamishwa. Wewe unaweza kuzamishwa kwenye maji machache(ya kwenye bakuli)?
Ufinyu wa akili ndiyo umesababisha kuongezeka Kwa dini na madhehebu.Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya utakatifu.
Mtume Paulo anasema katika
Warumi 6:4
"Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.”
Ubatizo wa maji mengi ni kitendo cha kuonyesha hadharani kwamba mtu ameacha maisha ya kale, amekubali Yesu Kristo awe Mwokozi wake, na sasa anaishi maisha mapya ya wokovu.
Kumbuka kila wakati neno "ubatizo" maana yake ni kuzamishwa. Mtu hawezi kuzamishwa kwenye maji madogo(ya kwenye bakuli au kikombe). Ndio sababu Yesu alibatizwa katika mto Yordani wenye maji mengi.Sijabisha ndugu nimesema wanaobatizwa kwa maji mengi au madogo ni vema.
Acha kupindua Maandiko. Hakuna mstari unaosema kilichozaliwa kwa maji ni maji. Mstari unaojaribu kuunukuu ni Yohana 3:5; huo unasema hivi:Kilichozaliwa kwa maji ni maji na kilichozaliwa kwa Roho ni Roho.Unaweza kubatizwa kwenye ziwa lakini bado hujazaliwa Mara ya pili.
Kumbuka tena ubatizo ni kuzamisha. Huwezi kumzamisha kwenye maji mengi mtoto anayenyonya. Halafu jiulize ni Andiko gani linaloagiza watoto wanaonyonya wabatizwe?Makanisa yasiyo ya kisabato hubatiza watu wakiwa bado wananyonya si vema kuwazamisha katika maji mengi kwa usalama wao.Lakini wanapoongezeka umri hupata mafunzo ya kateksim na kubarikiwa baada ya wao wenyewe kumkana shetani.
Twende polepole. Kama una nia ya kuelewa, utaelewa.Maji mengi sio kigezo cha kuingia katika ufalme wa Mungu
1 Wakorintho 1:18-31Upagani mtupu.
Yaani uovu uondoke kwa kudumbukizwa kwenye maji mengi?
Ama utakatifu uje kwa kudumbukizwa kwenye maji mengi?
Akili unayojivunia itumie basi kuwawezesha ndugu zako kuwa mamilionea. Wenye akili wanaotawala uchumi wa dunia wanamheshimu Mungu, na wiki hii wanasherehekea Pasaka, wewe ni nani hata tukusikilze?Ufinyu wa akili ndiyo umesababisha kuongezeka Kwa dini na madhehebu.
Thank you my friend Mayu for your perspective. However, to categorize conscientious adherence to the explicit teachings and practices of Jesus Christ as “mental slavery” is, with all due respect, a gross oversimplification and an unfortunate mischaracterization of spiritual devotion.Mental slavery
Huwezi kusema umeokoka halafu kanisani hukanyagi. Labda useme "umetoroka"Nimeokoka nipo huru.
Maji yanaondoa dhambi na kukufanya uache dhambi, uovo na kuwa mtakatifu?Maji yanayotosha kumfanya mtu anayebatizwa afunikwe kabisa mwili wote.
Maji sio ishara. Maji ni majiMaji ni ishara tu inayokamilishwa na maneno yatumiwayo kubatiza.
Hiki Kiswahili cha wapi. Inaonekana umekopi tu na ku-pasteMaji na hayo maneno yanayotaja Utatu Mtakatifu si pekee vinaleta umaana wa ubatizo.
Umaana?? Sentensi yenyewe inajichanganya tuUmaana wa ubatizo ni kuishi katika utu mpya uliofufuliwa na Kristo Kwa njia ya ubatizo.
Theolojia ya ubatizo haipaswi kuacha kielelezo cha jinsi Yesu Kristo alivyobatizwa, wala kupunguza uzito wa maana ya neno lenyewe “ubatizo.”Elewa Theologia ya ubatizo. Kiasi Cha maji hakipimi uhalali wa ubatizo. Wala maji pekee ayahalalishi Ubatizo. ni pamoja na maneno yatumikayo kubatizia.
Hapana, maji kama maji hayaondoi dhambi — bali toba ya kweli na imani katika damu ya Yesu Kristo.Maji yanaondoa dhambi na kukufanya uache dhambi, uovo na kuwa mtakatifu?
kinachomfanya mtu kuurithi ufalme wa Mungu ni kipi kati ya ubatizo na matendo mema?.Hapana, maji kama maji hayaondoi dhambi — bali toba ya kweli na imani katika damu ya Yesu Kristo.
Ubatizo wa maji mengi ni ishara ya nje ya kile kilichotokea ndani ya moyo wa aliyeamini, yaani:
Ni tendo analolifanya mtu aliyeokoka, kukiri hadharani imani yake kwa Kristo, na kushiriki kwa vitendo kifo, kuzikwa, na ufufuo wa Yesu Kristo.
Ubatizo ni hatua ya pili ya imani. Yesu alisema:
"Aaminiye na kubatizwa ataokoka..." (Marko 16:16)
Uongo mkubwa. Kwani huyo yesu yuko wapi?Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya utakatifu.
Mtume Paulo anasema katika
Warumi 6:4
"Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.”
Ubatizo wa maji mengi ni kitendo cha kuonyesha hadharani kwamba mtu ameacha maisha ya kale, amekubali Yesu Kristo awe Mwokozi wake, na sasa anaishi maisha mapya ya wokovu.
kwasababu mungu hayupo kanisani!Kwa hiyo kwenda kanisani kwako ni ujinga? Haya bwana na Mungu akurehemu!
Yesu hakuwa na haja ya kubatizwa kabisa na akuhitaji ubatizo. Kubatizwa kwake inamaana tofauti kabisa na sisi kubatizwa. Kama unataka kubatizwa kama Yesu usichague baadhi ya vielezo na vingine unaacha. Nenda mto Yordani kabisa, tena maji yanayotembea si kujaza maji visimani na njiwa ashuke. Tena ubatizo wa toba (no Trinity formula)Theolojia ya ubatizo haipaswi kuacha kielelezo cha jinsi Yesu Kristo alivyobatizwa, wala kupunguza uzito wa maana ya neno lenyewe “ubatizo.”
Ubatizo (Baptizo) – kwa Kigiriki – halimaanishi kunyunyizia wala kupaka, bali kuzamisha katika maji mengi.
Yesu hakubatizwa kwa kunyunyiziwa.
"Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara aliibuka kutoka majini” (Mathayo 3:16). Hiyo ni ishara kwamba alikuwa ndani ya maji, akazama, akaibuka. Na Warumi 6:4 inasema:
“Tumezikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo...” Mtu hawezi kuzikwa kwenye bakuli la maji.
Ziko ibada nyingi zinazotumia maneno sahihi lakini bila ishara au tendo sahihi. Ibada za namna hiyo zinabaki kuwa za kimapokeo tu.
Maneno ni muhimu, lakini bila tendo halisi la kuonyesha kufa, kuzikwa na kufufuka na Kristo, maana kamili ya ubatizo inapotea. Hii ndiyo sababu maji mengi ni muhimu. Umeelewa ndugu yangu @Servus ?