Je, unajua ukiwa na Tsh elfu 30 tu unaruhusiwa kwenda kuomba escort ya polisi ikupeleke mpaka unapoenda?

Je, unajua ukiwa na Tsh elfu 30 tu unaruhusiwa kwenda kuomba escort ya polisi ikupeleke mpaka unapoenda?

Mh wewe unataka kunifukuzisha kazi sio bure .

Wenzio wana mpaka namba za maboss wa mkoa na wilaya yaani ukiharibu kidogo washapiga simu sasa kwa bangi si nitakuwa jobless sio muda .

Kwa bundi iko poa lakini huku wachawi wanauwawa wataniua usiku usiku hawana dogo hawa ndugu zake Mpenja

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
kwan yule bwana alipokuwa anavuta alishikwa na nani? dah bas mwenzetu itakuwa mtu mkubwa kweri kweli hapa nchini, kama wananchi wanakutawala ndio safi ni mfano wa kuigwa tena ikiwezekana wakukule na viboko unapozembea ameni
 
Naaam , unakunywa hapo mpaka unamaliza.

Baadhi ya nchi mapolisi hawana mishahara , kazi Yao ndio hiyo mnakunywa anawalinda mpaka mnamaliza kisha mnampa chochote kitu kwa kuwalinda.
hiyi dharau sasa kwa polisi kwa hali hy lazima mbambikiwe kesi yaan we unywe mi nikulinde mbona bora nikakuweke sero hiyo hela utatoa ili utoke ndan utaki unabaki mpaka mshahara wangu utapotoka
 
Utapigwa hadi unye,na ukinya utazoa,na ukishazoa utatakiwa uyatafune tena,kajaribu
 
gari haina mafuta
maskali wetu wapo doria kufuatilia majambazi, subiri.

hakika huduma hii ipo na inatolewa ila kwa 30,000 ni kujaribu kujisogezea tatizo
 
Mkuu sisi ndo hatufuati sheria tu kuna Jamaa mmoja alikuwa Bar na Gari lake na Baadhi ya pesa alipolewa akapiga simu Polisi waje wachukue gari na baadhi ya Pesa ili pombe ikimuisha ataenda kuvichukua jamaa wakaja wakachukua na kesho jmaa akafuata..
Na Fresh tu sema sisi masikini ndo tunaogopa sheria
 
Hii ilikuwa kwa kipindi tumepata uhuru coz mambo yalikuwa magumu sana kuwa na 39elfu ulikuwa kaboss
 
Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .

Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu, eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hao ndo watakuchomesha uibiwe bora utembee na kibunda chako kwenye kiroba.

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom